Kukamilika Daraja la Kigamboni, Wananchi Vijibweni Kigamboni wafurahishwa

daraja

Wananchi wa VIJIBWENI KIGAMBONI jijini DAR ES SALAAM,wamefurahishwa na kukamilika kwa daraja linalounganisha kitongoji hicho na maeneo mengine mkoani Dar es salaam na kueleza kuwa ni ukombozi mkubwa kwao kutokana na kuwaletea unafuu mkubwa wa nauli kwa watu wa kipato cha chini.

Furaha hiyo waliitoa leo walipohojiwa na CHANNEL TEN wakati waandishi wa kituo hicho walipofika katika daraja hilo kuona mwitikio wa wananchi walipoelezwa kupitia taarifa ya serikali kuwa, daraja hilo kwa siku ya leo...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Daraja la Kigamboni kukamilika Desemba

UJENZI wa daraja linalounganisha Kigamboni na Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Daraja Kigamboni kukamilika mwakani

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuwa daraja la Kigamboni linatarajiwa kukamilika Julai Mwakani. Akizungumza mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi inayosimamiwa na Mfuko...

 

5 years ago

Habarileo

Daraja la Kigamboni kukamilika Juni mwakani

UJENZI wa Daraja la Kigamboni katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam umekamilika kwa asilimia 60 na linatarajiwa kuanza kutumika Juni mwakani.

 

5 years ago

Mwananchi

Daraja Kigamboni sasa kukamilika Julai mwakani

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni unatarajia kukamilika Julai mwakani badala ya Januari mwakani.

 

3 years ago

Bongo5

Dar Mpya ya Makonda: DC Kigamboni alia na gharama daraja la Kigamboni

Serikali imetakiwa kuangalia upya tozo za magari ya watumishi wa serikali wakati wa kuvuka daraja la Nyerere lililopo Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
img_9836
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (kwanza kulia) akieleza changamoto za wilaya hiyo

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa, ameyasema hayo leo katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya kuangalia na kutatua changamoto za wananchi wa eneo hilo.

Alilitaka Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuangalia...

 

4 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu

 Kazi za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukiendelea kwa kasi
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua moja ya nguzo za barabara za juu flyovers katika maingilio ya Daraja la Kigamboni. Katika eneo hilo kutajengwa barabara za juu ili kuruhusu magari kupita kwa urahisi wakati wa kuingia na kutoka katika daraja hilo. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akifanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa...

 

3 years ago

Channelten

Somangila Kigamboni, Wananchi Walalamikia Daraja Dhaifu

Daraja bovu mwagia lami juu

Wakazi mtaa wa Malimbika Kata ya Somangila Kigamboni jijini Dar es salaam wameilalamikia halmashauri ya wilaya ya Temeke kwa kuwajengea daraja lililo chini ya kiwango ambalo limekuwa halipitiki katika vipindi vya mvua ambapo maji hujaa na kufunika daraja hilo, hali inayokata mawasiliano ya pande mbili.

Wakizungumza na vyombo ya habari, wakazi hao wamebainisha kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakihatarisha maisha yao kutokana na daraja hilo dhaifu ambalo katika kipindi hiki cha mvua uhatarisha...

 

3 years ago

Dewji Blog

Daraja la Kigamboni kufanyiwa majaribio leo 16 Aprili, Wananchi kulitumia kuvuka

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake Jumamosi ya leo ya 16 Aprili  wamepewa fursa ya  kulitumia kwa mara ya kwanza Daraja la Kigamboni  (Pichani) linalotarijiwa kufunguliwa rasmi na Rais John Pombe Magufuli siku ya Jumanne ya wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Meneja mradi wa  kampuni ya China Railway Construction Engineering Group ambao wametekeleza mradi huo kwa ushirikiano na kampuni ya China Railway Major Bridge Group Bw.Zhang Bangxu,  wameelza kuwa  siku ya leo wataruhusu wakazi hao...

 

5 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani