Kumbe Barakah The Prince si team Kiba! Ni team …

Kama ulijua Barakah The Prince ni team Kiba, utakuwa umekosea kwa mujibu wa muimbaji huyo.

13703179_103549963432328_613728120_n

Hitmaker huyo wa Nisamehe adai kuwa hayupo team yoyote kati ya Kiba na Diamond ila anachotaka yeye ni mashabiki kutoka pande zote hizo mbili.

“Mimi sina team kiukweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini pia ni shabiki wa Ali. Diamond ameleta heshima kubwa kwenye muziki wa Bongo Fleva. Ali ni msanii mkongwe ambaye ameniispire sana kuingia kwenye huu muziki, lakini pia Diamond anafaa kuwa role model....

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Barakah The Prince azungumzia kuisaliti Team Kiba, ‘timu yangu ni Yanga tu’

Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii lazima utakuwa umekutana na jambo hili linalotafsiriwa kuwepo kwa ugomvi kati ya Team Kiba na Hitmaker wa Acha Niende, Barakah The Prince.

Team Kiba wamemtolea shutuma Barakah The Prince kuwa snitch/msaliti, amekuwa akijipendekeza kwa WCB lengo likiwa ni kutaka kujiunga nao baada ya kuonekana akiwa meza moja na mmoja wameneja wa Diamond Platnumz katika warsha moja aliyodai Barakah The Prince alialikwa na kituo kimoja wapo cha...

 

1 year ago

Bongo Movies

Mpasuko,Aslay Kubomoa Team Kiba, Team Diamond Leo?

HITIMISHO la msimu wa Tigo Fiesta unatarajia kuhitimishwa leo kwenye Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam, huku mashabiki mbalimbali wakisubiri kwa hamu kuhudhuria tukio hilo la kihistoria kwenye kiwanda cha burudani Bongo.

Pamoja na kutokuwapo kwa msanii wa kimataifa kama ilivyozoeleka, lakini mashabiki wa burudani wameonekana kuridhishwa na wasanii wa hapa nyumbani ambao soko la ushindani limezidi kujidhihirisha kadiri muda unavyokwenda na kuwafanya wazidi kufanya vizuri.

Licha...

 

11 months ago

Michuzi

TEAM SAMATTA WAIPAPASA TEAM KIBA KWA 4-2 MBELE YA WAZIRI DKT MWAKYEMBE


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh, Harisson Mwakyembe akitambulishwa wachezaji wa Team Ali Kiba  na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva  katika mchezo wa hisani uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo , Katika mchezo huo Team Samatta imeifunga Team Kiba magoli 4-2 na kuibuka washindi wa mchezo huo mbele ya mashabiki wao waliojitokeza kwenye uwanja wa Taifa leo, Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na Kiwanda cha Maziwa ya ASAS DAIRIERS cha Iringa
Na Zainab Nyamka, Globu ya...

 

3 years ago

Global Publishers

Barakah Da Prince ampeleka Kiba Sauz

bara.........Barakah Da Prince

Stori: Boniphace Ngumije

MKALI katika gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’ amefunguka kuwa kati ya wasanii anaowakubali Bongo, wa kwanza ni Ali Kiba ambaye pia kwa muda mrefu alikuwa akiwaza kufanya naye kazi.

.Ali-Kibaaaaaaaaaa-333Ali Kiba

Akichonga na Uwazi Showbiz, Barakah alisema anamkubali Kiba kwa sababu ni mtu anayeuelewa muziki vizuri na hivi karibuni amemtafuta na kufanya naye kolabo kwa Produza Imma Ze Boy ya Wimbo uitwao Nisamehe ambao video yake...

 

3 years ago

Bongo Movies

Hizi Team Kiba, Diamond ni Sumu

KAMA una simu inayoweza kufungua mitandao ya kijamii, basi ukizubaa utakuwa na bahati ya kushuhudia madudu tu na simu hiyo haitakuwa na faida kwako hata kidogo.

kiba9023

Mitandaoni kuna mambo mengi sana yanaendelea na hayana maana hata kidogo ingawa wanayoyaendeleza huamini wana uwezo mkubwa wa kuzungumza mambo na wanachosema ni sahihi hasa.

Kwenye Facebook, Instagram na Whatsapp ndiko jalala la kila asiye na uwezo kufikiri au kutafakari na kulichambua jambo. Ili mradi kuna uhuru wa kutoa maoni,...

 

5 years ago

Michuzi

TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU

Mr. Iddi Sandaly,
Bachelors in Accounting, MBA, CPA, CGMA
Controller at
Property Management Company
KUSHIRIKIANA NA KINA MAMA NA WATANZANIA WOTE HAPA DMV
Kwa miaka mitatu mfululizo nimekuwa nikishiriki na kushirikiana na kikundi cha kina mama kwenye matembezi hiari ya Kansa. Kikundi cha kina mama wa DMV ndani yake kukiwa na watanzania wenzetu walio pitia janga la Kansa wamekuwa mbele kuwaomba na kuwataka watanzania wachangie kwenye utafiti wa Kansa na pia kuwaomba watanzania wote wafanyiwe...

 

3 years ago

Michuzi

KANDANDA DAY 2016: TEAM ISMAIL YAIBUKA NA USHINDI MNONO WA BAO 4-1 DHIDI YA TEAM DIZO MOJA

TIMU ya soka ‘Team Ismail’ imefanikiwa kuwagaragaza wapinzani wao wa jadi 'Team Dizo Moja' kwa kipigo cha mabao 4-1, katika tamasha la Kandanda day, lililofanyika Jumamosi katika Viwanja vya Jakaya M Kikwete Youth Park.

Kipigo hicho kwa 'Team Dizo', ni mfululizo wa matokeo mazuri ya Team Ismail,ambayo mwaka huu imeonekana kulipiza kisasi cha kuchapwa idadi hiyo ya mabao kama walivyofanya Team Dizo katika msimu wa mwaka 2014.
Mabao ya Team Ismail,yaliwekwa kimiani na Freddy Pastor...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani