Kumbe tatizo ni fungu la Yanga

KASHESHE kubwa linaendelea ndani ya Simba chanzo kikiwa ni mkataba mpya waliosaini na kampuni ya SportPesa ya Kenya, lakini uchunguzi wa Mwanaspoti jana Jumatatu umebaini tatizo jipya.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Kumbe tatizo ni Kanumba

KWA muda mrefu sasa kumekuwa na mijadala kwenye mitandao ya kijamii na hata katika vinywa vya mashabiki wa filamu za Kitanzania wakibishana kuhusu tasnia ya Bongo Movie, wapo wanaoamini imekufa na wengine kupinga jambo hilo.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Yanga kumbe ukuta!

UNASEMA eti yule Mzee Akilimali kapindua kofia? Aaah...wapi! Muulize vizuri Mzungu atakwambia. Tatizo lililowavuruga Yanga kwenye mechi za kina TP Mazembe. Kumbe ni ukuta bwana. Pale nyuma ni tatizo.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Kumbe Bocco alikaushiwa Yanga

YANGA ililetewa jina la nahodha wa Azam, John Bocco, lakini usajili wake usingeweza kukamilika baada ya kocha, George Lwandamina, kumkaushia kwa madai kwamba si aina ya wachezaji anaowataka.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Duh! Kumbe Yanga wananunua bwana

SIMBA imeingia kwenye Ligi ya msimu huu na moto mkubwa. Vigogo wa klabu hiyo wamehamasisha wanachama na mashabiki kuchangisha fedha ambazo kila timu ikishinda wachezaji wanapewa chao kabisa ambacho sio chini ya Shilingi milioni tano kwa mechi moja ya ushindi.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Eeh! Kumbe Sitta alihusika zile 5-0 za Yanga

MEI 6, 2012 huenda mashabiki wa Yanga hawapendi hata kuisikia kwani siku hiyo ndio timu yao ilipigwa mabao 5-0 na watani zao Simba katika mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Bara msimu wa 2011-2012, lakini hakuna aliyejua kama Marehemu Samuel Sitta alihusika na kipigo hicho cha aibu kwa Vijana wa Jangwani.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Kumbe Yanga ishu siyo Ngoma na Kamusoko

LAWAMA za mashabiki wa Yanga, dunia nzima ni kwamba kutolewa kwa Donald Ngoma na Thaban Kamusoko ndiko kulikoinyima timu yao ushindi dhidi ya Zanaco ya Zambia kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

2 years ago

Mtanzania

TATIZO YANGA AU WAAMUZI?

NA ZAINAB IDDY

HIVI karibuni Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lilimemwondoa mwamuzi, Hussein Athuman, kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), baada ya kupata alama za chini ambazo hazimwezeshi kuendelea tena kuchezesha ligi hiyo.

Mwamuzi huyo amekutwa na rungu hilo mara baada ya kuchezesha mchezo namba 150, uliozikutanisha timu za Yanga na Majimaji katika dimba la Majimaji mkoani Ruvuma, Januari 17 mwaka huu huku Wanajangwani wakitoka kifua mbele kwa ushindi wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Isihaka: Umri tatizo Yanga

Nahodha wa Simba, Hassan Isihaka amesema kinachowasumbua sasa Yanga ni umri wa wachezaji wao.

 

4 years ago

Mwananchi

Beki tatizo Yanga, Azam

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Afrika mwakani, Azam na Yanga walishindwa kutambiana juzi kwa kutoka sare 2-2, lakini mengi yalijiweka bayana katika mchezo huolicha ya matokeo hayo yapo mambo mengi yaliyojitokeza.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani