KUMBILAMOTO AGAWA JEZI KWA TIMU NNE ZILIZOINGIA NUSU FAINALI YA VINGUNGUTI SUPER CUP

  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Freemason Fc ya Vingunguti, Sudi Rashid  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Guantanamo Fc ya Vingunguti ,Abdul Mgohela  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Msako FC ya Kigogo Kani Masumbola  wakati wa hafla ya kukabidhi jezi kwa timu nne zilizo ingia nusu fainali ya Vingunguti Super Cup ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP NI TIMU ZA KENYA,YANGA YAONDOLEWA NUSU FAINALI

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MABINGWA Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom (VPL) Yanga leo wameaga amashindano ya SportPesa Super Cup kwa mikwaju ya penati 4-2 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Uhuru ulianza majira ya saa 8 kamili kwa kuzikutanisha timu ya Yanga dhidi ya AFC Leopard ya nchini Kenya.Mpaka dakika 90 za mpira zinamalizika timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka suluhu na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Spanest Cup 2016 yakabidhi vifaa kwa timu zilizoingia robo fainali Iringa

Timu zilizopata nafasi ya kuingia robo Fainali ni pamoja na Kitisi , Nyamahana , makifu mapogoro,  Luganga , Itunundu ,Kinyika na Mbugani huku ligi hiyo ikiwa na na kauli mbiu ya “Piga Vita Ujangili Piga Mpira Okoa Tembo”.

Akikabidhi  vifaa kwa  timu   hizo,mratibu wa  mashindano hayo  alisema kuwa toka  kuanza kwa lingi  hiyo  wananchi  wamekuwa  wakipewa  elimu ya namna ya  kuwafichua  watu  wanaojihusisha na vitendo  vya ujangili na  kuwa  hadi  sasa  mbali ya  kuwepo kwa changamoto mbali...

 

2 years ago

Michuzi

YANGA YATINGA NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP KWA KUITOA TUSKER YA KENYA KWA PENATI

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga imekuwa timu ya kwanza toka Tanzania kutinga nusu fainali ya Sports Pesa Super Cup kwa mikwaju ya penati. Katika mchezo wa kwanza Singida United ilicheza dhidi ya AFC Leorpads ya Kenya na vijana hao wa Hans Van Der Pluijm walitolewa  kwa  penalti 5-4 Yanga imeing’oa Tusker ya Kenya kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila bao.  Kipa wa Yanga, Deo Munishi maarufu kama Dida alichangia kung’olewa kwa Tusker...

 

2 years ago

Michuzi

TIMU NNE ZATINGA HATUA YA NUSU FAINALI SPRITE BBALL KINGS


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.


MASHINDANO ya Sprite BBall Kings yameendelea tena juzi katika uwanja wa chuo kikuu cha Dar es salaam, ikiwa ni hatua ya robo fainali ya mashindano hayo.
Mchezo wa kwanza uliwakutanisha timu za Mchenga na The fighter na timu ya Mchenga kuibuka na ushindi wa vikapu 109 dhidi ya 41 za The fighter .
Mechi ya pili iliwakutanisha Flying dribblers ambaye alitoka na ushindi wa vikapu 91 dhidi ya Osterbay aliyepata vikapu 82, TMT wakaumana na Dream chaser na...

 

2 years ago

Bongo5

Hizi ndio timu zilizo ingia nusu fainali ya EFL Cup

Timu zitazocheza nusu fainali ya EFL Cup baada ya Arsenal kutolewa kwa kupata kipigo chao bao 2-0 kutoka kwa timu ya Southampton.

3ae69eb300000578-0-image-m-5_1480586805367

Magoli ya Jordy Clasie na Ryan Bertrand yaliipeleka Southampton hatua ya nusu fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1987.

Mechi za nusu fainali EFL Cup

efl-cup

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

4 years ago

Michuzi

MBUNGE LUCY OWENYA AKABIDHI JEZI KWA TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI YA LUCY OWENYA CUP 2015

Dkt Fidelis Owenya akikabidhi jezi kwa vilabu nane vilivyo fuzu kucheza hatua ya robo fainali katika mashindano ya kombe la Mbunge lijulikanalo kama Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini.Baadhi ya iongozi wa timu zilizofuzu hatua ya robo fainali wakifunga jezi zao mara baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya hatua ya robo fainali. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

4 years ago

Vijimambo

Timu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup

Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Muembeladu wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na Viongozi wa timu ya Muembeladu kuitoa timu yao kwa madai ya mchezaji wa timu ya Mkunazini kudaiwa kumpiga mpenzi wa timu hiyo.Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na...

 

4 years ago

Michuzi

Timu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup Unguja

Kikosi cha timu ya Mwembeladu kilicho shindwa kumaliza mchezo wao wa mwisho na timu ya Mkunazini timu hii ilihitaji ushindi wa mabao 3--0 ili kuweza kusonga mbele ya Bonaza hilo kuingia nusu fainali, mchezo huo umemalizi kabla ya wakati wake zikiwa zimebaki dakika 4 mchezo kumalizika.  Kikosi cha timu ya Mkunazini kinachotinga Nusu Fainali  usiku wa kuamkia leo  katika viwanja vya Mnazi Mmoja na Timu ya Kikwajuni Juu. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: PENATI ZAPIGWA TENA LEO KAITABA, KITENDAGURO FC YAIBUKA BINGWA NA KUSONGA NUSU FAINALI KWA PENATI 6-5 DHIDI YA TIMU YA RWAMISHENYE FC

Mikwaju ndio iliwatoa Rwamishenye na hapa ni kipa wake akipelekeshwa katika mkwaju wa Mwisho!! mpira umepigwa huku yeye akajitupa kule!!Wachezaji wa Kitendanguro wakishangilia kwenda Nusu Fainali baada ya kuwatoa kamasi Wanabodaboda timu ya Rwamishenye Fc penati 6-5kushoto ni kipa wa Makhirikhiri Kitendaguro Fc akifurahia ushindi na mwenzakeUshindi Mtamu!!! tunaenda Nusu Fainali!!!Dada Shabiki wa Timu ya Kitendaguro alishindwa kujizuia akajikuta katikati ya Uwanja! Kwa picha zaidi za...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani