Kumekucha Mapinduzi Cup Zanzibar

MICHUANO ya soka ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2013, inatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo kwa mechi tatu zinazosubiriwa kwa hamu na mashabiki kwenye viwanja vya Amaan Unguja na Gombani, Chakechake,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Kumekucha: Mapinduzi CUP kuanza rasmi ijumaa, Ratiba kamili hii hapa

Pazia la Mashindano ya Kombe la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake kesho kutwa Ijumaa Disemba 29, 2017 katika uwanja wa Amaan. Siku hiyo itapigwa michezo mitatu ambapo saa 8:00 za mchana wataanza kati ya Mlandege dhidi ya JKU, Saa 10:00 za jioni Jamhuri watacheza na ndugu zao Mwenge na  saa 2:15 usiku Zimamoto watakipiga na Taifa ya Jang’ombe. Jumla ya timu 11 zitakazoshiriki Mashindano hayo zikiwemo sita za Zanzibar, nne kutoka Tanzania bara na moja kutoka Uganda ambapo...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mapinduzi Cup yaiweka pabaya Zanzibar CAF

BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekilima barua kali Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), kwa kile kinachodaiwa kuwashirikisha wanachama wake katika michuano ya Kombe la Mapinduzi...

 

2 years ago

MillardAyo

Matokeo ya derby ya mchezo wa ufunguzi Mapinduzi Cup 2017 Zanzibar

img-20161231-wa0007

Usiku wa December 30 2016 visiwani Zanzibar mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2017 ndio ulichezwa visiwani hapo kwa kuzikutanisha timu za Jang’ombe Boys dhidi ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa Amaan. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unazikutanisha timu zilizokuwa zinaunda timu moja hapo awali kabla ya kuamua kutengana, kitu […]

The post Matokeo ya derby ya mchezo wa ufunguzi Mapinduzi Cup 2017 Zanzibar appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mashabiki wa Yanga Zanzibar wakutana, Wajipanga kuishangiria timu yao Mapinduzi Cup

Mashabiki wa Yanga Visiwani Zanzibar wajiandaa kuipokea timu yao na kuja kuishangiria ipasavyo katika mashindano makubwa ya Mapinduzi ambayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake visiwani hapa Disemba 30, kati ya Taifa ya Jangombe na Jangombe boys saa 2:15 Usiku katika uwanja wa Amaan.

Mmoja wa wanachama wa tawi la Yanga Milingotini Amaan Unguja Hamza Hassan Haji amesema kesho wanakutana wapenzi na wanachama wote wa Yanga, kikao ambacho kitafanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa Amaan ambapo...

 

2 years ago

Dewji Blog

Fainali ya ‘kibabe’ Mapinduzi Cup jioni ya leo Zanzibar, Simba Sc dhidi ya Azam FC

Usiku wa leo wa saa  2: 00, Macho yote ya wapenda soka hasa wadau na wanazi wakubwa wa Wekundu wa Msimbazaji Simba  SC na Azam FC  ambapo watashuhudia mtanange mkali katika fainali ya Kombe la Mapinduzi  kwenye dimba  la  Amaan, visiwani Zanzibar.

Mchezo huo unaotarajiwa unatarajiwa kuanza Saa 2:15 usiku wa leo, utakuwa ni wa pili kuzikutanisha timu hizo katika fainali ya michuano hiyo.

Timu hizo zimekuwa na historia nzuri kwenye kombe hilo kwani zimewahi kukutana mara kadhaa huku awali...

 

2 years ago

Michuzi

MASAUNI AZINDUA MASHINDANO NAGE MAPINDUZI CUP ZANZIBAR, ACHANGIA VICOBA JIMBONI KWAKE

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na mamia ya wananchi kabla ya kuzindua Mashindano maarufu ya Nage Mapinduzi Cup katika Viwanja vya Matumbaku, Wilaya ya Mjini, Unguja, Zanzibar. Mashindano hayo yanawahusisha wasichana kutoka majimbo mbalimbali ya mjini humo yameandaliwa kwa ajili ya Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao mwakani. Naibu Waziri wa...

 

2 years ago

CCM Blog

AZAM ILIPOIBUKA KIDUME KWA SIMBA NA KUTWAA MAPINDUZI CUP 2017, JANA MJIZNI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi 2017, Nahodha wa Timu ya Azam John Bocco, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa wa kombea hilo, kufuatia kuifunga Simba bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja, jana usiku.
Mshambuliaji wa Azam Joseph Mahundi akiumiliki mpira, dhidi ya mchezaji wa Simba Besela Bakungu timu hizo zilipomenyana jana usiku katika mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup 2017,  kwenye Uwanja wa Aamaan mjini...

 

2 years ago

Habarileo

Simba kumekucha Zanzibar

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba leo wanashuka dimbani kucheza na vijana hatari wa Jang’ombe Boys katika mchezo wa kuhitimisha mechi za Kundi A utakaofanyika kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Kumekucha Klabu Bingwa Afrika: Ferroviario watua Zanzibar kuwavaa zimamoto

WAPINZANI wa Zimamoto kwenye michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika timu ya  Ferroviario de Beira imeshawasili Zanzibar saa 8:30 za mchana wa leo katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ikitokea Msumbiji na wapo tayari kwa ajili ya pambano litakalo pigwa Jumamosi kwenye uwanja wa Amaan Saa10:00 za jioni.

 

Timu hiyo ya Ferroviario de Beira ambao ni mabingwa wa ligi kuu soka ya Msumbiji, wamefikia katika Hoteli ya Mtoni Marine iliopo Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani