Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa .

Viongozi wa Chadema/UKAWA kuweni Makini sana na huu mfumo wa BVR bao la mkono liko njiani kufanikiwa. Mkipuuza mtalia kilio ambacho hatapatikana mtu wa kuwafuta machozi. Vitambulisho fake ni vingi sana na hakuna mashine ya kuvitambua […]

The post Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa . appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mzalendo Zanzibar

HIZI NDIO MBINU ZA CCM ZA KUIBIA WANANCHI KURA ZAO

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania wa kutoka Zanzibar na Tanganyika. Ama sina budi ila kumshukuru Allah Salawatu Wasalamu, kwakunipatia uzima, pumzi na wasia wakuweza kuandika Makala hii kwenu nyinyi WAZALENDO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kama tulivosikia katika […]

The post HIZI NDIO MBINU ZA CCM ZA KUIBIA WANANCHI KURA ZAO appeared first on Mzalendo.net.

 

3 years ago

Mwananchi

Makamba: Sababu za CCM kushinda hizi hapa

Oktoba ni mwezi wa kihistoria kwa Watanzania katika mwaka 2015 kutokana na ukweli kwamba watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani.

 

3 years ago

Mtanzania

Chadema yabaini mbinu chafu

Pg 5NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua tuhuma mpya dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kikisema kimebaini shahada zaidi ya milioni mbili za kupigia kura zinazotarajiwa kuingizwa kinyemela katika Daftari la Wapiga Kura na  kugawiwa kwa wana CCM ambao hawakujiandikisha.

Chama hicho kimedai kwamba, mbali na shahada hizo pia wakimbizi zaidi ya 70,000 mkoani Kigoma wameandikishwa katika daftari hilo kwa ajili ya kupiga kura.

Tuhuma  hizo...

 

2 years ago

CCM Blog

SABABU ZA MPENDAZOE KUITOSA CHADEMA NA KURUDI CCM HIZI HAPA

Tarehe 23 July 2016 nilishiriki kwenye Mkutano Mkuu wa CCM. Kwenye mkutano huo nilipata nafasi ya kuzungumza na haya Ndiyo niliyoweza kuyasema Kwenye mkutano huo:
Nilieleza kwamba kwa muda mrefu Nilikuwa nimeamua kurudi CCM, siku hiyo ilikuwa ni siku ya kutangaza tu. Nilikuwa nimeamua kurudi CCM kwa sababu kuu zifuatazo. Kwanza ni hatua ambazo CCM ilikuwa imeanza kuzichukua kupitia Katibu Mkuu wake Kinana. Kinana alifanya ziara nchi nzima akiwaeleza na kuwataka wanachama wa CCM kubadilika....

 

12 months ago

MwanaHALISI

Kanuni alizovunja Magufuli kufanyia mkutano wa CCM Ikulu hizi hapa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemjibu utetezi wa Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole wa kutumia Ikulu kufanya mikutano cha chama, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa hiyo iliyosambwazwa na Chadema inaelezea kanuni zilizovunjwa na CCM kufanya mikutano Ikulu na kuuita utetezi wa Polepole ni upotoshaji. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na John Mrema, ...

 

3 years ago

Vijimambo

Hapa kuna Sifa 13 Watakazozitumia CCM Kumteua Mgomea Urais Kupitia chama Hicho


Mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye atabeba jukumu la kupeperusha bendera ya chama hicho ili kukipa ushindi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, sasa tunahesabu siku.Baadhi ya makada wa chama hicho wakiwemo wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), wanasema mchakato huo huenda ukaanza Mei mwaka huu.
Akizungumza na Mwandishi wetu, Mjumbe wa NEC kutoka mkoani Arusha ambaye hakutaka jina lake liandikwe, alisema katika uchaguzi wa mwaka...

 

2 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya kigeni inapotumia mbinu chafu kuidhalilisha serikali

BIASHARA ya utalii imekuwa na ushindani mkubwa si nje bali hata ndani ya nchi yetu. Ushindani wa kibiashara unadhihirishwa na jinsi ambavyo makampuni ya ndani na nje yanavyopigana vikumbo kutafuta njia na mbinu za kuwapiku washindani wao.

Hilo ni jambo la kawaida kabisa.

Hakika pale ambako hapana ushindani basi ni wazi pia kwamba hapatakuwapo na tija kwani mama wa biashara huria ni ushindani na hilo hakuna wa kubishana. Hata hivyo, kuna mvutano ambao umeanzishwa na kampuni ya Wengert...

 

1 year ago

Mwananchi

CUF chadai kubaini mbinu chafu dhidi yake

Chama cha Wananchi  (Cuf), kimewaonya vijana waliopangwa kuvamia ofisi ya makao makuu ya chama Buguruni kutothubutu kufanya hivyo.

 

4 years ago

Tanzania Daima

IPTL: Kuna kampeni chafu kuzuia punguzo la umeme

HOFU ya kupoteza soko kwa makampuni ya kigeni yanayozalisha umeme dhidi ya makampuni ya Kitanzania imetajwa kuwa chanzo cha vita dhidi ya Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani