Kura ya urais bado inahesabiwa Sierra Leone

Zoezi la kuhesabu kura kwenye duru ya marudio ya uchaguzi wa urais huko Sierra Leone linaendelea. Wananchi walipiga kura Jumamosi na Rais aliyepo madarakani Ernest Bai Koroma anatarajiwa kuachia madaraka mwaka huu baada ya kuhudumu mihula yake miwili inayokuwa na kipindi cha miaka mitano kila mmoja. Wananchi walipiga kura kuchagua baina ya mgombea wa chama tawala cha All People’s Congress, Samura Matthew Wilson Kamara na mgombea wa upinzani wa chama cha Sierrra Leone Peoples Party, Julius...

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Sierra Leone yatishwa bado na Ebola

Maofisa wa afya nchini Sierra Leone wametahadharisha uwezekano wa kutokea maambukizi zaidi ya virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

4 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio Sierra Leone

Miili yaonekana katika maeneo ya mgodi wa Almasi nchini Sierra Leone

 

4 years ago

BBC

'Sierra Leone has become part of me'

Ex-Sierra Leone manager Johnny McKinstry, appointed at 27, recounts his departure from the Ebola-hit country.

 

2 years ago

BBC

Cry Sierra Leone

Reporter Umaru Fofana reflects on a week that saw horrific mudslide and flooding in the capital, Freetown.

 

3 years ago

BBC

Sierra Leone country profile

Provides an overview, basic information and key dates for this west African country

 

4 years ago

Awoko

Sierra Leone News: Tanzania


IPPmedia
Sierra Leone News: Tanzania
Awoko
Tanzanians are in for a stress time when it comes to casting their votes on October 25 for a new government to replace outgoing administration of President Jakaya Kikwete. Kikwete is barred from contesting as his two term presidential term would be out ...
Numerous feats in sports, entertainment sectors accomplishedDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)
Tanzania aims for 2700 megawattsEast African Business Week
Tourists cautioned:...

 

3 years ago

BBC

WHO 'delayed Sierra Leone lockdown'

The World Health Organization delayed Sierra Leone from declaring a state of emergency over the Ebola outbreak, the country's president tells the BBC.

 

3 years ago

BBC

VIDEO: What next for Sierra Leone after Ebola?

Sierra Leone is declared free of the deadly Ebola virus but it still bears the scars of the disease.

 

3 years ago

BBCSwahili

WHO:Sierra Leone haina Ebola

Maelfu ya watu wa Sierra Leone wameteremka katika barabara za mji mkuu, Freetown, kusherehekea kuwa zimepita siku 42 bila ya mtu yeyote kuuguwa ugonjwa wa Ebola.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani