KUSITISHWA KWA HUDUMA YA TRENI YA JIJI HAPO JUMAMOSI NA JUMAPILI

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania -TRL  unaWAtaARIFU WAKAZI WA JIJI NA WANACHI KWA JUMLA kusitishwa kwa huduma ya treni ya jiji hapo kesho Jumamosi Julai 19, 2014, ili kupisha ukarabati wa miundo mbinu ya reli KATI ya Dar Stesheni hadi Ubungo Maziwa itakayofanyika kwa siku za Jumamosi na Jumapili.

Hata hivyo huduma hiyo itarejea tena kama kawaida kuanzia Jumatatu Julai 21, 2014 . Atakayesikia AU KUSOMA TAARIFA HII amuarifu na mwenziye.

Uongozi wa TRL unasikitika kwa usumbufu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Taarifa ya KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA KESHO JUNI 19, 2014


 Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika  kuwataarifu wananchi na wateja wake  wa  huduma ya treni ya Jiji kuwa hiyo  imesitishwa kwa muda wa siku 3 kuanzia kesho Juni 19, 2014 hadi  Jumammosi Juni 21, 2014. Aidha huduma hiyo itaanza tena hapo Jumatatu Juni 23, 2014 kwa kufuata ratiba yake ya kawaida. Uamuzi huo unatokana na sababu za kiufundi ikiwemo kufanyiwa matengenezo vichwa vyote vya  viwili ambavyo vimekuwa vikihudumia treni hiyo ya Jiji. Vichwa hivyo vinapaswa...

 

4 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kutangaza kusitishwa kwa muda huduma ya treni ya Jiji  kuanzia leo  Jumatano jioni Februari 25 hadi  Jumatatu  Machi 02, 2015 itakapoanza tena.
Kwa mujibu  wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni  leo Februari 25,  2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa  na vichwa  viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki  kichwa kimoja...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUAHIRISHWA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KESHO JUMAMOSI JULAI 19, 2014!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA -TRL  UNAWATAARIFU WAKAZI WA JIJI NA WANACHI KWA JUMLA KUSITISHWA KWA HUDUMA YA TRENI YA JIJI HAPO KESHO JUMAMOSI JULAI 19, 2014, ILI KUPISHA UKARABATI WA MIUNDO MBINU YA RELI KATI YA DAR STESHENI HADI UBUNGO MAZIWA ITAKAYOFANYIKA KWA SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI.
HATA HIVYO HUDUMA HIYO ITAREJEA TENA KAMA KAWAIDA KUANZIA JUMATATU JULAI 21, 2014 . ATAKAYESIKIA AU KUSOMA TAARIFA HII AMUARIFU NA MWENZIYE.
UONGOZI WA TRL UNASIKITIKA KWA USUMBUFU...

 

5 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA KWENDA BARA

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unawataarifu abiria wote na wananchi kwa jumla  kuwa kutokana na kutetereka kwa  daraja la reli kati ya stesheni ya Ruvu na mchepuko wa reli ya Ruvu kwenda Mruazi usiku wa kuamkia leo, umeamua kusitisha kwa muda huduma ya usafiri wa abiria hadi ukarabati wa  daraja utakapokamilika.
Tokea asubuhi ya leo Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu na Wahandisi waandamizi na Mafundi ujenzi walifika katika daraja hilo lililopo km 82/5 na...

 

3 years ago

Michuzi

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA (TRL) LASITISHA HUDUMA YA TRENI YA JIJI MAARUFU KAMA TRENI YA MWAKYEMBE.

Shimo katika tuta la reli  eneo la Buguruni kwa Mnyamani  ambalo limesababishwa na mvua inayoendelea kunyesha hapa nchini ambapo ukarabati wa eneo hilo unaendelea ili kufanikisha usafiri kurejea hapo kesho.

KAMPUNI YA RELI TANZANIA(TRL) Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umetangaza kusitishwa huduma ya treni ya jiji maarufu kama Treni ya Mwakyembe awamu ya jioni ya leo Februari 09, 2016. 
Taarifa imefafanua kuwa hatua hiyo imechukuliwa kutokana na maji ya mvua kuchimba shimo kubwa...

 

4 years ago

Michuzi

HUDUMA YA TRENI YA DELUXE KUSIMAMA KATIKA KITUO CHA NGURUKA KUANZIA TRENI ITAKAYOANDOKA DAR JUMAPILI IJAYO MEI 17, 2015

Uongozi wa Kampuni  ya Reli Tanzania  –TRL unachukua  fursa hii kuwataarifu wateja wetu wote na Watanzania kwa ujumla na hasa maeneo ya kituo cha Reli cha Nguruka mkoani Kigoma, kuwa treni yetu maarufu ya Deluxe itasimama kituoni hapo kuteremsha na kupakia  abiria.
Kwa taarifa hii ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na Wakazi wa maeneo yanayozunguka kituo cha  Nguruka, shime  wajitokeze kwa wingi kukata tiketi za safari kwa mujibu wa mahitaji yao . Halikadhalika safari za deluxe zitakuwa wiki...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma ya Treni ya Jiji yaahirishwa kuanzia leo hadi Jumatatu Novemba 17, 2014

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania -TRL unasikitika kuwatangazia kuwa kuanzia leo jioni saa 10 hakutakuwepo huduma ya usafiri wa treni ya Jiji maarufu kama ' treni ya Mwakyembe' hadi siku Jumatatu Novermba 17, 2014 huduma itakaporejea kama kawaida.
Ufafanuzi wa sababu za kusitishwa huduma umeeleza kuwa kichwa kimojawapo ambacho hutoa huduma kimepelekwa Karakana Kuu ya Morogoro kwa ajili ya ukarabati maalum na kwamba kinatarajiwa kurejeshwa Dar es Salaam jioni ya siku ya...

 

3 years ago

Michuzi

HUDUMA YA TRENI ABIRIA KUTOKA DAR KWENDA BARA KUANZA TENA JUMAPILI MEI MOSI, 2016

Treni ya kwanza ya abiria ya Deluxe  kutoka Dar es Salaam kwenda bara itaondoka saa 2 asubuhi siku Jumapili Mei Mosi, 2016 kuelekea Kigoma.
Kuanza kwa safari hiyo kunatokana na kutengemaa kwa eneo korofi baina ya  stesheni za  Kilosa mkoani  Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa ya Wakuu wa Idara za uendeshaji wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyotolewa  Aprili  26, 2016 baada ya ukaguzi wa kina wa  eneo la Gulwe, imesema  sasa eneo hilo  linapitika  na kwamba tuta...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani