Kuwashirikisha wananchi kwenye maendeleo, Madiwani watakiwa kuwa karibu na wananchi

Mkuu-wa-Mkoa-wa-Lindi-Godfrey-Zambi-akizungumza-katika-moja-ya-mikutano-yake

Madiwani kote nchini wametakiwa kuwa karibu na wananchi wao kwa kuwashirikisha katika shughuli za maendeleo, jambo ambalo litachangia wao kuielewa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wito huo umetolewa mjini Lindi na Mkuu wa mkoa huo, Godfrey Zambi alipokuwa akifungua mafunzo ya siku mbili kwa madiwani wa halmashauri za Liwale, Nachingwea, Lindi na Manispaa ya Lindi yanayotolewa na mradi wa uimarishaji serikali za mitaa nchini(PS3) na kufadhiliwa na serikali ya...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Polisi watakiwa kuwashirikisha wananchi kulinda vyanzo vya maji

Jeshi la polisi limehimizwa kushirikiana na wananchi pamoja na wadau wa mazingira ili kulinda vyanzo vya maji.

 

3 years ago

Dewji Blog

Madiwani Kigoma watakiwa kushirikiana na wananchi

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Saveli Mwangasame, akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny) (4)-1

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Saveli Mwangasame, akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny).

Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Enock Jonas, akizungumza na madiwani baada ya kuchaguliwa katika kikao chao cha kwanza. (Picha na Emmanuel Senny) (1)

Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Enock Jonas, akizungumza na madiwani baada ya kuchaguliwa katika kikao chao cha kwanza. (Picha na Emmanuel Senny).

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa. (Picha na Emmanuel Senny)

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa. (Picha na Emmanuel Senny)

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Madiwani wa...

 

3 years ago

Michuzi

RC MAKALLA AWATAKA WATENDAJI SERIKALINI KUWA KARIBU NA WANANCHI

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla ameendelea na utaratibu aliojiwekea wa kusikiliza Kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi kila siku ya Alhamisi ya mwanzo wa mwezi na siku ya alhamis ya mwisho wa mwezi, kama kawaida siku ya leo mamia ya wananchi wamejitokeza Mbele ya Mkuu wa Mkoa kuwasilisha kero zao.

Mkuu wa Mkoa amewataka wakuu wa wilaya na watendaji wa ngazi zote kuwasikiliza wananchi na kutatua Kero zao "Kero Nyingi hapa ni za Halmashauri, Wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wakuu wa Idara...

 

3 years ago

Habarileo

Wananchi watakiwa kuchangia shughuli za maendeleo

JAMII imetakiwa kushiriki katika kuchangia shughuli za kijamii ikiwemo elimu badala ya sherehe na kuacha shughuli za maendeleo zikikwama katika maeneo yao. Hayo yalisemwa juzi na Diwani wa kata ya Kikwe, Paulo Shanga, wakati akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa bweni la wasichana katika shule ya sekondari Kikwe iliyojengwa na shirika la Fri-Sucode kwa kushirikiana na wafadhili kutoka Ujerumani.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Wananchi watakiwa kutunza miundombinu ili kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini

Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Mhe Hassan Khatib Hassan amewataka wananchi wamkoa huo kujenga tabia za kuzitunza barabara na kuziweka katika hali ya mazingira ya usafi ili kuendelea kuimarisha shughuli za kiuchumi.

Mhe khatibu ameyasema hayo wakati akishiriki katika kazi za usafi wa pembezoni mwa barabara ya kitogani hadi paje kwa wanachama wa pressure group  meli nne taveta kinajijitolea kufanya kazi za usafi katika maeneo mbali mbali hapa nchini.

Amesema Serikali itaendelea na wajibu wake...

 

5 years ago

Mwananchi

Wananchi watakiwa kuwa makini na ‘vishoka’

Wananchi wametakiwa kukataa kuwalipa mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wakiwa nyumbani, badala yake wawaambie malipo yafanyike katika ofisi za shirika hilo.

 

3 years ago

Raia Mwema

Wananchi watakiwa kuwa wavumilivu maafa ya Kagera

Wananchi wameaswa kuwa wavumilivu na kuendelea kushirikiana na Serikali wakati jitihada mbalimbali zikiendelea kuchukuliwa katika kukabiliana na athari za tetemeko la ardhi lililotokea Mkoani Kagera hivi karibuni.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) George Simbachawene alipokuwa akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu Maafa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi lililotokea Mkoani Kagera siku ya jumamosi tarehe 10/09/2016.

Waziri Simbachawene amesema kuwa hadi...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wananchi watakiwa kuwa makini na maeneo yaliyo na Mamba na Viboko

Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa wito kwa wananchi kuendelea kuchukua tahadhari katika maeneo hatarishi hususani ambayo yamebainika kuwa na Mamba au Viboko na kuwasilisha taarifa za matukio haraka kwa Viongozi wa Vijiji husika na Maafisa Wanyamapori walio karibu ili kumbukumbu za matukio na hatua stahiki ziweze kuchukuliwa mapema.

Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni Dodoma na Naibu Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Ramo Makani wakati akijibu swali la Mbunge wa Bunda Mjini, Mhe....

 

3 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KUWA MAKINI KUELEKEA MSIMU WA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

Na. Tamimu Adam- Jeshi la Polisi
Jeshi la polisi nchini  limewataka wananchi kuimarisha na kutekeleza kwa vitendo dhana ya ulinzi jirani katika kipindi hiki cha kuelekea kuadhimisha sikukuu za  mwisho wa mwaka na kusherekea mwaka mpya kwani  ulinzi jirani ni mkakati madhubuti katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao hapa nchini.
Hayo yalisemwa  na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu mwandamizi wa Polisi Advera Bulimba wakati akitoa tahadhari ya usalama katika kipindi hiki cha kuelekea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani