Kwa nini wanamichezo wanaotoweka kwenye michezo ya kimataifa ughaibuni?

Waandalizi wa michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika nchini Australia wanasema kuwa wanariadha watano kutoka Afrika wametoweka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWASHAURI WANAMICHEZO KUZINGATIA MKATABA WA KIMATAIFA WA UDHIBITI WA DAWA NA MBINU ZA KUONGEZA NGUVU MICHEZONI KWA MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI.


Na Raymond Mushumbusi WHUSM
Wanamichezo nchini wameshauriwa kuzingatia mkataba wa kimataifa wa dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni ili kuwezesha kuiendeleza sekta ya michezo kwa kutoa washindi wanaostahili katika mashindano mbalimbali.
Ushauri huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye katika risala iliyosomwa kwa niaba yake na katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT) Bw. Mohamed Kiganja katika ufunguzi wa...

 

3 years ago

Michuzi

UFINYU WA BAJETI KATIKA SEKTA YA MICHEZO UMECHANGIA KITUO CHA MICHEZO SONGEA KUSHINDWA KUENDESHA MAFUNZO KWA WANAMICHEZO

Na Mwandishi Maalum – Songea
Ufinyu wa Bajeti katika sekta ya michezo umechangia kwa kiasi kikubwa kwa kituo cha Michezo cha kanda ya Kusini- Songea  kushindwa kuendesha mafunzo ya muda mfupi kwa  makocha, marefarii, madaktari wa michezo, uongozi na utawala  katika michezo. 
Hayo yamesemwa  leo na Mkuu wa kituo hicho Eliufoo Nyambi wakati  akisoma taarifa ya kituo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura wakati alipotembelea kituo hicho ili kuona shughuli...

 

4 years ago

Mwananchi

Wanamichezo jiandaeni kwa bidii Michezo Afrika

Tanzania itashiriki kwa mara ya 11 kwenye Michezo ya Mataifa ya Afrika (All African Games) nchini Kongo Brazzaville. Kwa mara ya kwanza taifa lilishiriki kwenye michezo hiyo 1965 ikiwa ni miaka mitatu baada ya kupata Uhuru 1961 wakati huo ikiitwa Tanganyika

 

2 years ago

Bongo5

Urusi yasimamishwa kushiriki michuano ya kimataifa ya riadha baada ya kubainika kwa wanamichezo wake

Nchi ya Urusi imesimamishwa kushiriki michuano ya kimataifa ya Riadha baada ya kubainika kwa wanamichezo wake kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kusisimua misuli.

Hata hivyo, baadhi ya wachezaji wa Urusi wanaweza kushiriki na kushindana mahali popote endapo wanaweza kukidhi vigezo vya vipimo.

Urusi ilisimamishwa na shirikisho la riadha ulimwenguni I doubel AAF mwezi Novemba mwaka 2015, na wanariadha wake kukosa kushiriki michuano ya Rio Olimpiki ya mwaka jana.

Uingereza wanatarajia kuwa...

 

4 years ago

GPL

TUNZO KWA WANAMICHEZO BORA WA MWAKA MICHEZO MBALI MBALI ZATOLEWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Waziri wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dr. Finella Mukangara (katikati) Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Zanzibar Abdilah Jihadi Hassan (kulia) wakiwa na Mwandishi wa Habari Salim Said Salim na Mama Fatma Karume wakiwa katika Hafla ya utoaji wa tunzo kwa wanamichezo bora kwa mwaka 2013/2014 katika ukumbi wa  Diamond Jubilee...

 

10 months ago

BBCSwahili

Je,vazi la Hijab linaweza kutambuliwa na wanamichezo kimataifa?

Vazi la hijab limeanza tumika kama sare ya wachezaji wa mchezo wa mpira wa kikapu kisiwani Zanzibar

 

5 years ago

Mwananchi

Tupeleke wanamichezo wengi michezo ya Madola

Tupeleke wanamichezo wengi michezo ya Madola Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow, Scotland katika ufunguzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola utakaofanyika Julai 23.

 

3 years ago

Mwananchi

MTAZAMO : Wako wapi wanamichezo wa michezo yetu ya jadi?

Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo mbalimbali nchini katika makabila yao.

 

2 years ago

CCM Blog

WANAMICHEZO WAASWA KUTOTUMIA DAWA ZA KUSISIMUA MISULI KATIKA MICHEZO


Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Alex Nkenyenge akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanamichezo wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Brazil  katika mashindano ya Olimpiki kwa mwaka 2016 leo Agosti 1, 2016.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akizungumza na wanamichezo na wadau wa michezo  katika hafla ya kuwaaga wanamichezo wanaoenda kuiwakilisha Tanzania nchini Brazil  katika mashindano ya Olimpiki kwa mwaka 2016 leo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani