Kwa Picha: Real Madrid walivyosherehekea kulaza Liverpool na kushinda Champions League

Maelfu ya mashabiki wa miamba wa Uhispania Real Madrid walijitokeza katika barabara za jiji kuu la Uhispania Madrid kuwapokea wachezaji wa klabu hiyo waliporejea kutoka Kiev Jumapili.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

BBC

Real Madrid v Liverpool: Could James Milner be key to Champions League final?

The Champions League final between Real Madrid and Liverpool has the makings of a classic, but what can we learn from the pre-match statistics?

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 8: Real Madrid Mabingwa wa Champions League 2016/17

Usiku wa June 3 2017 jijini Cardiff nchini Wales ilikuwa ni siku ya kihistoria katika uwanja wa Millenium mahali ambapo anatokea staa wa Real Madrid Gareth Bale, usiku huo Real Madrid walicheza game yao ya fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Juventus. Real Madrid ambao ndio walikuwa Mabingwa watetezi wa taji hilo wamefanikiwa kutwaa […]

The post PICHA 8: Real Madrid Mabingwa wa Champions League 2016/17 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 13: Real Madrid walivyowasili Hispania na Kombe la 12 la Champions League

Usiku wa June 3 2017 katika uwanja wa Millenium jiji Cardiff nchini Wales Real Madrid waliandika historia mpya katika uwanja huo baada ya kufanikiwa kutwaa taji lao la 12 la UEFA Champions League katika historia ya club yao. Real Madrid walitwaa taji hilo baada ya kufanikiwa kuifunga Juventus ya Italia kwa jumla ya magoli 4-1, […]

The post PICHA 13: Real Madrid walivyowasili Hispania na Kombe la 12 la Champions League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Africanjam.Com

LIVESTREAM: ATLETICO MADRID vs REAL MADRID | UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL | LIVE NOW |

FIND THE SYMBOL 'x' AND CLICK ON IT TO REMOVE ADSENJOY THE GAME


Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit...

 

2 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robofainali baada ya sare hiyo ya 1-1 kwani walikuwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hilo lilikuwa na maana kwamba walihitaji angalau mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa...

 

3 years ago

MillardAyo

Ushindi mnono wa Real Madrid katika michuano ya UEFA Champions League

hgy

Burudani ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 18 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi round ya tatu, moja kati ya michezo iliyoshuhudiwa ikimalizika kwa idadi kubwa ya magoli ni mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Legia Warszawa mchezo uliochezwa katika dimba la Santiago Bernabeu. […]

The post Ushindi mnono wa Real Madrid katika michuano ya UEFA Champions League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Africanjam.Com

LIVESTREAM: REAL MADRID vs MANCHESTER CITY | UEFA CHAMPIONS LEAGUE SEMI FINAL | LIVE NOW |

If streaming is not working just refresh the page


Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site...

 

2 years ago

Channelten

UEFA Champions Ligi: nusu fainali kuanza leo, Real Madrid na Atletico Madrid

2

Leo kutakuwa na mtanange mkali huko Stadio Santiago Bernabeu ambapo Real Madrid watakutana na Atletico Madrid. Hii ni mara ya 5 kwa Timu hizi kupambana katika Mechi za Ulaya na Real Madrid walimaliza ndoto za Atlético Madrid kwenye UCL katika Misimu Mitatu iliyopita, ikiwa ni pamoja wa Fainali za Mwaka 2014 na 2016.

Na kesho jumatano ni nusu fainali ya pili kati ya AS Monaco itakapokwaana na Juventus.

Kesho jumatano pia kutakuwa na nusu fainali ya kwanza ya UEL, UEFA EUROPA Ligi...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Victor Wanyama na Divock Origi: Shauku kubwa kwa Wakenya Liverpool na Tottenham kufuzu fainali ya Champions League

Nyota wawili wa Kenya wanazichezea timu zitakazokutana katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya Juni mosi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani