Kwa Simba hii; Yanga na Azam tupa kule

ajibWachezaji wa Simba wakishangilia goli.

Omary Mdose na Nicodemus Jonas
KIKOSI cha timu ya Simba kwa sasa ndicho kinaongoza Ligi Kuu Bara kikiwa na pointi 57 ikibakiwa na michezo sita tu ili kuhitimisha msimu huu ambao wamedhamiria kufanya kweli tofauti na misimu miwili nyuma.

Simba iliuanza msimu huu kwa kasi ikiwa chini ya Kocha Muingereza, Dylan Kerr, mpaka sasa inanolewa na Mganda, Jackson Mayanja Mia Mia’ inaonekana kasi yao hiyo imekolea kwani tangu kocha huyo akabidhiwe timu hiyo...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

Hapa Yanga, kule Azam hapatoshi

‘Cheche cheche... Simizi kambeba Tembo,’ huo ni wimbo utakaotawala leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wakati kocha wa Yanga, Marcio Maximo atakapoonyesha kazi kijana wake Mecky Mexime wa Mtibwa Sugar.

 

3 years ago

Mtanzania

Jay Z Utajiri wa cocaine tupa kule

jay-z

Na BADI MCHOMOLO

WASANII wengi nchini Marekani wamekuwa na mafanikio makubwa ndani na nje ya muziki huku wakidaiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Hii ni biashara ambayo haikubaliki duniani kote, lakini watu wanafanya kwa kujificha, wengine wanashindwa kufika mbali kwa kuwa wanakamatwa na kuchukuliwa hatua.

Mbali na wasanii hao kujulikana kuwa wanajihusisha na uuzaji wa madawa hayo, lakini wapo wengine ambao hujulikana kuwa ni watumiaji wa madawa hayo.

Jay ni miongoni mwa...

 

3 years ago

MillardAyo

Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni

IMG_0079

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, vilabu vya Azam FC na Dar Es Salaam Young Africans, vilishuka dimbani kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara. Takwimu zinatajwa kuwa Yanga na Azam FC kabla ya mchezo wa leo wamekutana jumla ya michezo 15 kila timu […]

The post Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Bongo Movies

Hatari tupu! Utajiri wa MSANJA MKANDAMIZAJI UNATISHA! Diamond, Jide tupa kule. Tazama hapa

UTAJIRI wa komediani maarufu nchini  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.

Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake.

HABARI MEZANI

Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo...

 

2 years ago

Malunde

SHERIA MPYA YAPITISHWA...SASA MARUFUKU MAKINIKIA KUCHENJULIWA NJE YA NCHI,TMAA TUPA KULE


Bunge  limepitisha sheria mpya ambayo sasa itatambua haki na dhamana ya serikali katika makinikia ambayo itakuwa ni marufuku kuchenjuliwa nje ya nchi na serikali itashiriki kwa asilimia kuanzia 16 hadi 50 katika shughuli zote za uchimbaji, uchakataji na uchejuaji madini na ununuzi wa hisa katika kampuni ya uchimbaji madini.
Aidha, Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) umefutwa rasmi na sasa kunaanzishwa Kamisheni ya Madini, na kwamba kuanzia sasa umiliki wa leseni mbalimbali zinazotolewa kwa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simba, Yanga na Azam jipangeni kwa Madini

MACHALII wa Ligi Daraja la Pili, Madini FC ya mjini hapa imetuma salamu kimtindo kwa klabu za Simba, Yanga na Azam zilizotangulia mapema kwenye hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la FA.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani