KWAYA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM IKITUMBUIZA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA MABWENI YA CHUO HICHO ASUBUHII HII

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA MABWENI YA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM LEO

FATILIA HAPA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA MABWENI YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM LEO

 

2 years ago

Malunde

MABWENI MAPYA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUCHUKUA WANAFUNZI 3,840

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, amefanya uzinduzi wa mabweni mapya ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Rais Magufuli amesema kukamilika kwa mabweni hayo ya kisasa ndani ya kipindi chini ya miezi minane ni ishara kuwa Tanzania inaweza. “Tukiamua tunaweza tukafanya watu wakaona miujiza,” amesema.

Ameongeza kuwa wapo watu walibeza kuwa shilingi bilioni 10 zisingeweza kukamilisha ujenzi huo na kwamba hawakumiani kuwa yasingeweza kujengwa na Watanzania....

 

2 years ago

Michuzi

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) CHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu (DUCE)cha Chuo kikuu Dar es salaam kwenye viwanja vya chuo hicho, Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana Novemba 15, 2017.
Katika mahafali hayo zaidi ya wanachuo 1,443 waliochukua mafunzo ya Shahada ya Elimu ya Jamii na Elimu, (BAED), Shahada ya Elimu ya Sayansi na Elimu, (Bsc) na Shahada ya...

 

2 years ago

Channelten

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa

IMG_8614

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa ili kuleta ubunifu kwenye sekta isiyo rasmi, ikihusisha jamii katika masuala ya ujasiriamali ili kuiwezesha kunufaika na ubunifu wa ujasiriamali na kuhimili ushindani.

**Maafisa kutoka vyuo vikuu vya TUDARCo na TURK wamesema mradi huo utaangalia changamoto zinazowakabili wajasiriamali na kuzitafutia ufumbuzi lengo likiwa kuwezesha wanafunzi, vijana na wanawake ambao wapo...

 

2 years ago

Channelten

TBA imesema imeshakamilisha ujenzi wa majengo yote ishirini ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam

Wakala Majengo Tanzania TBA,umesema umeshakamilisha ujenzi wa majengo yote ishirini ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam.

Jumla ya majengo 20 yenye ghorofa nne kila moja,yanayotarajiwa kuchukua wanafunzi 3,840 kati ya wananchuo 7,000 wanaolazimika kupanga vyumba vya kuishi mitaani,yanajengwa mashariki mwa chuo hicho.

Afisa mtendaji Mkuu wa Wakala Majengo Tanzania,Mhandisi ELIUS MWAKALINGA,katika mahojiano maalum na Channel Ten,iliyomtafuta kutaka kujua maendeleo ya mradi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani