Kylie Jenner ampiga chini Tyga kwenye birthday yake

Tyga and Kylie

Couple ya mrembo Kylie Jenner na rapper Tyga inasemekana imevunjika.

Tyga and Kylie

Kwa mujibu wa TMZ, couple hiyo imevunjika baada ya kutokea ugomvi mkubwa ambao Tyga ndio chanzo.

Kylie amempiga chini Tyga siku ya Alhamisi NOV.19, siku ambayo Tyga alikuwa akisherehekea birthday yake ya 26 na marafiki mbalimbali wakiwemo A$AP Rocky, Wiz Khalifa, Jamie Foxx na Leonardo DiCaprio, lakini Kylie hakuonekana, wala yeye na dada zake hawakum-wish happy birthday kwenye mitandao ya kijamii.

Vyanzo vingine vimesema...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Picha: Tyga mzawadia gari mpenzi wake Kylie Jenner kwenye birthday yake

Rapper Tyga amempa mpezi wake Kylie Jenner zawadi ya gari mpya aina ya Maybach kwenye siku yake ya kuzaliwa akiwa anafikisha miaka 19.

Tyga alimpatia mpenzi wake huyo zawadi kupitia kampuni inayotoa magari kwa watu maarufu ya Richie Rich, na gari hio imelipiwa dola laki mbili na mbili na elfu ishirini.

Kylie anafikisha miaka 19 mnamo August 10.

0806-kylie-jenner-maybach-tmz-4

Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Tyga kumpatia mpezi wake huyo gari kwani Mwaka jana alipofikisha miaka 18, alimpa gari aina ya Ferrari 458...

 

3 years ago

Bongo5

Picha:Kylie Jenner alivyosherehekea birthday yake huku Tyga akiwa na msala Marekani

Mwanafamilia wa The Kardashians, Kylie Jenner Jumatano hii alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 19.

13724663_797896263680849_1610587099_n

Aliongozana na mpenzi wake, rapper Tyga hadi kwenye visiwa vya Turks and Caicos vilivyopo kwenye bahari ya Atlantic, kusini mashariki mwa Bahamas.

13743073_1724043377860846_1924110160_n

Aliongozana pia na marafiki zake akiwemo, Bella Hadid. Hata hivyo Tyga ana msala Marekani baada ya kushindwa kutokea mahakamani Jumanne hii kwenye kesi ya kudaiwa $480,285 na mwenye nyumba wake wa zamani.

Pamoja na deni...

 

3 years ago

Bongo5

Baada ya kurudiana Kylie Jenner athibitisha kuwa ndoa yake na Tyga inakuja

West Hollywood, CA - Kylie Jenner is back with her boyfriend, Tyga, after a short break-up during his birthday. They were seen arriving together at The Nice Guy for Justin Bieber's party where Kylie leaned on Tyga's shoulder to get out of their limo bus.

MANDATORY CREDIT: Maciel/Roger/AKM-GSI
 
 AKM-GSI November 22, 2015
 
 To License These Photos, Please Contact :
 
 Steve Ginsburg
 (310) 505-8447
 (323) 423-9397
 steve@akmgsi.com
 sales@akmgsi.com
 
 or
 
 Maria Buda
 (917) 242-1505
 mbuda@akmgsi.com
 ginsburgspalyinc@gmail.com

Baada ya kudaiwa kuachana siku chache zilizopita, rapper Tyga na mrembo kutoka kwenye familia maarufu ya The Kardashians, Kylie Jenner walionekana pamoja baada ya tuzo za ‘American Music Awards’ Jumapili iliyopita, ikiashiria kuwa wamemaliza matatizo waliyokuwa nayo.

tyga-2

Tyga aliyekuwa amevaa suti ya blue pamoja na Kylie aliyekuwa amevaa kivazi cheupe walionekana wakiwa wameshikana mikono baada ya tuzo hizo.

tyga-4

Wakati wakipanda gari ili kuelekea kwenye after party ya Justin Bieber, paparazzi...

 

4 years ago

Bongo5

Video: Tyga amtumia tena girlfriend wake Kylie Jenner kwenye video mpya ‘Dope’d Up’

tyga-kylie-doped-up-videoKwa mara nyingine Rapper Tyga amemtumia tena girlfriend wake Kylie Jenner kwenye video yake mpya ‘Dope’d Up. Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Kylie kuonekana kwenye video ya Tyga baada ya kucheza kama mpenzi wake kwenye video iliyopita ‘Stimulated’. Dope’d Up’ ni wimbo ambao utapatikana kwenye mixtape ya Tyga ‘Rawwest Nigga Alive’ iliyopangwa kutoka […]

 

3 years ago

Mtanzania

Tyga amvisha pete Kylie Jenner

Tyga, Kylie Jenner

Tyga, Kylie Jenner

NEW YORK, MAREKANI

BAADA ya kuuweka sawa uhusiano wao, Tyga ameamua kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Kylie Jenner.

Wawili hao waliachana miezi mitatu iliyopita, lakini hivi karibu kuna taarifa kwamba wawili hao wamemaliza tofauti zao na wanatarajia kuoana.

Kupitia akaunti ya Instagram, Kylie ameweka picha mbalimbali akiwa na mpenzi huyo huku wakiwa wanaonesha pete hiyo ya almasi.

“Nina mipango ya mbali na Tyga, kwa sasa kichwa changu kinawaza kuolewa na Tyga na...

 

2 years ago

Bongo5

Kylie Jenner na Tyga wamwagana tena

Rapper Tyga na mpenzi wake Kylie Jenner, wameachana kwa mara nyingine tena. Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa wakarudiana tena, kama kawaida yao.

Chanzo kimoja cha karibu kimeuambia mtandao wa People kuwa mara nyingi wawili hao wamekuwa na desturi ya kuachana kwa muda halafu wakarudiana tena.

“They tend to take little breaks all the time and then get back together. It’s definitely possible they’ll work things out again,” kimesema chanzo hiko.

Hii ni takribani mara ya tatu Tyga na Kylie...

 

3 years ago

Bongo5

Kylie Jenner akanusha taarifa za kuachana na Tyga

kylie-tyga-ellen

Mrembo wa familia ya Kardashians, Kylie Jenner amezungumzia kuhusu taarifa zilizosambaa wiki iliyopita kuwa amempiga chini rapper Tyga ambaye ni boyfriend wake.

kylie-tyga-ellen

Akizungumza katika kipindi cha The Ellen Show, Kylie amekanusha kuhusu uvumi huo na kusema kuwa watu walielewa vibaya lakini yeye na Tyga hawajaachana.

“Honestly, people have it all wrong, We’re not broken up. We became best friends before anything happened, so I think that that’s awesome and we’re just like, hanging out.”

Baada ya...

 

4 years ago

Mtanzania

Kylie Jenner, Tyga kuachana kisa jina la Drake?

Kylie Jenner, TygaNEW YORK, Marekani

BAADA ya wiki kadhaa za furaha ya nyota wa muziki nchini Marekani, Tyga kumnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon alipofanya sherehe ya kukumbuka siku ya kuzaliwa kwake, hali imebadilika na kuwa ya huzuni.

Uhusiano wa wawili hao unaonekana kuingiwa na mdudu mbaya baada ya kutokea malumbano kati yao ambapo kwa mujibu wa mtandao wa Hollywood life, chanzo ni kwamba Tyga alimtukana mpenzi wake huyo kwa kumfananisha mambo mabaya na Drake.

Mtandao huo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani