Kylie Minogue na Kylie Jenner wapigania jina

Mwanamuziki nyota Kylie Minogue anajaribu kumzuia Kylie Jenner kutotumia jina ''Kylie'' kama nembo yake nchini Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mtanzania

Kylie Jenner, Tyga kuachana kisa jina la Drake?

Kylie Jenner, TygaNEW YORK, Marekani

BAADA ya wiki kadhaa za furaha ya nyota wa muziki nchini Marekani, Tyga kumnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon alipofanya sherehe ya kukumbuka siku ya kuzaliwa kwake, hali imebadilika na kuwa ya huzuni.

Uhusiano wa wawili hao unaonekana kuingiwa na mdudu mbaya baada ya kutokea malumbano kati yao ambapo kwa mujibu wa mtandao wa Hollywood life, chanzo ni kwamba Tyga alimtukana mpenzi wake huyo kwa kumfananisha mambo mabaya na Drake.

Mtandao huo...

 

3 years ago

BBCSwahili

Kylie Minogue achumbiwa

Mwanamuziki Kylie Minogue ametangaza kuwa yeye ni mchumba wa Joshua Sasse.

 

3 years ago

BBCSwahili

Kylie Minogue kusubiri ndoa za wapenzi wa jinsia moja Australia

Mchumba wa mwanamuziki maarufu kutoka Australia Kylie Minogue amesema wameahirisha harusi yao hadi pale ndoa za jinsia moja zitakapohalalishwa nchini Australia.

 

4 years ago

GPL

KYLIE JENNER ACHARUKA MTANDAONI!

Mwanamitindo maarufu ambaye pia ni mtangazaji, Kylie Jenner. NEW YORK, Marekani MWANAMITINDO maarufu ambaye pia ni mtangazaji, Kylie Jenner juzikati amecharuka mtandaoni na kummwagia matusi shabiki wake aliyemuuliza swali kuhusu kazi ya lipsi zake kwenye ulimwengu wa mapenzi. Mwanamitindo huyo alionekana kuja juu kwanza kutokana na kitendo cha shabiki huyo kumchanganya jina kwa kumuita jina la dada yake, Kendall Jenner kisha...

 

3 years ago

Mtanzania

Kylie Jenner ajifundisha upishi

Kylie-Jenner (1)LOS ANGELES, MAREKANI

MPENZI wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Tyga, Kylie Jenner, ameamua kujifunza kupika kwa ajili ya kuwa mke bora kwa msanii huyo.

Mrembo huyo ameamua kutumia muda wake kutembelea familia ya Kardashian kwa ajili ya kujifunza kupika chakula.

“Ni jambo zuri kwa mwanamke kujua kupika na wengi hawajui kupika, lakini kwa upande wangu naweza kupika kutokana na elimu ninayoipata na familia yangu.

“Wanaume wengi wanapenda mke ajue kupika, hivyo ni lazima nijue ili nisije...

 

3 years ago

Mtanzania

Kylie Jenner ajipeleka kwa ASAP

kylie-jennerNEW YORK, MAREKANI
KUTOKANA na mgogoro unaoendelea kati ya mkali wa hip hop nchini Marekani, Tyga na mpenzi wake, Kylie Jenner, hatimaye mrembo huyo amejipeleka kwa ASAP Roky.

Kuna taarifa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba wawili hao wamekuwa na mgogoro katika uhusiano wao, huku mrembo huyo akidai kwamba mpenzi wake anaonekana kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani ambaye alizaa naye, Blac Chyna.

Kutokana na hali hiyo, mrembo huyo juzi alionekana akiwa na nyota wa hip hop,...

 

3 years ago

BBCSwahili

Kylie Jenner:Sitaki maisha ya umaarufu

Kylie Jenner yuko tayari kustaafu, amesema kwenye mtandao wake wa Instagram.

 

3 years ago

Mtanzania

Tyga amvisha pete Kylie Jenner

Tyga, Kylie Jenner

Tyga, Kylie Jenner

NEW YORK, MAREKANI

BAADA ya kuuweka sawa uhusiano wao, Tyga ameamua kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Kylie Jenner.

Wawili hao waliachana miezi mitatu iliyopita, lakini hivi karibu kuna taarifa kwamba wawili hao wamemaliza tofauti zao na wanatarajia kuoana.

Kupitia akaunti ya Instagram, Kylie ameweka picha mbalimbali akiwa na mpenzi huyo huku wakiwa wanaonesha pete hiyo ya almasi.

“Nina mipango ya mbali na Tyga, kwa sasa kichwa changu kinawaza kuolewa na Tyga na...

 

3 years ago

Global Publishers

Kylie Jenner avalishwa pete ya uchumba

KYLIE JENNER (3)Licha ya kugombana mara kwa mara na kufikia hatua ya kufunguliana mashtaka, Kylie Jenner akidai mpenzi wake Micheal Ray Stevenson ‘Tyga’ amemuibia pesa, sasa wapenzi hao wamefungua ukurasa mpya kwa kuingia kwenye hatua ya uchumba.

KYLIE JENNER (1)Tyga alifikia hatua ya kumvisha pete baby wake huyo pete ya uchumba baada ya kuona hakuna mwingine zaidi yake na inadaiwa sasa hivi penzi limenoga ile mbaya.

KYLIE JENNER (2)Kwenye tukio la kuvalishana pete, Tyga alifanya kama sapraizi kwani hakumpa taarifa na chanzo kinadai kuwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani