La Prof. Kabudi, Zanzibar na mtego wa Komba

KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanampa sifa nyengine, nayo ni ya ujasiri. Anaandika Othman Masoud Othman … (endelea). Anapotafuta anachokitaka, hachelei kuingia katika nyumba ya mtu na hata chumbani. Pamoja na udogo wake, lakini komba anapokabiliwa na tishio kutoka kwa binadamu, atachukua miguu yake ya mbele na kuiweka kichwani, kisha atatembea kwa miguu ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Prof Ndalichako, wenzio tuepushieni mtego huu wa panya!

Mwaka mmoja tangu Rais John Magufuli aingie madarakani unapokaribia, yaani Novemba 5 ambayo haipo mbali, kwa ufupi, kiongozi huyo mkuu wa nchi amekuwa akijiainisha kuwa mkusanya kodi, mtu wa watu wakiwamo wanyonge, ingawa kwa sasa safari ndani ya meli yake ya matumaini inakwenda mrama!

 

2 years ago

Mtanzania

PROF. KABUDI, BULEMBO WATEULIWA UBUNGE

1

Na Mwandishi Wetu-DAR ES SALAAM

RAIS Dk. John Magufuli amefanya uteuzi wa wabunge wawili na balozi mmoja.

Wabunge walioteuliwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo na Profesa Palamagamba Kabudi ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sheria.

Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa, ilieleza kuwa wabunge hao wateule wataapishwa kwa taratibu za Bunge.

Rais Magufuli pia amemteua...

 

2 years ago

TheCitizen

Prof Kabudi presents maiden budget

The Minister for Constitutional and Legal Affairs Prof Palamagamba Kabudi on Tuesday presented his maiden budget to the parliament asking the House to approve a sum of Sh166 billion for his office for the 2017/18  fiscal year.

 

11 months ago

Michuzi

PROF. KABUDI AMUWAKILISHA WAZIRI MKUU


 Leo Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria amemuwakilisha Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Ibada ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Pili wa Dayosisi ya Shinyanga, Rev. Can. Capt. Johnson Japheth Chinyong’ole.

Ibada hiyo imefanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Stefano, Shinyanga na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo Mheshimiwa George Huruma Mkuchika (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Magufuli awapa ulaji Prof. Kabudi, Bulembo

RAIS John Magufuli ametangaza kumteua Profesa Palamagamba Kabudi, na Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, anaandika Charles William. Prof. Kabudi ni mhadhiri katika Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Katibu wa Baraza la chuo hicho. Anakumbukwa na wengi ...

 

2 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA PROF. KABUDI, NUNDU , KIA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (Kushoto), akiwa na Mbunge Mteule, Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa zamani, Omari Nundu, walipokutana jana, Januari 21, 2017, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). (Picha na Bashir Nkoromo).

 

2 years ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Prof Kabudi Presents Maiden Budget


Tanzania: Prof Kabudi Presents Maiden Budget
AllAfrica.com
Dodoma — The Minister for Constitutional and Legal Affairs Prof Palamagamba Kabudi on Tuesday presented his maiden budget to the parliament asking the House to approve a sum of Sh166 billion for his office for the 2017/18 fiscal year. According to ...

 

1 year ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATEMBELA UBALOZI WA TANZANIA UBELIGIJI

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Prof. Palamagamba John Kabudi, ametembelea ubalozi wa Tanzania Brusels, Ubeligiji tarehe 29 Septemba, 2017. Prof. Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Ubeligiji Mheshimiwa Joseph Edward Sokoine. 
Prof. Kabudi yuko Mjini Brussels, Ubeligiji akiambatana na Mhe. Rais Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Uganda na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mawaziri na Makatibu Wakuu kutoka Tanzania, Kenya, Uganda na Burundi.
 Wakati akiwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani