lady in red fashion show 2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Lady in red 2014 fashion show ilivyonoga

Miss Tanzania kwa mwaka 2013 na 2014 Hapiness Watimanywa akipozi katika Red Carpet ya Lady in Red Fashion show 2014 iliyofanyika Ijumaa katika ukumbi wa Serena jijini Dar es salaam
Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin  Mwandaaji wa onesho hilo
Mbunge mteule wa Bunge la Katiba Mhe Maria Sarungi-Tehai akihojiwa na Deo wa Nivana wa East Afrika Television aliyekuwa MC wa siku.
Asia akimkabidhi ua mumewe Bw. Khamsin
Kwa picha zaidi za Habari5 Blog BOFYA HAPA Pia BOFYA HAPA

 

3 years ago

Dewji Blog

Wema Sepetu awafunda wabunifu chipukizi wa Lady In Red fashion show 2016

DSC_0805

Mkurugenzi wa Fabak Fashions na mwandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asya Idarous Khamsin (katikati) akimtambulisha rasmi mwanadada, Wema Sepetu (kushoto) ambaye ni miongoni mwa wadhamini wa Jukwaa hilo la Lady In Red 2016. (Kulia) ni Martin Kadinda ambaye naye miongoni mwa watendaji wanaoratibu jukwaa hilo. Onesho hilo linatarajiwa kufanyika 31 Januari ndani ya ukumbi wa Danken House uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

 

Nyota wa filamu za...

 

3 years ago

Michuzi

WEMA SEPETU AWAFUNDA WABUNIFU WA MAVAZI CHIPUKIZI WATAKAOPAMBA LADY IN RED FASHION SHOW 2016

Mkurugenzi wa Fabak Fashions na mwandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asya Idarous Khamsin (katikati) akimtambulisha rasmi mwanadada, Wema Sepetu (kushoto) ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. (Kulia) ni Martin Kadinda ambaye naye miongoni mwa watendaji wanaoratibu jukwaa hilo la Lady in Red. katika usiku wa Lady In Red fashion show 2016, litakalofanyika 31 Januari ndani ya ukumbi wa Danken House wa Mikocheni jijini Dar es Salaam. 
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Nyota wa filamu za Bongo,...

 

3 years ago

Michuzi

lady in lady 2016 fashion show kufanyika jumapili ukumbi wa danken House jijini Dar es salaam


Uongozi wa maandalizi ya  onesho la mitindo ya mavazi la kila mwaka la "Lady In Red 2016" umekutana na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa "Danken House" jijini Dar es salaam kujadili na kutoa hamasa kwa Designers na wadau mbalimbalia ambao ni wapenzi wa mitindo.
Uongozi huo ambao unasimamiwa na Mama wa Mitindo Asya Idarous-Khamsin  umesema kuwa "Jukwaa la "Lady In Red 2016" litakuwa la ainayake kufuatia jitihada na juhudi zinazofanywa na walengwa wa tukio hilo, ambalo linategemea...

 

4 years ago

Dewji Blog

#MBAR2015 Eleganza Fashion show Red carpet swagga and After Party @ Dar es Salaam Serena Hotel

DSC_0359

Warembo waalikwa katika pozi la Ukodak.

DSC_0346

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, ambao ndio wadhamini wakuu wa#MBAR2015 Eleganza Show kupitia brand ya Mercedes Benz,  Bw.Wayne McIntosh (kushoto) akipozi kwa picha na binti mrembo (katikati) aliyembatana na Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Tulip, Bw. Aatish Ladwa (kulia).

DSC_0349

DSC_0362

Mwandaaji wa Miss Universe Tanzania na Mkurugenzi wa Compass Communications, Maria Sarungi (kushoto) akipozi na msaidizi wake.

DSC_0364

Mwandaaji wa Miss Universe Tanzania na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani