LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU

*Apiga marufuku mwanafunzi kuchapwa viboko shuleni, atoa mbinu za ufundishajiNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiKATIBU wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania Winfrida Rutahinfwa ametoa  maagizo kwa Walimu wakuu na Wakuu wa shule nchini kutoogopa kuwachukulia walimu ambao watabainika wanakiuka nidhamu ya utumishi hata kama walimu hao watakuwa ni wake wa viongozi wa ngazi za juu Serikali.
Pia amewaagiza walimu kubuni mbinu za kufundisha wanafunzi ili wafaulu kwenye masomo huku kwa walimu wa Mkoa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MWENYEKITI PAMOJA NA KATIBU WA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU (TSC) IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Oliva Joseph Mhaiki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Winfrida Gaspa Rutaindurwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya...

 

1 year ago

Michuzi

MWALIMU WA SEKONDARI ALIYEMPA MIMBA MWANAFUNZI SHULE YA MSINGI ACHUKULIWE HATUA-RC MNDEME

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza mwalimu wa sekondari aliyempa mimba mwanafunzi wa shule ya msingi achukuliwe hatua haraka iwezekanavyo.

 

2 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU UTUMISHI ASISITIZA NIDHAMU KWA VIONGOZI NA WATUMISHI NCHINI.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro amewataka viongozi na watumishi wote nchini kuzingatia nidhamu kama msingi wao wa utendaji kazi pamoja na kanuni na maadili ya utumishi wa umma ili utumishi wao uweze kuwa mzuri.
Dkt. Ndumbaro ameyasema hayo alipokutana na watumishi Mkoani Singida na kusikiliza matatizo, kero, changamoto pamoja na kupata maoni ya namna ya kuboresha utumishi wa umma kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma...

 

2 years ago

Mwananchi

Wanasiasa wasiingilie majukumu ya Tume ya Nidhamu ya Walimu

Matukio ya adhabu kwa walimu baada ya maazimio ya vikao vya wanasiasa, ni aina nyingine ya udhalilishaji wa taaluma unaozidi kujenga hofu kwa watumishi hao wa umma.

 

5 years ago

Habarileo

Oluoch ataka Tume ya Utumishi wa Walimu katiba mpya

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiah Oluoch ameshawishi wajumbe wenzake kuhakikisha Tume ya Utumishi wa Walimu, inaundwa na inatambuliwa na Katiba mpya.

 

3 weeks ago

Michuzi

Tume ya Utumishi wa Walimu yaadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani

 Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wakiwa wamebeba bango wakati wa Maandandano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika Mei 1, 2019 jijini Dodoma.  Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wakiwa wamebeba bango wakati wa Maandandano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika Mei 1, 2019 jijini Dodoma. Wafanyakazi wa TSC wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Wafanyakazi wa TSC wakiwa ndani ya uwanja...

 

2 years ago

Habarileo

Muhoji ateuliwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

RAIS John Magufuli amemteua Nyakimura Muhoji kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma.

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI, KATIBU MKUU WALA VIAPO KUIONGOZA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akila kiapo cha kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta.  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimpongeza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad...

 

5 years ago

Michuzi

UJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YA UGANDA WATEMBELEA TUME YA UTUMISHI YA MAHAKAMA YA TANZANIA

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania akibadilishana mawazo na Viongozi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Uganda mapema Leo a alipotembelea ofisini kwa Mhe. Jaji Mkuu, wa pili kulia ni Mhe. Jaji James Ogoola, Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama wa Uganda, wa tatu kulia ni Mhe. Jaji Dk. Esther Kisaakye ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Uganda, wa kwanza kushoto ni Mhe. Jaji...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani