Leicester, Tottenham zaongoza kwa kuingiza wachezaji wengi katika Kikosi Bora cha Mwaka EPL

Orodha ya wachezaji 11 waliopo katika Kikosi Bora cha Mwaka cha Ligi Kuu ya Uingereza kimetangazwa ambapo Vinara wa Ligi hiyo, Leicester City na timu inayoshika nafasi ya pili, Tottenham wakiibuka vinara kwa kutoa wachezaji wanne kila timu.

Wachezaji wa Leicester City walioingia katika kikosi hicho ni Jamie Vardy, Riyad Mahrez, N’Golo Kante na Wes Morgan huku Tottenham wakiwa na Harry Kane, Dele Alli, Toby Alderweireld na Danny Rose.

Vilabu vingine vilivyopata nafasi ya kuingiza wachezaji ni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

EPL: Chelsea na Tottenham zatawala kikosi bora Ligi Kuu Uingereza

Chelsea na Tottenham wana wachezaji wanne kila klabu katika kikosi cha wachezaji 11 bora wa Ligi ya Premia msimu huu ambacho kimetangazwa na Chama cha Wachezaji wa Soka ya Kulipwa Uingereza.

 

3 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Hiki ndio kikosi cha FIFA bora katika soka cha Dunia kwa mwaka 2015

2754926_big-lnd

Kutoka mjini Zurich, Uswiz, usiku hu tayari FIFA kimetangaza kikosi bora cha wanasoka 11 kwa mwaka 2015.”FIFA/FIFPro World XI for 2015 ” kama wanavyoonekana (pichani) katika tukio la utoaji wa tuzo ya mchezaji bora wa FIFA Ballon d’Or  2015. Na Andrew Chale,Modewjiblog Kikosi hicho kinaundwa na: Manuel Neuer, Thiago Silva, Marcelo, Sergio Ramos, Dani Alves, Andres Iniesta, Luka Modric, Paul Pogba, Neymar, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

 Endelea kufuatilia Modewjiblog.com kujua...

 

3 years ago

Dewji Blog

Hiki ndiyo kikosi cha wachezaji 11 ambao wameng`aa zaidi kuelekea kumaliza mwaka 2015, msimu wa 2015/2016 kwenye EPL

Smalling-Vardy-Ozil-De-Bruyne

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mtandao wa habari za michezo wa Goal.com umetoa majina 11 ya wachezaji ambao wameonyesha uwezo zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza EPL kwa msimu wa 2015/2016 kuelekea kumaliza mwaka 2015.

Mpaka sasa imeshachezwa michezo 17 na klabu ya Leicester City ikiwa nafasi ya kwanza kwa kukusanya jumla ya alama 38 ikifuatiwa na Arsenal yenye alama 36 na klabu ya Aston Villa ikiwa mkiani na alama 7.

Listi ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo;

Golikipa

Jack Butland -Stoke...

 

3 years ago

MillardAyo

UEFA wametangaza majina 18 ya wachezaji wanaounda kikosi bora cha mwaka 2016, England hakuna hata mmoja

United’s Marcus Rashford celebrates after scoring  during the Europa League round of 32 second leg soccer match between Manchester United and FC Midtjylland in Manchester, England, Thursday, Feb. 25, 2016 . (AP Photo/Jon Super)

Ni siku mbili zimepita toka tushuhudia ile fainali ya michuano ya klabu Bingwa Ulaya kwa mwaka 2016, fainali ambayo ilichezwa katika uwanja wa San Siro Milan Italia, hiyo ilikuwa fainali inayozihusisha timu kutoka nchi na jiji moja Hispania Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid. Leo May 30 2016 shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina […]

The post UEFA wametangaza majina 18 ya wachezaji wanaounda kikosi bora cha mwaka 2016, England hakuna hata mmoja appeared first on...

 

2 years ago

Bongo5

Hiki ndio kikosi cha PFA cha wachezaji 11 bora Uingereza msimu huu

Chama cha wachezaji soka wakulipwa Uingereza (PFA) kimetaja kikosi chake bora cha ligi hiyo kwa msimu huu unaoelekea ukingoni.

Timu ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ndizo zimeongoza kutoa wachezaji wengi katika kikosi hicho ambapo kila timu imetoa wachezaji wanne. Wachezaji wa Chelsea walioingia katika kikosi hicho ni pamoja na Gary Cahil, David Luiz, N’golo Kante na Eden Hazard.

Nao waliochaguliwa kutoka Spurs ni Kyle Walker, Danny Rose, Dele Alli na Harry Kane. Wachezaji wengine...

 

1 year ago

BBCSwahili

Mkenya Victor Wanyama kurudi katika kikosi cha Tottenham

Kiungo wa kati wa Tottenham Victor Wanyama amerudi katika mazoezi kufuatia jeraha la goti na huenda akarudi katika kikosi cha Pochetino kulingana na meneja huyo

 

3 years ago

MillardAyo

List ya wachezaji 40 wanaoshindania kuunda kikosi bora cha UEFA 2016

2416802_w1

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo November 21 2016 limetaja list ya majina 40 yaliofanikiwa kuingia kwa watu watakaowania kuunda kikosi bora cha mwaka 2016 cha UEFA. Joshua Kimmich baada ya kuwa na mwaka mzuri akiwa na Ujerumani na FC Bayern Munich ametajwa katika list hiyo kwa mara ya kwanza. Magolikipa: Rui Patricio (Sporting), Keylor Navas […]

The post List ya wachezaji 40 wanaoshindania kuunda kikosi bora cha UEFA 2016 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Hiki ndo kikosi bora cha mwaka cha (PFA) ligi kuu ya England

Ligi Kuu ya England imetoa kikosi cha mwaka cha wachezaji bora wa wa kulipiwa (PFA) huku vilabu vya Leicester City na Tottenham imetoa wachezaji wanane.

Kila timu ikiwa imetoa wachezaji wanne wa kikosi hicho bora cha msimu huu.

Washambuliaji Jamie Vardy na Harry Kane ndio wanaongoza safu ya mashambulizi ya kikosi hicho

3367DF5100000578-3552268-PFA_tweeted_their_Team_of_the_Year_on_Thursday_but_there_was_no_-a-9_1461256005957

Kiungo wa Kijerumani Mesut Ozil ambaye anawania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa chama cha wanasoka wa kulipwa PFA hayumo kwenye kikosi hicho.

PFA walikuwa wakitangaze...

 

3 years ago

MillardAyo

Staa wa soka wa Misri na Tottenham aliahidi kufanya hivi, kama Leicester watakuwa Mabingwa, katekeleza EPL

mido

Ni wengi ambao hawakuwa na mawazo wala kuamini kuwa msimu huu klabu ya Leicester City itachukua Ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza kwa mara ya kwanza toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, lakini wengi hawakuishia kutokuamini kwa mdomo wengine waliweka ahadi za kutekelezeka. Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Tottenham Hotspurs ya Uingereza na timu ya taifa ya […]

The post Staa wa soka wa Misri na Tottenham aliahidi kufanya hivi, kama Leicester watakuwa Mabingwa, katekeleza EPL appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani