Leicester wazuiwa kumsajili mchezaji kwa kuchelewa sekunde 14

Fifa wamelikataa ombi la Leicester City la kutaka kumsajili kiungo wa kati Adrien Silva baada ya klabu hiyo kuchelewa kwa sekunde 14 kumaliza usajili wake kabla ya muda wa mwisho kufika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

BBCSwahili

Adrien Silva: Mchezaji aliyechelewa sekunde 14 ahamia Leicester kwa £22m

Kiungo wa kati wa Ureno Adrien Silva hatimaye amefanikiwa kuhamia Leicester City, baada ya kushindwa majira ya joto klabu hiyo ilipochelewa kuwasilisha nyaraka zake kwa sekunde 14.

 

2 years ago

BBCSwahili

Leicester kumsajili beki wa Ghana

Beki wa timu ya taifa ya Ghana Daniel Amartey anakaribia kujiunga na kilabu ya ligi kuu ya Uingereza Leicester City.

 

11 months ago

Mwananchi

Leicester yaingia anga za Everton kumsajili Sigurdsson

Klabu ya Leicester City imejipanga kumpa mshahara mnono nyota wa Swansea, Gylfi Sigurdsson ambaye anatajwa kukaribia kuhamia Everton msimu huu.

 

1 year ago

BBCSwahili

Everton kumsajili mchezaji wa Algeria

Klabu ya Everton imekubali mkataba wa kumsajili mshambuliaji wa Algeria na klabu ya Standard Liege Ishak Belfodil

 

2 years ago

MillardAyo

Mbeya City inajiimarisha, imetangaza kumsajili mchezaji mpya

MBY23

Bado dirisha la usajili la Ligi Kuu soka Tanzania bara linaendelea kama kawaida, kwa sasa tumekuwa tukishuhudia vilabu mbalimbali vikitangaza kusajili wachezaji na vingine vikiendelea kuwania wachezaji na vilabu vingine. Leo June 23 2016 ni siku ambayo Mbeya City hawajaishia kutangaza tu kufanikiwa kusaini mkataba wa miaka miwili wa udhamini na kampuni ya Binslum Tyre, […]

The post Mbeya City inajiimarisha, imetangaza kumsajili mchezaji mpya appeared first on MillardAyo.Com.

 

1 year ago

Bongo5

Conte kumsajili mchezaji huyu kutoka Bayern Munich

Kocha wa klabu ya Chelsea, Antonio Conte amedaiwa kwamba yupo tayari kufanya usajili wa mchezaji kiungo wa kimataifa wa klabu ya soka ya Bayern Munich ya Ujerumani Arturo Vida.

Inadaiwa Conte amemuandalia Arturo Vidal dau la paundi milioni 34 ili kumnasa katika dirisha dogo la mwezi huu wa Januar Conte na Vidal walishawahi kufanya kazi pamoja wakati wapo Juventus. Tusubiri kuona endapo atampata.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...

 

2 years ago

MillardAyo

FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid …

Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba wake masaa machache baada ya kugundua kuwa ametweet vitu ambavyo vinaihusu timu ya Real Madrid. Baada ya kufuzu majaribio na Barcelona B Sergi Guardiola alisaini […]

The post FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid … appeared first on...

 

2 years ago

Bongo5

Pep Guardiola: Ander Herrera wa Man United ndio huenda akawa mchezaji wake wa kwanza kumsajili.

maxresdefault2

Kocha Pep Guardiola baada ya uongozi wa Man City kuthibitisha kuwa kocha wao mpya kuanzia msimu ujao, tayari amesha waambia Man City kuwa kuna wachezaji ambao anawataka akiwamo John Stones kutoka Everton mmoja wao ni kutoka kwa majirani zao Man United, Herrera.

Pep-Guardiola11

Inaripotiwa kuwa Guardiola atakapotua Man City mwishoni mwa msimu mchezaji Ander Herrera wa Man United ndio huenda akawa mchezaji wake wa kwanza kumsajili.

maxresdefault2

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

1 year ago

BBCSwahili

Leicester City kumchukua mchezaji wa NigeriaWilfred Ndidi

Leicester City wanatarajiwa kumnunua kiungo wa kati wa klabu ya Genk Wilfred Ndidi kwa £15m.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani