Leo ni Real Madrid na Manchester United

Ikiwa Manchester United itaishinda Real Madrid itakuwa mara ya nne katika historia, watakuwa wameshinda vikombe vinne katika muda mfupi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Mwananchi

Ronaldo: Manchester United bora kuliko Real Madrid

Cristiano Ronaldo amesema kwamba klabu ya Manchester United ni bora kuliko Real Madrid.

 

10 months ago

BBCSwahili

Manchester United yaichapa Real Madrid kwa penalti

Manchester United wameifunga Real Madrid kwa mikwaju ya penalti baada ya kumaliza dakika 90 kwa sare ya goli 1-1.

 

11 months ago

Mwanaspoti

Ronaldo aichokoza Real Madrid atishia kutimikia Manchester United

Baada ya kuipa mafanikio makubwa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameangusha bomu akiuambia uongozi wa klabuĀ  hiyo anataka kuondoka.

 

3 years ago

Africanjam.Com

MAAMUZI YA REAL MADRID KUHUSU SERGIO RAMOS KUTUA MANCHESTER UNITED

Saa zisizopungua 48 baada ya klabu ya Manchester United kuripotiwa kutuma ofa ya kumsajili beki wa kimataifa wa Spain, Sergio Ramos, klabu yake ya Real Madrid imepokea ofa hiyo na imetoa uamuzi.Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.Follow us on...

 

9 months ago

BBCSwahili

Real Madrid walaza Manchester United 2-1 Kombe la Super Cup Uefa

Manchester United are outclassed as Spanish and European champions Real Madrid retain the Uefa Super Cup victory in a sweltering Skopje.

 

2 years ago

BBC

Manchester City v Real Madrid

Manchester City are set to be without Yaya Toure for Tuesday's Champions League semi-final first leg against Real Madrid.

 

2 years ago

StarTV

Manchester City wachapwa na Real Madrid

Manchester City wameshindwa kufika katika fainali za kwanza za klabu bingwa barani Ulaya (UEFA) baada ya kutolewa na mabingwa mara 10 wa michuano hiyo Real Madrid katika mchezo uliokua wa kuvutia tena wa aina yake. Walichapwa 1-0.

Baada ya kutokuwa na ushindi wowote katika mzunguko wa kwanza, Real Madrid walianza kuongoza kipindi cha kwanza kufuatia mpira wa krosi uliopigwa na Gareth Bale kumbabatiza kiungo wa City Fernando na kuingia nyavuni.

Real waliutawala mchezo huku mpira wa kichwa...

 

10 months ago

BBCSwahili

Manchester City yaicharaza Real Madrid 4-1

Meneja Pep Guardiola amesema Benjamin Mendy atasubiri kwa wiki mbili ama tatu baada ya Manchester City kuicharaza Real Madrid 4-1 mechi ya kirafiki mjini Los Angeles.

 

2 years ago

BBCSwahili

Manchester city Real Madrid hakuna mbabe

Manchester city na Real Madrid zimetoka sare ya bila kufungana.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani