LHRC yataka polisi kubadili mbinu

Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC) kimelitaka Jeshi la Polisi kubadili mbinu za kukabiliana na uhalifu kwa sababu mbinu wanazotumia sasa zimekuwa zikiwasababishia usumbufu wananchi wasiokuwa na hatia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

LHRC yataka usimamizi taasisi za mikopo

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetaka kuwepo kwa mamlaka itakayosimamia taasisi mbalimbali za mikopo kutokana na baadhi yake kuwatapeli wananchi, hususani waliojiari katika sekta isiyo rasmi na...

 

2 years ago

Mwananchi

CCM Z’bar kubadili mbinu

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Abdallah Juma Abdallah maarufu Mabodi amesema chama hicho kimejipanga kufanya siasa za kisayansi zenye ushindani wa sera, kitaaluma na ubunifu zitakazojenga mazingira ya ushindi mwaka 2020.

 

5 years ago

Mwananchi

LHRC yataka Katiba ije na Sheria ya Ardhi

Wananchi wa Kijiji cha Msangamkuu Mtwara vijijini mkoani hapa wameitaka Serikali kuunda Sheria ya Ardhi inayoweka wazi suala nzima la umiliki wa rasilimali hiyo kwa lengo la kupunguza migogoro katika jamii.

 

2 years ago

Zanzibar 24

LHRC yataka RC Makonda achukuliwe hatua za kinidhamu

Kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC) kimesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye silaha.

Kimesema kuwa hatua hiyo ni kutishia usalama wa watu na kusema ni kutumia vibaya madaraka.

Aidha Kimetoa wito kwa Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa.

The post LHRC yataka RC Makonda achukuliwe hatua za kinidhamu appeared first on Zanzibar24.

 

5 years ago

Mwananchi

TMA kubadili mbinu utoaji taarifa

>Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi amesema licha ya mamlaka hiyo kutoa taarifa za hali ya hewa,   watumiaji wamekuwa hawazingatii  hali inayosababisha kuendelea kutokea kwa majanga.

 

3 years ago

Bongo5

Guardiola ilitubidi kubadili mbinu dhidi ya Barcelona

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amekiri kuwa ilimlazimu abadili mbinu dhidi ya Barcelona katika mechi ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne usiku.

joseph-guardiola-manchester-city-barcelona-uefa-champions-league-01112016_1j1h7o927tipt1otkhcby85ykg

Guardiola awali alitamka kuwa ataendelea kung’ang’ania falsafa yake ya pasi nyingi kutokea nyuma, lakini mfumo wa kucheza moja kwa moja uliisaidia City kujipatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Barcelona.

Hata hivyo, Muhispania huyo alieleza kuwa mfumo huo wa uchezaji uliwawezesha kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kuzua mashambulizi ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Tanzania yataka kubadili TTCL kuwa shirika la Umma

Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  imesema inakusudia kutunga sheria  mpya ya  kampuni ya simu Tanzania TTCL  ili  kulifanya  kuwa shirika la umma  na iweze  kujiendesha kwa ufanisi.

Akizungumza na wadau mbalimbali katika mkutano wa kujadili mapungufu pamoja na mafaniko Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi  na Mawasiliano Bara Edwin Ngonyani amesema zoezi la kutunga sheria mpya limeanza ili kuliwezesha  shirika hilo  kufanya kazi kwa ufanisi na  kuendana na sera ya taifa ya Tehama  ya...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo Awataka Wasanii wa filamu Kubadili Mbinu

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao.

Mzee Chilo

Mzee Chilo

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao.

“Mimi nasema tutengeneze kazi nzuri kama hali ni mbaya zaidi tubadili hata mbinu kwa tupeleka filamu zetu kwenye majumba ya sinema,” alisema Mzee...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani