Ligi Kuu England: Kwa nini itakuwa vigumu kuwafikia Manchester City

City walikwea zaidi kileleni baada ya kuichapa Arsenal 3 - 1 kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Ethiad siku ya Jumapili kabla ya Manchester United kupoteza dhidi ya Chelsea, City kwa sasa ni kama hawazuiliki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Chelsea, Manchester City ni vita ya ubingwa Ligi Kuu England

Chelsea ina nafasi ya pekee ya kufikisha pointi nane dhidi ya Manchester City leo katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu England.

 

4 years ago

Mwananchi

Chelsea, Manchester City zang’ara Ligi Kuu England

 Chelsea imeendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi Kuu England ikiwa na pointi 32 bila mpinzani baada ya kuilaza West Brom kwa mabao 2-0.

 

6 months ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Imekuwa vigumu kwa Manchester United kuwakimbiza Manchester City

City walilaza Everton 3-1 Jumamosi, na hiyo ina maana kwamba watashinda taji kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2013-2014 iwapo watafanikiwa kuwalaza United uwanjani Etihad wikendi ijayo.

 

8 months ago

BBCSwahili

Manchester United na Chelsea wachapwa Ligi Kuu England

Ilikuwa siku ya miamba kulala kwani mabingwa watetezi Chelsea pia walilazwa 3-0 na Bournemouth, ushindi ambao meneja wao Eddie Howe ameueleza kuwa matokeo bora zaidi kwao Ligi ya Premia.

 

3 years ago

Mwananchi

LIGI KUU ENGLAND 2015/16: Je, msimu ujao mabingwa ni Arsenal au Manchester United?

>Baada ya wiki iliyopita Manchester United na Arsenal kutoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford, timu hizi zilionyesha kwamba haziwezi kuitoa Manchester City katika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England huku zikiwa zimeishakubali Chelsea kuwa bingwa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Norwhich City,yarejea ligi kuu England

Klabu ya soka ya England Norwhich City imefanikiwa kurejea katika ligi kuu ya baada kuifunga Middlesbrough 2-0.

 

5 years ago

BBCSwahili

Man City yaongoza ligi kuu England

Klabu ya Manchester City yashika usukani kwenye jedwali la msimamo wa ligi kuu Egland kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi Tottenham.

 

5 months ago

BBCSwahili

Man City yakabidhiwa kombe la ligi kuu ya England

Mabingwa wapya wa ligi kuu ya England kwa msimu wa 2017 - 2018 klabu ya Manchester City imekabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi kuu ya England licha ya kukubali sare ya bila kufungana na Huddersfield Town.

 

3 years ago

Vijimambo

ARSENAL YAIFUNGA HULL CITY BAO 3-1 KATIKA LIGI KUU ENGLAND

Timu ya soka ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Hull City katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. Mlinda mlango wa Hull City, Steve Harper akiwa hana la kufanya zaidi ya kuuangalia mpira ukijaa wavuni.Ikicheza ugenini katika uwanja wa KC, washika bunduki hao wa jiji la London walionyesha kandanda la hali ya juu na kuonyesha ubora wao wa kumiliki mpira hadi mwisho wa mchezo wao.
Mabao mawili toka kwa mshambuliaji wake mwenye kasi Alexis Sanchez...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani