LIGI KUU MSIMU WA 2016/2017,MIZENGWE ILIZIDI.

Na Honorius Mpangala.

Wakati kipenga cha ufunguzi wa kigi kikipigwa agosti 20 mwaka 2016 kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga ilikua ni kitu kilichokua kikisubiliwa na wapenzi wengi kutokana na wadau kushuhudia usajili kabambe wa vilabu vyao.
Kuanza kwa ligi kuliweza kutoa harufu ya msisimko na ushindani katika msimu huo,mfano mechi ya kwanza kati ya Azam Fc dhidi ya African Lyon ilikua mechi ambayo iliwaduwaza sana mashabiki na benchi la ufundi la azam kutokana na shughuli...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MSIMU MPYA LIGI KUU YA VODACOM 2016/2017 WAANZA KWA MSISIMKO.

 Kwenye picha baadhi ya wafanyakazi kutoka Idara ya Masoko ya Vodacom Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Idara hiyo Nandi Mwiyombella (katikati) walifika kushuhudia mechi kati ya Simba na Ndanda.

 Endele Kufuata kurasa zetu kwenye mitandao ya kijamii ukitumia #VPL2016 uweze kutabiri matokeo ya mechi na kupata taarifa zaidi kuhusu ligi kuu ya Vodacom. Pia kupata live match updates kila wiki. 

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara VPL ilifunguliwa rasmi wikiendi iliyopita kwa mechi 6 kuchezwa katika...

 

3 years ago

Global Publishers

Msimu Mpya Ligi Kuu Vodacom 2016/2017 Waanza Kwa Msisimko

VPL-PR-Log

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara VPL ilifunguliwa rasmi wikiendiiliyopita kwa mechi 6 kuchezwa katika viwanja tofauti. Katika mechi ya Simba dhidiya Ndanda FC tulishuhudia Simba ikipata ushindi wa magoli 3 – 1 huku winga mpya wa Simba, Shiza Kichuya akifanikiwa kufunga bao zuri kuhitimisha karamu yamagoli 3.

VPL Twitter Poll

Kule Morogoro, Mtibwa Sugar wakiwa uwanja wa nyumba ni waliduwazwa na Ruvu Shooting baada ya kupokea kichapo cha goli moja bila. Akizungumza siku moja baada ya mechi hiyo Kocha wa...

 

3 years ago

MillardAyo

Hii ndio klabu ya kwanza kupanda Ligi Kuu Uingereza msimu ujao 2016/2017

CheANsjWgAA0yGM

Wakati Ligi Kuu Uingereza ikiendelea kwa vilabu vya Tottenham Hotspurs na Leicester City kuchuana kwa karibu katika mbio za kuwania Ligi Kuu Uingereza, huku vilabu vya Newcastle United, Sunderland, Norwich City vikiwa katika hatua ya kupigania kutoshuka daraja na Aston Villa kuonesha dalili zote za kushuka, Bunley imekuwa klabu ya kwanza kurudi Ligi Kuu Uingereza msimu ujao. Bunley wamefanikiwa […]

The post Hii ndio klabu ya kwanza kupanda Ligi Kuu Uingereza msimu ujao 2016/2017 appeared...

 

3 years ago

Bongo5

John Bocco mchezaji bora wa ligi kuu mwezi Agosti kwa msimu wa 2016/2017

Mshambuliaji John Bocco wa Azam FC amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Agosti kwa msimu wa 2016/2017.

bocco

Bocco ambaye pia ni nahodha wa Azam FC aliwashinda wachezaji Mzamiru Yasin wa Simba na Said Kipao wa JKT Ruvu. Katika mechi mbili ilizocheza katika mwezi huo, Bocco aliifungia timu yake mabao matatu likiwemo la kusawazisha dhidi ya African Lyon.

Alifunga mabao mengine mawili kwenye ushindi wa mabao 3-0 wa timu yake dhidi ya Majimaji. Katika mechi hizo mbili,...

 

2 years ago

Bongo5

Mwamuzi aondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2016/2017

Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi za Tanzania (Kamati ya Saa 72), imemwondoa Mwamuzi wa kati, Ahmada Simba katika orodha ya waamuzi watakaochezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu wa 2016/2017.

Hatua hii imefikiwa baada ya utetezi wa Mwamuzi Simba kudai kwamba hakuona tukio la Mchezaji wa Young African, Obrey Chirwa ambaye alifunga bao ambalo hata hivyo, mwamuzi alilikataa na kumwonya mchezaji kwa kadi njano.

Tukio hilo lilitokea katika mchezo ambao...

 

3 years ago

Bongo5

Ratiba ya Ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao wa ligi (2016/17)

Ratiba ya Ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa ajili ya msimu ujao wa ligi (2016/17) imetoka. Ratiba hiyo inaonesha ligi kuu Tanznia bara itaanza kuchezwa August 20, 2016, angalia ratiba kamili hapa chini.

IMG-20160718-WA0056

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

3 years ago

MillardAyo

PICHAZ 25: Yanga walivyopokea Kombe lao la Ligi Kuu msimu wa 2015/2016 leo May 14 2016

2X6A9998

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kwa Bingwa wa Ligi Kuu klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wake wa 29 dhidi ya Ndanda FC uwanja wa Taifa Dar es Salaam, licha ya kuwa Yanga tumezoea kumuona Taifa kama mwenyeji ila leo yeye ndio alikuwa mgeni wa Ndanda FC ambao walikubali kuchezea Taifa […]

The post PICHAZ 25: Yanga walivyopokea Kombe lao la Ligi Kuu msimu wa 2015/2016 leo May 14 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Michuzi

TIMU 16 KUSHIRIKI LIGI KUU MSIMU WA 2015/2016

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanzia msimu wa 2015/2016 itakuwa na timu 16 badala ya 14 za sasa.
Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Mei 3 mwaka huu) jijini Dar es Salaam baada ya kupokea mapendekezo ya kuongeza idadi ya timu kutoka kwenye Kamati ya Mashindano.
Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuongeza ushindani katika ligi hiyo, na kuwezesha wachezaji kupata mechi nyingi zaidi za mashindano. Kwa mabadiliko...

 

3 years ago

Global Publishers

Ratiba Ya Ligi Kuu Bara Raundi Ya Mwanzo Msimu Wa 2016-17

SIMBA-YANGA-5 AGOSTI 17, 2016 NGAO YA JAMII  Yanga vs Azam Taifa Agosti 20, 2016 Kagera Sugar vs Mbeya City Kaitaba Simba vs Ndanda FC Taifa Toto African vs Mwadui FC Kirumba Stand United vs Mbao FC Kambarage Mtibwa Sugar vs Ruvu Shooting Manungu Azam FC vs African Lyon Azam Complex Majimaji FC vs Prisons Majimaji AGOSTI 21, 2016 SERENGETI BOYS VS AFRIKA KUSINI TAIFA Agosti 27, 2016 Mbao FC vs Mwadui Fc Kirumba JKT Ruvu vs Simba Taifa Kagera Sugar vs Stand United Kaitaba Mtibwa Sugar vs Ndanda FC...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani