LIGI KUU: Tambwe aipaisha Yanga, Simba yashikwa

Baada ya ukame wa mabao katika michezo miwili mfululizo, mshambuliaji Amissi Tambwe jana alifunga mabao matatu ‘hat trick’ ya kwanza msimu huu na kuisaidia Yanga kupata ushindi  mnono wa mabao 4-0 na kuendelea kuongoza ligi kwa kufikisha pointi 30.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Yanga yangara, Azam yashikwa

>Baada ya miaka sita Yanga imepata ushindi  wa kwanza kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya  kwa kuichakaza Prisons mabao 3-0 wakati  Azam ikilazimishwa sare ya 0-0 na Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani.

 

3 years ago

BBCSwahili

Simba na Yanga kukwaana ligi kuu

Nchini Tanzania Gumzo miongoni mwa wapenzi wa Soka ni kuhusiana na Mechi kubwa ya watani Yanga na Simba

 

3 years ago

Mtanzania

Yanga kuiwinda Simba Ligi Kuu

YangaSimbaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara timu ya Yanga, leo itakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuikaribisha timu ya Mtibwa Sugar.

Iwapo Yanga iliyo nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 56 itaifunga Mtibwa katika mchezo huo, itakalia usukani wa ligi hiyo kwa kufikisha pointi 59 na hivyo kuishusha Simba inayoongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 57.

Mechi ya mzunguko wa kwanza Mtibwa Sugar ilikubali kuwa mteja mbele ya Yanga kwa kufungwa mabao 2-0 katika...

 

3 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga mtegoni Ligi Kuu

Ni Jumamosi yenye mitego kwa timu za Ligi Kuu zitakaposhuka viwanja vitano tofauti nchini ili kusaka pointi tatu muhimu.

 

4 years ago

Mwananchi

Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga

Makocha wa klabu mbalimbali za Ligi Kuu nchini wameichambua mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho na kueleza kuwa Yanga ‘itabebwa’ na uzoefu huku Simba ikitakiwa kucheza kitimu zaidi ili ishinde mchezo huo.

 

4 years ago

Raia Tanzania

Simba, Azam zatofautiana na Yanga ratiba ligi Kuu

SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Uongozi wa Mabingwa wa ligi hiyo, Yanga umeibuka na kuipinga kwa madai kuwa haikuwatendea haki.

Ligi hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 12 kwa michezo saba ya ufunguzi kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tibohora, alisema kuwa wao hawajaridhika na upangaji wa ratiba hiyo, na inaonyesha wazi nia yao ni kutaka wafanye vibaya msimu...

 

3 years ago

Mtanzania

Yanga yashikwa Mbeya, Simba mpaka raha

YangaSimbaNA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM, MBEYA

WAKATI timu ya Yanga ikibanwa mbavu kwa kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya maafande wa Prisons katika Uwanja wa Sokoine Mbeya, Wekundu wa Msimbazi Simba wameendelea kung’ara na kujiimarisha katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya timu ya Mgambo Shooting mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Matokeo hayo yameifanya Yanga kufikisha pointi 40 ikiendelea kuwa kileleni mwa msimamo...

 

4 years ago

Mwananchi

UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi

Ligi Kuu Bara inaendelea leo kwa viwanja saba kuwaka moto,  huku bingwa mtetezi, Yanga ikishuka uwanjani kuikabili Prisons, wakati Azam  ikiwa ugenini Kambarage,  Shinyanga kuumana na Stand United  huku Simba  ikitaka kuendeleza ubabe Tanga na kulipa kisasi kwa Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Mkwakani, Tanga.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mateso ya Yanga, Simba SC Ligi Kuu ndio uhai wa soka

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kitaanza Septemba 20, kwa miamba 14 kuanza vita ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo huku timu kongwe za Simba na Yanga zikiwa na kazi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani