Ligi Kuu Uingereza – EPL: Chelsea mabingwa 2017, Conte ataka wabebe na kombe la FA

7

Chelsea waliibuka mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) huku wakibakiza Mechi 2 kwa kuifunga West Bromwich Albion 1-0 huko the Hawthorns kwa bao la dakika ya 82 la Michy Batshuayi.

Kocha wa Chelsea Antonio Conte ameitaka timu hiyo kugeuza msimu huu kuwa war aha kwa kuwataka kubeba pia kombe la FA. Conte, ambae alijiunga na Chelsea mwanzoni mwa msimu baada ya kuiacha timu ya Taifa ya Italy mara baada ya fainali za EURO 2016, amesema kubadili mfumo na kutumia difensi ya watu 3 mwezi...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

2 years ago

Channelten

Ligi kuu Uingereza EPL: Chelsea yajiimarisha kileleni mwa ligi, Manchester United yachupa nafasi ya tano.

1

Timu ya Chelsea imeitwanga Bournemouth 3-1 na kurudisha pengo la pointi 7. Bao za Chelsea zilifungwa na Adam Smith aliyejifunga mwenyewe, Eden Hazard na Marcos Alonso. Michezo mingine ilikuwa kati ya Tottenham iliichapa Watford 4-0 na kujisogeza katika nafasi ya pili ya ligi hiyo. Nao Liverpool wakicheza ugenini wameichapa Stroke City 2-1. Huko Etihad, Man City wameweka hai mbio zao baada ya kuitwanga Hull City 3-1. Mechi za jana Manchester United wameicharaza Sunderland bao 3-0 na kukalia...

 

2 years ago

BBCSwahili

EPL: Chelsea na Tottenham zatawala kikosi bora Ligi Kuu Uingereza

Chelsea na Tottenham wana wachezaji wanne kila klabu katika kikosi cha wachezaji 11 bora wa Ligi ya Premia msimu huu ambacho kimetangazwa na Chama cha Wachezaji wa Soka ya Kulipwa Uingereza.

 

2 years ago

Channelten

Ligi kuu Uingereza (EPL): Chelsea, Man U, Man City na Tottenham zafanya vyema.

23

Kwa mara ya kwanza katika msimu huu Alvaro Morata anapiga Hat-Trick na kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Stoke City.

Katika mechi ya Tottenham na West Ham hadi mchezo unamalizika, Tottenham waliibuka na ushindi wa goli 3-2. Nayo Manchester United imeifunga Southamton goli 1-0. Huku Manchester City wakiibamiza bila huruma Cystal Palace 5-0. Nayo Liverpool yakumbuka shuka kukipambazuka kwa kuifunga Leicester City 2-1.

Share on: WhatsApp

The post Ligi kuu Uingereza...

 

1 year ago

BBCSwahili

Meneja wa Chelsea Antonio Conte: Tutailaza Barcelona mechi ya marudio Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Antonio Conte amesema kuwa Chelsea "itajaribu kufanya kitu cha kipekee" kwa kuitoa Barcelona katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare 1-1 katika awamu ya kwanza.

 

2 years ago

Bongo5

Antonio Conte: Tottenham wanaweza kushinda taji la ligi kuu Uingereza

Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte amesema kuwa Tottenham inaweza kushinda taji la ligi kuu ya Uingereza baada ya ku stopisha ushindi wa mechi 13 mfululizo wa Chelsea kwa kuifunga 2-0 katika uwanja wa White Hart Lane.

Magoli mawili ya vichwa vilivyopigwa na Dele Ali viliisaidia Tottenham kuishinda Chelsea tangu mwezi Septemba na kuiacha Spurs ikiwa pointi saba nyuma ya viongozi hao katika nafasi ya tatu.

”Tottenham ni timu nzuri sana na kwa kweli ni mojawapo ya timu ambazo zinaweza...

 

2 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya ligi kuu Uingereza EPL

ligi kuu ya soka nchini Uingereza iliendelea usiku wa kuamkia leo kwa viwanja vitatu kuwaka moto

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea mabingwa wapya Ligi Kuu England

Timu ya Chelsea imeibuka bingwa mpya wa Ligi Kuu ya England, EPL kw mwaka 2014/2015 huku ikibakiwa na michezo mitatu

 

4 years ago

Africanjam.Com

RATIBA KAMILI YA LIGI KUU YA UINGEREZA "EPL" 2015/16

Msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2015-2016 maaufu kama EPL unatarajia kuanza kutimua vumbi mwezi Agosti 8 mwaka huu kwa vilabu vyote 20 ambavyo vinashiriki ligi hiyo kukipiga kwenye siku ya kwanza ya ufunguzi wa ligi hiyo ambapo klabu ya Chelsea waliibuka mabingwa wa msimu uliopita wa 2014-2015.
Ratiba ya msimu mzima wa EPL 2015-2016 
August 8Bournemouth v Aston VillaArsenal v West Ham UnitedChelsea v Swansea CityEverton v WatfordLeicester City v SunderlandManchester United v Tottenham...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani