Ligi kuu Uingereza: Arsenal, Chelsea zachezea kichapo, Man City yafanya mauaji, Man U yaambulia sare.

rrt

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea wikiendi iliyomalizika huku Manchester City wakifanya mauaji kwa kuichapa Stoke City magoli 7-2. Crystal Palace imeilaza Chelsea kwa goli 2-1, huku Arsenal ikibomolewa na Watford kwa jumla ya magoli 2-1. Nayo Manchester United imeambulia sare ya 0-0 dhidi ya Liverpool.

Share on: WhatsApp

The post Ligi kuu Uingereza: Arsenal, Chelsea zachezea kichapo, Man City yafanya mauaji, Man U yaambulia sare. appeared first on Channel Ten.

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Ligi kuu Uingereza (EPL): Chelsea, Man U, Man City na Tottenham zafanya vyema.

23

Kwa mara ya kwanza katika msimu huu Alvaro Morata anapiga Hat-Trick na kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Stoke City.

Katika mechi ya Tottenham na West Ham hadi mchezo unamalizika, Tottenham waliibuka na ushindi wa goli 3-2. Nayo Manchester United imeifunga Southamton goli 1-0. Huku Manchester City wakiibamiza bila huruma Cystal Palace 5-0. Nayo Liverpool yakumbuka shuka kukipambazuka kwa kuifunga Leicester City 2-1.

Share on: WhatsApp

The post Ligi kuu Uingereza...

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal, Chelsea, Man City zakubali sare

Majongoo wa Anfield Liverpool wakiwa katika dimba lao waliponea chupuchupu kufungwa na Arsenal na kuambulia sare ya mabao 3-3.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Ligi kuu Uingereza: Rushford aibeba Man U Kwa bao la usiku, Chelsea waua

Goli la dakika ya 92 la Marcus Rushford limeibeba Man  United ugenini dhidi yawenyeji Hull City katika uwanja wa KCOM. Man united imeibuka na ushindi wa goli 1-0.

CHELSEA

Eden Hazard alifungua kitabu cha magoli baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Burnley leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Willian na Victor Moses

EDEN

LEICESTER

Mshambuliaji Janie Vardy ndiye aliyefunga goli la...

 

4 months ago

BBCSwahili

Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Msimamo wa Ligi Kuu ya England kufikia tarehe 31 Desemba, 2018.

 

4 years ago

BBCSwahili

Man U yalala,Arsenal yawika,Chelsea sare

Arsenal ilinusurika dakika za lala salama na kuweza kuishinda Crystal Palace mabao 2-1 na kupanda hadi nafasi ya tatu katika ligi

 

3 years ago

BBCSwahili

Man City washinda,Chelsea watoka sare

Mshambuliaji Sergio Aguero alifunga mara mbili na kuisaidia Manchester City kupunguza mwanya wa uongozi wa ligi kuu ya Uingereza kwa kuicharaza Crystal Palace mabao 4-0.

 

3 years ago

BBCSwahili

Man City,Chelsea zashinda Liverpool yatoka sare

Manchester City imepanda hadi nafasi ya tatu katika jedwali la ligi ya Uingereza baada ya kuicharaza Stoke City 4-0

 

4 years ago

StarTV

Man Utd yaambulia sare ya 2-2 na West Brom.

Ligi kuu ya England imeendelea jana usiku ambapo Manchester United ilijikuta ikibanwa mbavu na kushindwa kufurukuta ugenini kwa Westbromwich Albion na kutoka sare ya mabao 2-2 licha kwamba ilitawala mchezo huo.

 
Mchezo huo wa pekee kwa ratiba ya ligi hiyo ulishuhudiwa Man United ikishindwa kupata walau ushindi wake wa kwanza nje ya uwanja wake wa nyumbani tangu timu hiyo iwe chini ya kocha Louis Van Gaal.

 
Ni bao la Daley Blind katika dakika za mwisho za mchezo ambalo limeiokoa Manchester...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani