Ligi kuu Uingereza EPL: Chelsea yajiimarisha kileleni mwa ligi, Manchester United yachupa nafasi ya tano.

1

Timu ya Chelsea imeitwanga Bournemouth 3-1 na kurudisha pengo la pointi 7. Bao za Chelsea zilifungwa na Adam Smith aliyejifunga mwenyewe, Eden Hazard na Marcos Alonso. Michezo mingine ilikuwa kati ya Tottenham iliichapa Watford 4-0 na kujisogeza katika nafasi ya pili ya ligi hiyo. Nao Liverpool wakicheza ugenini wameichapa Stroke City 2-1. Huko Etihad, Man City wameweka hai mbio zao baada ya kuitwanga Hull City 3-1. Mechi za jana Manchester United wameicharaza Sunderland bao 3-0 na kukalia...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Chelsea yajiimarisha kileleni ligi kuu

Timu ya Chelsea imezidi kujichimbia kileleni mwa ligi kuu ya England baada ya kujikusanyia pointi 63

 

2 years ago

Channelten

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuendelea April, Manchester United shughuli pevu

1

Baada ya kukaa pembeni kwa wiki mbili kupisha mechi za kimataifa, Manchester United wanarudi kilingeni Jumamosi Aprili 1 kwa kucheza nyumbani mechi ya ligi kuu England, dhidi ya West Bromwich Albion Uwanjani Old Trafford.

Mechi hiyo ni mwanzo wa mfululizo wa mechi 9 ambazo watazicheza mwezi Aprili na 7 kati ya hizo ni za EPL wakati 2 ni za UEFA EUROPA Ligi za robo fainali wakipambana na klabu ya Belgium Anderlecht.

Hivi sasa Man United wapo nafasi ya 5 kwenye ligi wakiwa na Pointi 52 kwa...

 

2 years ago

BBCSwahili

EPL: Chelsea na Tottenham zatawala kikosi bora Ligi Kuu Uingereza

Chelsea na Tottenham wana wachezaji wanne kila klabu katika kikosi cha wachezaji 11 bora wa Ligi ya Premia msimu huu ambacho kimetangazwa na Chama cha Wachezaji wa Soka ya Kulipwa Uingereza.

 

5 months ago

BBCSwahili

Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Msimamo wa Ligi Kuu ya England kufikia tarehe 31 Desemba, 2018.

 

1 year ago

BBCSwahili

Manchester United na Chelsea wachapwa Ligi Kuu England

Ilikuwa siku ya miamba kulala kwani mabingwa watetezi Chelsea pia walilazwa 3-0 na Bournemouth, ushindi ambao meneja wao Eddie Howe ameueleza kuwa matokeo bora zaidi kwao Ligi ya Premia.

 

2 years ago

Channelten

Ligi Kuu Uingereza – EPL: Chelsea mabingwa 2017, Conte ataka wabebe na kombe la FA

7

Chelsea waliibuka mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) huku wakibakiza Mechi 2 kwa kuifunga West Bromwich Albion 1-0 huko the Hawthorns kwa bao la dakika ya 82 la Michy Batshuayi.

Kocha wa Chelsea Antonio Conte ameitaka timu hiyo kugeuza msimu huu kuwa war aha kwa kuwataka kubeba pia kombe la FA. Conte, ambae alijiunga na Chelsea mwanzoni mwa msimu baada ya kuiacha timu ya Taifa ya Italy mara baada ya fainali za EURO 2016, amesema kubadili mfumo na kutumia difensi ya watu 3 mwezi...

 

4 years ago

BBCSwahili

Mancity yafika kileleni mwa ligi ya EPL

Mchezaji Frank Lampard alifunga bao la ushindi kupitia kichwa chake dhidi ya Sunderland na kuiweka Manchester City sawa na Chelsea

 

2 years ago

Mwananchi

Chelsea yajiimarisha kileleni EPL

Chelsea maarufu The Blues, imeendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Arsenal 3-1.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani