LIGI KUU VODACOM KUANZA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 17, SIMBA NA YANGA FEBRUARI 18 MWAKANI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
LIGI kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea tena kwa duru la pili kuanzia Desemnba 17, huku timu zikishauriwa kukamilisha usajili kwa wakati huku Yanga na Simba kuumana Februari 18 2017..
Dirisha la usajili lililofunguliwa Novemba 15 linatarajiwa kufungwa Desemba 15 na timu zote zimeopewa mwongozo wa kutumia mfumo wa ule ule wa kutumia mtandao katika kuwasilisha majina hayo usiku wa Desemba 15.
Ofisa habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Alfred Lucas...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu England kuanza kutimua vumbi

Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea wanatarajia kuivaa Arsenal katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi hivi karibuni.

 

2 years ago

Mwananchi

Ligi Kuu Zenji hatua ya nane bora kuanza kutimua vumbi Julai 9

Zanzibar. Baada ya mapumziko ya mwezi mmoja ya Ligi Kuu Zanzibar, timu ya Okapi ya Msuka kisiwani Pemba imeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na michezo yake ya ligi hiyo hatua ya nane bora inayotarajiwa kundelea Julai 9 mwaka huu visiwani hapa.

 

3 years ago

Michuzi

KOMBE LA SHIRIKISHO RAUNDI 16 KUANZA KUTIMUA VUMBI FEBRUARI 26

Ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imetolewa leo, ambapo jumla ya timu 16 zinakutana katika hatua hiyo (16 bora) itakayoanza kutimua vumbi wikiendi ya Februari 26-1 Machi 2015 katika viwanja mbalimbali nchini.
Michuano hiyo iliyoshirikisha jumla ya timu 64 kutoka ngazi za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili, inaingia katika mzunguko wa nne huku kukiwa na timu kutoka katika ngazi zote za ligi za TFF nchini.
Ijumaa tarehe 26 Februari...

 

3 years ago

Habarileo

Ligi Arusha kuanza kutimua vumbi leo

LIGI ya soka daraja la tatu ngazi ya wilaya ya Arusha inatarajiwa kuanza leo katika viwanja mbalimbali jijini hapa imeelezwa.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ligi Kuu ya Vodacom kuanza rasmi leo, Simba SC kuanza na Ndanda Dar

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuanza rasmi leo Jumamosi Agosti 20, 2016 kwa michezo mitano huku Bingwa Mtetezi wa Kombe hilo 2015/16, Young Africans ya Dar es Salaam ikisubiri hadi Agosti 31, 2016 kuanza kutetea taji lake.

Young Africans inatarajiwa kusafiri kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kucheza na TP Mazembe kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kufanyika Agosti 23, mwaka huu.

Michezo itakayoanza leo ni pamoja na Simba SC...

 

3 years ago

BBCSwahili

ligi ya mabingwa ulaya kuanza kutimua vumbi leo

Michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya inaanza kutimua vumbi leo kwa jumla ya viwanja vinane kuwaka moto.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ligi ya Wanawake kuanza kutimua vumbi Novemba mosi, timu 12 kushiriki

Timu 12 zinatarajiwa kushiriki Ligi ya Taifa ya Wanawake inayotarajiwa kuanza Novemba mosi, mwaka huu kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Maendeleo ya Soka la Wanawake na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), zilizoridhia tarehe hiyo.

Tayari klabu zimeagizwa kuzingatia jina kuenenda na namba za jezi mgongoni ili kuepusha mkanganyiko wa wachezaji wakati wa ligi hiyo inayofanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.

Timu 12 zinatarajiwa kushiriki ligi hiyo ambako kesho Oktoba 8, 2016...

 

3 years ago

StarTV

  Ligi Kuu Tanzania Bara Kutimua vumbi hapo kesho

 

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania mzunguko wa kumi na nne unatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo nane kuchezwa.

Katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam, Maafande wa JKT Ruvu watawakaribisha Maafande wa Mgambo Shooting,

Toto Africans watakua wenyeji wa Tanzania Prisosns uwanja wa CCM Kirumba, huku Stand United wakicheza dhidi ya Kagera Sugar uwanja wa Kamabarage mjini Shinyanga.

Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Simba SC watawakaribisha wakata miwa wa Mtibwa Sugar ,Mbeya City...

 

4 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani