Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2017/2018 kufikia tamati Jumatatu Mei 28, 2018

Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2017/2018 inafikia tamati Jumatatu Mei 28, 2018 kwa timu zote 16 kuingia viwanjani kukamilisha raundi ya 30, ambayo ndiyo itakayokamilisha jumla ya mechi 240 za msimu huu.
Mechi hizo zitachezwa kama ifuatavyo;Lipuli vs Kagera Sugar- saa 10 kamiliTanzania Prisons vs Singida Utd- saa 10 kamiliNdanda vs Stand Utd- saa 10 kamiliMtibwa Sugar vs Mbeya City- saa 10 kamiliYanga vs Azam- saa 2 kamili usikuNjombe Mji vs Mwadui- saa 10 kamiliMbao vs Ruvu Shooting- saa 10...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

HII HAPA RATIBA YOTE YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA VODACOM 2017-2018

RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka. 
Pazia la Ligi Kuu inayorushwa moja kwa moja na Televisheni ya Azam, litafunguliwa rasmi Agosti 27, mwaka huu kwa timu zote 16 kuingia viwanjani.

AGOSTI 26, 2017
Ndanda Vs Azam -Nangwanda
Mwadui Vs Singida- Mwadui
Mtibwa Vs Stand – Manungu
Simba Vs Ruvu – Taifa
Kagera Vs Mbao -Kaitaba
Njombe Vs Prison- Sabasaba
Mbeya Vs Majimaji- Sokoine

 

3 years ago

Michuzi

MSIMU MPYA LIGI KUU YA VODACOM 2016/2017 WAANZA KWA MSISIMKO.

 Kwenye picha baadhi ya wafanyakazi kutoka Idara ya Masoko ya Vodacom Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Idara hiyo Nandi Mwiyombella (katikati) walifika kushuhudia mechi kati ya Simba na Ndanda.

 Endele Kufuata kurasa zetu kwenye mitandao ya kijamii ukitumia #VPL2016 uweze kutabiri matokeo ya mechi na kupata taarifa zaidi kuhusu ligi kuu ya Vodacom. Pia kupata live match updates kila wiki. 

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara VPL ilifunguliwa rasmi wikiendi iliyopita kwa mechi 6 kuchezwa katika...

 

3 years ago

Global Publishers

Msimu Mpya Ligi Kuu Vodacom 2016/2017 Waanza Kwa Msisimko

VPL-PR-Log

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara VPL ilifunguliwa rasmi wikiendiiliyopita kwa mechi 6 kuchezwa katika viwanja tofauti. Katika mechi ya Simba dhidiya Ndanda FC tulishuhudia Simba ikipata ushindi wa magoli 3 – 1 huku winga mpya wa Simba, Shiza Kichuya akifanikiwa kufunga bao zuri kuhitimisha karamu yamagoli 3.

VPL Twitter Poll

Kule Morogoro, Mtibwa Sugar wakiwa uwanja wa nyumba ni waliduwazwa na Ruvu Shooting baada ya kupokea kichapo cha goli moja bila. Akizungumza siku moja baada ya mechi hiyo Kocha wa...

 

2 years ago

Michuzi

StarTimes yazindua msimu wa tatu wa uoneshwaji wa ligi ya Bundesliga 2017/2018


Na Agness Francis, Blogu ya jamii.
Kampuni ya  Startimes Tanzania imezindua uoneshaji wa ligi ya  Bundesliga  mwaka 2017/2018 ambayo itarushwa mubashara kupitia  vipindi vya startimes  kwa wapenzi wa soka hapa  nchini
Uzinduzi huo umefanyika  leo jijini Dar es Salaam lengo ni kuwa  kuwafahamisha wapenzi  wa mpira kununua ving’amuzi na   kujiunga na vifurushi  ili kuburudika na mechi hizo ambazo ligi hiyo itakuwa ikiionyeshwa moja kwa moja na startimes.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo...

 

12 months ago

CCM Blog

2 years ago

Zanzibar 24

ZFA yakubwa na homa kali kuchagua timu 12 za ligi kuu soka ya Zanzibar mwaka 2017-2018

Siku ya Alhamis Machi 16, 2017 itaendelea  kukumbukwa na Wazanzibar baada ya ZFA kuingizwa rasmi kuwa Mwanachama wa 55 wa Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF” kufuatia Kikao cha 39 cha Mkutano Mkuu wa Shirikisho hilo kilichofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia.

Katika kura 54 za CAF, kura 51 zimekubali Zanzibar ipatiwe uanachama wa kudumu wa Shirikisho hilo na nchi 3 zilikataa Zanzibar isipatiwe ambazo ni Madagascar, Benin na Seychelles, hivyo Wazanzibar wala tusizichukie nchi hizo kwani ni...

 

1 year ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 7,2018


Magazetini leo Jumatatu May 7,2018

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani