ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Mbeya City yaapa kulipa kisasi cha Simba kwa Ruvu Shooting

Baada ya klabu ya Mbeya City Sc kutoana jasho na Simba Sc katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliopigwa Machi 4, 2017 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam  na kutoka sare ya bao 2-2. Kikosi cha klabu hiyo kimeanza mazoezi rasmi ili kuikabili Ruvu Shooting Jumamosi ijayo kwenye uwanja wa Sokoine.

Afisa habari wa klabu hiyo, Dismas Ten amesema maandalizi ya kikosi chake yanaendelea vizuri huku akiitumia salamu za ushindi Ruvu Shooting kwa kuwa wako tayari kuchukua pointi...

 

2 years ago

Michuzi

SIMBA YAENDELEA KUSHIKA USUKANI WA LIGI KUU YA VODACOM KWA ALAMA NNE MBELE YA WATANI WAO, YAILAZA RUVU SHOOTING BAO 1-0

Timu ya ya Soka ya Simba ya Jijini Dar es salaam imeendelea kujikita kileleni kwa tofauti ya alama nne baada ya Kuwabugiza Maafande wa Ruvu Shooting goli 1-0.
Mpira ulianza kwa kasi kwa upande wa Simba kutaka kupata goli la mapema lakini jitihada za mlinda mlango na mabeki ziliweza kuzaa matunda.Mpaka kufika Dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza Simba wanaandika goli la kwanza kupitia kwa Mohamed Ibrahim baada ya kupokea pasi kutoka kwa Shiza Kichuya.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi kwa Ruvu...

 

3 years ago

Michuzi

RUVU SHOOTING YAZIDI KUJIFUA KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI KUU

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii
LICHA ya baadhi ya timu kutoanza mazoezi kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani, timu ya Ruvu Shooting imeendelea kujifua kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupanda tena  daraja msimu huu ikiongoza kundi B  na kuingia kambini mapema hata kabla ya kumalizika kwa Ligi Kuu.
Afisa habari wa timu hiyo, Masau Bwire amesema kuwa timu yao  inaendelea na mazoezi licha ya kuendelea kwa mwezi wa ramadhani, msimu ujao ni muhimu sana kwao kwani...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Azam FC, Mbeya City zimetia fora Ligi Kuu

KAMPENI ya miamba 14 kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyoanza Agosti 24, mwaka jana, imefikia tamati mwishoni mwa wiki. Ligi hiyo imehitimishwa kwa rekodi ya aina...

 

3 years ago

MillardAyo

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wameendeleza vipigo kwa kuiadhibu Mbeya City

DSC_0106

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumanne ya May 10 2016 katika uwanja wa Sokoine, kwa wenyeji Mbeya City kuwakaribisha Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara mara mbili mfululizo klabu ya Dar es Salaam Young Africans. Yanga ambao msimu huu wa Ligi Kuu wamefungwa mechi moja na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani Tanga, […]

The post Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wameendeleza vipigo kwa kuiadhibu Mbeya City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Global Publishers

Simba yaongoza Ligi Kuu Bara, Simba 2, Mbeya City 0

Lyanga (9)

Mfungaji wa bao la kwanza la Simba, Danny Lyanga

SIMBA imepata bao dakika ya 75 likifungwa na Danny Lyanga. Kiungo Ibrahim Ajib alifanya kazi nzuri ya kuwatoka mabeki wa Mbeya City, akampa pasi, Awadhi Juma ambaye alipiga shuti kali lililopanguliwa na kipa wa Mbeya City, kisha Lyanga ambaye alikuwa karibu, akautupia mpira wavuni.

Ibrahim Ajib alifunga bao kali dakika ya 90, Simba 2, Mbeya City hawajapata kitu.

Kikosi cha Simba:

Vincent Angban Emiry Nimubona Mohamed Hussein...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani