LIgi ya mabingwa Ulaya: Uefa yazipa Ulaji ligi kubwa nne barani Ulaya

Shirikisho la soka la Ulaya UEFA limetangaza mabadiliko katika michuano ya UEFA Champions League kuanzia msimu ujao 2017-18.

Kuanzia msimu ujao, timu 4 za juu kutoka katika ligi 4 bora barani Ulaya (La Liga, Premier League, Budesilga na Serie A) zitakuwa zinafuzu moja kwa moja kuingia hatua ya makundi bila kupitia hatua ya mtoano.

Awali timu zilizoshika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hizo zilikuwa zinacheza mchezo wa mtoano (play off) na mshindi ndiyo anafuzu hatua ya makundi kama...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Michuzi

NI LIVERPOOL AU AS ROMA KUFUZU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii
Mchezo wa Mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kati ya Liverpool ya Uingereza dhidi ya AS Roma ya Italia unatarajiwa kupigwa leo katika dimba la Uwanja wa Stadio Olimpico mjini Rome nchini Italia.
Liverpool ilishinda bao 5 - 2 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Anfield, Roma wataitaji ushindi ule ule walioupata kwenye mchezo wao dhidi FC Barcelona wa bao 3 - 0 katika Robo Fainali ya Michuano hiyo ya Ulaya, ili kufika Fainali pale mjini...

 

3 years ago

Bongo5

Timu nne za ligi kubwa Ulaya zateleza UEFA

Ligi nne kuu za mataifa ya bara Ulaya zinazoongoza, zitatengewa nafasi nne kila moja katika hatua ya makundi ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kuanzia msimu wa 2018-19.

Kupitia ukuasa wa Twitter, UEFA walithibitisha hilo

IMG_201608239_013229

Ligi hizo ni za England, Ujerumani, Italia na Uhispania.

Chini ya mfumo wa sasa, England, Ujerumani na Uhispania huwa na nafasi tatu, huku klabu zinazomaliza nambari nne ligini zikilazimika kucheza hatua ya muondoano wa kabla ya makundi. Italia imekuwa na nafasi mbili pekee za...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

3 years ago

Bongo5

Matokeo ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya

Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 18 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi round ya tatu, moja kati ya michezo iliyoshuhudiwa ikimalizika kwa klabu ya soka ya Leicester City imeendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya FC Copenhagen.

397ff55e00000578-0-image-m-13_1476824262603

Na mechi ambayo ilikuwa na idadi kubwa ya magoli ni mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Legia Warszawa mchezo uliochezwa katika dimba la...

 

3 years ago

Bongo5

Matokea ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya

article-3484559-320C23E600000578-281_636x398

Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea usiku wa March 9,kwa michezo miwili kupigwa barani Ulaya. Klabu ya Chelsea ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa, wakati Zenit walicheza dhidi ya Benfica.

article-3484559-320C23E600000578-281_636x398

320AAF2E00000578-3484559-image-a-105_1457558431609

Timu ya Chelsea ilitolewa baada ya kufungwa 2-1 na Paris Saint Germain kwenye uwanja wa Stamford Bridge, Benfica wao walishinda 2-1 dhidi ya Zenit

article-3484501-320A02CA00000578-632_636x382

Mabingwa hao wa Ufaransa walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 16 kupitia kwa Adrien Rabiot lakini Chelsea...

 

2 years ago

Bongo5

Matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa barani Ulaya

Ligi ya mabingwa barani Ulaya uliendelea tena usiku wa kuamkia leo kwa michezo kadhaa huku mchezo ambao ulikuwa ukitazamwa na wengi ni wa Sporting Lisbon na Real Madrid kwakuwa ulikuwa ni wa history kwa mchezaji Cristiano Ronaldo ambaye alikuwa anarejea nyumbani ambapo ndipo maisha yake ya soka yalipo anzia.

Mchezo huo uliisha kwa Madrid kupata ushindi wa 1-2.

Matokeo ya michezo mingine hii hapa

cx5grraxuaescca

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...

 

2 years ago

Bongo5

Haya ndio matokeo ligi ya mabingwa barani Ulaya

Jana usiku wa December 6 kumekuwa na mechi za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi kwa mechi mbalimbali kuchezwa huku baadhi mechi zingine zitamaliza hatua ya Makundi usiku wa Jumatano ya December 7 2016.

3b1c6b4800000578-4007036-image-a-8_1481055746952

Matokeo ya Mechi hizo

czbjf2duaaefzdp-jpg-large-371x340

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

1 year ago

Michuzi

NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA HAPATOSHI

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiHATIMAYE yametimia, Droo ya Nusu Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imemalizika kupangwa mchana huu, kwa miamba ya soka barani humo kukutana uso kwa uso.Real Madrid kutoka nchini Hispania itakuwa na kibarua cha kumenyana na Bayern Munich wakati Liverpool wao wakivaana na AS Roma.Mkondo wa kwanza wa michezo hiyo inatarajiwa kupigwa kati ya April 24/25 wakati mkondo wa pili unatazamiwa kupigwa kati ya May 1/2mwaka huu.
Wakati huo huo Michuano...

 

3 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA! michezo ya jana

gareth-bale-shakhtar-donetsk-real-madrid-champions-league_173pi72jkl69m1b0s8rwmfilt5

Wachaji wa shakhtar donetsk na Real-Madrid  wakichuana katika mchezo huo uliomalizika kwa Madrid kushinda bao 4-3.

Baada ya michezo 8 iliyochezwa siku ya jumanne, jana jumatano ligi ya Mabingwa Ulaya kwa vilabu maarufu kama UEFA Champion League iliendea kwa michezo 8 mingine.

Haya ndiyo matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA kwa michezo ya jumatano

GROUP: A

Shakhtar Donetsk 3 – 4 Real Madrid

Malmo 0 – 5 Paris Saint German

GROUP: B

Manchester United 0 – 0 PSV

CSKA Moscow 0 – 2 Wolfsburg

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani