Lilian Erica Maraure ndiye Miss Universe Tanzania 2017

Lilian Erica Maraure ametwaa taji la Miss Universe Tanzania katika mashindano yaliyofanyika Jumamosi usiku katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni  jijini Dar es Salaam.Lilian ambaye ni mtangzaji za TBC International ameshinda taji la 10 la mashindano hayo yalioanza kufanyika nchini mwaka 2007 ambapo mrembo Flaviana Matata alishinda taji hilo na baadaye kumaliza ndani ya 10 bora katika mashindano yaliyofanyika nchini Mexico..

Mashindano hayo yalikuwa na ushindani mkubwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA

Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.
Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe...

 

4 years ago

Vijimambo

MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA


Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.

Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe mashindanoni...

 

3 years ago

Global Publishers

Pia Wurtzbach ndiye Miss Universe 2015

Las Vegas, Marekani
Usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Desemba 21, 2015 katika Ukumbi wa AXIS, Las Vegas, Nevada nchini Marekani, lile shindano kubwa la ulimbwende duniani la Miss Universe, lilitimua vumbi ambapo mrembo kutoka Ufilipino (Philippines), Pia Wurtzbach aliibuka kidedea na kuvalishwa taji hilo.Pilipinas_pia_alonzo_wurtzbach-010 Pia akiwapungia mkono mashabiki baada ya kutangazwa mshindi

Kituko katika fainali hizo, kilikuwa ni pale MC wa shindano hilo, Steve Harvey alipomtangaza kimakosa mshiriki kutoka Colombia,...

 

3 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA Lorraine at Miss Universe 2015

 Lorraina C. Marriot, Miss Universe Tanzania 2015 poses for a photo at The Venetian in Las Vegas, Nevada on Monday, December 7th. The 2015 Miss Universe contestants are touring, filming, rehearsing and preparing to compete for the DIC Crown in Las Vegas. Tune in to the FOX telecast at 7:00 PM ET live/PT tape-delayed on Sunday, Dec. 20, from Planet Hollywood Resort & Casino in Las Vegas to see who will become Miss Universe 2015. HO/The Miss Universe OrganizationKeywords: Miss Universe 2015,...

 

2 years ago

MillardAyo

Miss Tanzania 2014-16 Lilian Kamazima ni Mama kijacho ( picha 3 )

Lilian Kamazima ni Mrembo wa Kitanzania aliyevishwa taji la Miss Tanzania mwaka 2014 -2016 ambapo kwa muda wote baada ya kushiriki Miss World 2015, amekua akifanya ishu zake nyingine ikiwemo utangazaji kwenye TV. Kwa sasa Lilian ni mjamzito na anatarajia kujifungua mtoto wake wa kwanza ambapo limeonekana kuwa jambo la furaha kubwa sana kwake >>> ‘nilisali […]

The post Miss Tanzania 2014-16 Lilian Kamazima ni Mama kijacho ( picha 3 ) appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Bongo5

Wazazi wa Miss Tanzania mpya Lilian Kamazima watetea urai wa mtoto wao

Wazazi wa Miss Tanzania 2014 mpya Lilian Kamazima, Mzee Deus na mkewe Eva Kamazima wameibuka na kueleza kuwa binti yao ni Mtanzania halisi. Miss Tanzania 2014 Lilian Mzee Kamazima anayeishi Arusha aliibuka jana na kutoa tamko kuhusiana na tetesi zinazohusu utata wa uraia wa binti yake na kueleza kuwa Lilian ni mzawa halisi wa Tanzania […]

 

3 years ago

Michuzi

WAREMBO 30 MISS TANZANIA WAINGIA KAMBINI LEO, LILIAN KAMAZIMA AWAPA SOMO

Baadhi ya Washiriki watakaowania Taji la Miss Tanzania 2016 wakiwa katika picha pamoja muda mfupi baada ya kuwasili kambini. Jumla ya Washiriki 30 kutoka kanda mbalimbali nchini wameingia Kambini leo Septemba 30, 2016 tayari kwa maandalizi ya Shindano hilo linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa Mwezi ujao.
Mrembo anaeshikilia Taji la Miss Tanzania kwa sasa, Lilian Kamazima akizungumza na Warembo alipokutana nao leo Septemba 30, 2016 kwenye Hoteli ya Regency, Jijini Dar es salaam. ambapo jumla...

 

3 years ago

Mwananchi

Marriott awa Miss Universe Tanzania

Mrembo Lorraine Marriott, juzi usiku alitwaa taji la Miss Universe Tanzania baada ya kuwashinda warembo tisa walioshindana naye katika shindano hilo kwenye ukumbi wa King’s Solomon.

 

5 years ago

Michuzi

Winners of Miss Universe Tanzania 2014

Winners of Miss Universe Tanzania 2014 Nale, Carolyne and Zara

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani