LIPULI FC YAICHARAZA YANGA 2 - 0


Timu ya Lipuli FC ya Iringa imefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya vigogo, Yanga SC Uwanja wa Samora mjini Iringa.

Sasa Lipuli FC itamenyana na Azam FC katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo itakayofanyika Uwanja wa Ilulu mjini Lindi mapema mwezi ujao. 
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Shomary Lawi wa Kigoma, mabao ya Lipuli FC yalifungwa na mshambuliaji wa zamani wa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

Yanga Africans  Yaicharaza Simba bao 2 kwa bila.

 

Timu ya Yanga imefanikiwa kushika usukani wa ligi kuu ya Vodacom baada ya kuwachapa watani wao wa jadi Simba mabao mawili kwa bila, katika pambano lililochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo ambao ulianza kwa timu zote zikicheza kwa tahadhari kubwa, ambapo mnamo dakika ya kumi ya mchezo huo Simba ndiyo iliyokuwa ya kwanza kuliandama goli la Yanga kupitia kwa mlinzi wake Mohamed Hussein Shabalala kupiga krosi  ambayo ilimkuta  Hamisi Kiiza Diego...

 

2 years ago

Malunde

YANGA YATOKA SARE NA LIPULI FC

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara leo Jumapili Agosti 27,2017 imeendelea kwa mchezo mmoja kati ya Yanga na Lipuli Fc.


Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam umemalizika kwa sare ya kufungana goli moja kwa moja.

Lipuli ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata gori kupitia kwa mchezaji Seif Abdalah Karihe kunako dakika ya 44 ya kipimdi cha kwanza.
Dakika 45 ya kipindi cha kwanza Donald Ngoma aliisawazishia goli na kufanya kuwa moja moja.
Mpaka wanaenda mapumziko matokeo ni moja...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Lipuli, Ruvu hawana presha Yanga, Simba

Pamoja na kupangwa kuanza Ligi Kuu Bara dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga klabu ya Lipuli iliyorejea baada ya miaka mingi hawana presha na mechi hiyo.

 

1 year ago

Michuzi

KIKOSI CHA YANGA KAMILI KUIVAA LIPULI

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii
KIKOSI cha Yanga kimeondoka leo jijini Mbeya kuelekea Iringa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Lipuli siku ya Jumamosi.
Mchezo huo wa marudiano unatarajiwa kuchezwa Uwanja Samora utakuwa wa ushindani mkubwa kwa timu zote huku Yanga wakitaka kulipa kisasi kwa Lipuli.
Yanga ilikuwa mkoani Mbeya kwa ajili ya mechi dhidi ya timu ya Ihefu FC ikiwa ni hatua ya 32 Bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa ushindi...

 

1 year ago

Malunde

MECHI YA SIMBA, LIPULI YARUDISHWA UWANJA WA UHURU, YANGA ,PRISONS YABAKI CHAMAZI

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Lipuli iliyopangwa kuchezwa Jumapili, Novemba 26, 2017 kwenye Uwanja wa Azam Complex sasa itafanyika kwenye Uwanja wa Uhuru.

Awali mechi hiyo ilihamishiwa Azam Complex baada ya wamiliki wa Uwanja wa Uhuru kueleza kuwa utakuwa na matumizi mengine Novemba 26, 2017. Hata hivyo, Novemba 22, 2017 Bodi ya Ligi Kuu ilipokea barua kutoka kwa Mmiliki wa Uwanja wa Uhuru ikieleza kuwa uwanja wake sasa uko wazi kuwa mwenyeji wa mechi hiyo itakayochezwa...

 

2 years ago

Michuzi

YANGA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA LIPULI, ZATOKA SARE YA BAO 1-1 UWANJA WA UHURU LEO

 Kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko akichezewa rafu na  Beki wa Lipuli, Novalty Lufung, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1. Malimi Busungu wa Lipuli Fc, akimdhibiri Kiungo mkabaji wa Yanga, Papy Tshishimbi wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. mchezo huo umemalizika kwa sare ya bao 1-1.Beki ...

 

4 years ago

BBCSwahili

Ghana yaicharaza Argentina

Ghana ilinusurika na kuishinda Argentina 3-2 katika kundi Ba la michuano inayoendelea ya kombe la dunia la vijana wasiozidi umri wa miaka 20.

 

4 years ago

BBCSwahili

Liverpool yaicharaza Leicester 3-1

Liverpool imepata usnindi mnono katika mchezo wake dhidi ya Leicester kwa kuibwaga 3-1

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani