Lipuli waunda jeshi la ushindi

 Katika harakati za kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu msimu ujao, Lipuli FC ya Iringa imeteua kamati ya watu watano kusimamia maandalizi na usajili wao.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Mkwasa aunda ‘jeshi’ la ushindi

Kocha mpya wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa ametangaza benchi zito la ufundi linalojumuisha wachezaji maarufu wa zamani, Peter Manyika anayekuwa kocha wa makipa, Hussein Sued akiwa mtunza vifaa, Abdallah Kibaden anayekuwa mshauri mkuu na Juma Mgunda akiwa meneja.

 

2 months ago

VOASwahili

Jeshi la DRC limetangaza ushindi dhidi ya waasi wa Yakutumba

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC limetangaza kuwa limepata ushindi dhidi ya kundi la waasi wa “Yakutumba Kivu Kusini” huko mashariki mwa Congo na kumjeruhi kamanda wa waasi. Jeshi pia limesema limefanikiwa kuchukua silaha za kutosha pamoja na kuwakamata wapiganaji 120.   Wakati huo huo kamanda wa operesheni Kivu Kusini, Yave Philemo amewataka waasi waliobaki wasalimishe silaha zao hasa wale waliopo eneo la Ruzuzu linalopakana na mpaka wa Burundi.   Mwandishi wa VOA, Austere...

 

2 years ago

Michuzi

TIMU YA GOLF YA JESHI YATAMBA KUREJEA NA USHINDI ARUSHA OPEN.

 Naibu Katibu Mkuu wa klabu ya gofu  ya  Lugalo ya Jijini  Dar es Salaam Kanali Rajabu Mwenyumbu  akiangalia Mazoezi  ya mwisho ya timu ya  klabu hiyo  ambayo inatarajia  kushiriki  katika mashindano ya wazi yanayotarajia kufanyika   Mwishoni mwa Wiki Hii Jijini Arusha.  Naibu katibu mkuu wa Klabu ya gofu ya jeshi ya Lugalo  Kanali Rajabu Mwenyumbu  akizungumza na  wachezaji wa gofu wa  klabu hiyo ya jijini Dar es salaam wanao tarajiwa  kushiriki katika mashindano ya wazi yanayotarajia...

 

3 years ago

Michuzi

CCM YARUSHA JESHI LA ANGA, MWIGULU AONGOZA KIKOSI...WAIMARISHA USHINDI WA KISHINDO MAJIMBO YA NZEGA

Chama Cha Mapinduzi hii leo kimerusha Helikopta yake ya kwanza inayozunguka kwenye kila pembe ya nchi kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu kwenye nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais. Kazi ya kupasua anga hilo linaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi Field Marshall  Mwigulu Nchemba ambaye katika Jimbo lake la Iramba kwa asilimia 98 amejihakikishia Ushindi wa kishindo. 
 Makada imara wa CCM  Field Marshall Mwigulu Nchemba na Dkt. Hamis Kigwangalla waki-Magufulika kuonesha...

 

3 years ago

Vijimambo

TASWIRA,CCM YARUSHA JESHI LA ANGA,MWIGULU AONGOZA KIKOSI...WAIMARISHA USHINDI WA KISHINDO MAJIMBO YA NZEGA HII LEO

Chama Cha Mapinduzi hii leo kimerusha Helcopta yake ya kwanza kwenye kila pembe ya Nchi kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu kwenye nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais.Kazi ya kupasua anga hilo linaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi Ndg.Mwigulu Nchemba ambaye katika Jimbo lake la Iramba kwa asilimia 98 amejihakikishia Ushindi wa kishindo hapo Tar.25.10.2015Mwigulu Nchemba ambaye ni Mjumbe wa kamati ya CCM ya Ushindi na Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega Vijijini...

 

2 years ago

Habarileo

23 waunda Twiga Stars

KOCHA wa Mkuu wa timu ya wanawake, ‘Twiga Stars’, Nasra Juma ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoingia kambini Julai mosi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Rwanda.

 

2 years ago

GPL

BELLA, KIBA WAUNDA BONGODANSI

Christian Bella na Ali Kiba MUSA MATEJA MKALI wa dansi mwenye asili ya Kongo, Christian Bella amefunguka kuwa anajivunia mafanikio makubwa waliyoyapata baada ya kufanikiwa kuingia studio na mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba kuzalisha wimbo mkali ambao umeleta ladha ya Dansi na Bongo Fleva, BongoDansi.
Mkali wa dansi mwenye asili ya Kongo, Christian Bella.… ...

 

3 years ago

Mtanzania

MOAT waunda kamati maalumu

DK MENGINa Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAMILIKI wa vyombo vya habari nchini (MOAT) wameunda kamati ndogo ambayo itakwenda Dodoma kuonana na wabunge waweze kupinga muswada wa vyombo vya habari ambao una vipengele 10 vinavyodaiwa kukandamiza uhuru wa habari nchini.
Muswada huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa hivi karibuni una vipengele hivyo ambavyo vikipitishwa vinaweza kuwafanya wanahabari kushindwa kutimiza majukumu yao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti Dar es Salaam jana, wamiliki hao...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani