Lipumba amuhofia Maalim Seif

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshutumu Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad kwamba anawatisha wajumbe wa ngazi mbalimbali za chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Lipumba amtishia jela Mtatiro, Maalim Seif atua Z’bar kumalizana na Lipumba

lipumba

AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo September 27 2016 ziko hapa kwenye hii video. ULIKOSA HII ZIARA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

The post VIDEO: Lipumba amtishia jela Mtatiro, Maalim Seif atua Z’bar kumalizana na Lipumba appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Team Lipumba yampiga stop Maalim Seif kuingia ofisini hadi amkubali Lipumba

Ikiwa Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi (CUF) limesitisha kuwasili makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni Jijini Dar es Salaam kwa madai ya kutokuwepo kwa usalama na kwamba kuna vyombo vya ulinzi vilivyowekwa kumlinda Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba.

Wanaojiita wafuasi wa Lipumba wamesema hawatamruhusu Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Shariff Hamadi na baraza lake kuingia katika ofisi za chama hicho hadi atakapo kubali kumtambua Lipumba kama...

 

4 years ago

Mwananchi

Maalim Seif ‘amchana’ Profesa Lipumba

Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema ameshangazwa na sababu zilizotolewa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejivua uenyekiti wa chama hicho, kuwa amechukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa makada wa CCM ndani ya Ukawa.

 

3 years ago

Habarileo

Msajili amtambua Lipumba, Maalim Seif

OFISI ya Msajili wa Vyama ya Siasa imetoa orodha ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu na viongozi wa vyama hivyo ambako inasisitiza kuwa Profesa Ibrahim Lipumba ndiye Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na Katibu Mkuu ni Seif Shariff Hamad.

 

2 years ago

Mtanzania

MAALIM SEIF: POLISI WANAMBEBA LIPUMBA

Na  Kulwa Mzee-Dar es Salaam

 

maalim-seif-sharif-hamadKATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amelituhumu Jeshi la Polisi kwa kubariki hujuma zinazofanywa na Profesa Ibrahimu Lipumba kwa kushirikiana na wafuasi wake kuvuruga chama.

Maalim Seif amemuandikia barua Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akimuomba achukue hatua dhidi ya watendaji wake  wanaobariki hujuma hizo.

Alisema hayo jana alipozungumza na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu changamoto zinazokipitia chama...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Anayeiuza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Juma Duni Haji. Profesa Ibrahim Lipumba, aliyevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuwa mwenyekiti kwa miaka 16, anaeleza fitna hiyo. Profesa ni mtaalamu wa uchumi na ...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Anayeiumiza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingizwa kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Profesa Ibrahim Lipumba, aliyevuliwa uanachama baada ya kuwa mwenyekiti kwa miaka 16, anaeneza fitna hiyo, anaandika Juma Duni Haji. Profesa ni mtaalam wa uchumi na hesabu; na ...

 

2 years ago

Mwananchi

Lipumba amshambulia Maalim Seif, Chadema

Sarakasi zimeendelea ndani ya Chama cha CUF baada ya mwenyekiti wake anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba kumshutumu Maalim Seif Sharif kwa madai ya kutaka kukiua chama hicho.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Lipumba, Maalim Seif siku zinahesabika

KESI ya Madai Na. 21 ya mwaka 2017 iliyopangwa kusikilizwa leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, mbele ya Jaji Wilfred Dyansobera kuhusu wizi wa Sh. 369 milioni, fedha za ruzuku za Chama cha Wananchi – CUF imeahirishwa mpaka tarehe 10, Julai 2017, anaandika Hamisi Mguta. Kesi hiyo ilifunguliwa na Bodi ya wadhamini wa ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani