Lipumba: Hali ya uchumi ni mbaya, Serikali ichukue hatua

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa matatizo ya kiuchumi, kwa kuwa hali ilivyo sasa ni mbaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

VOASwahili

Serikali ya Marekani yaunga mkono maandamano dhidi ya rushwa na hali mbaya ya uchumi Iran

Serikali ya Marekani imeunga mkono maandamano ya watu wa Iran dhidi ya rushwa na ubadhirifu.

 

4 years ago

Mwananchi

Serikali ichukue hatua matatizo ya ardhi

Wiki iliyopita tulizungumzia mgogoro baina ya wakulima na wafugaji Kongwa mkoani Dodoma na Kiteto mkoani Manyara, ambako hali imekuwa mbaya kutokana na mauaji kuendelea bila ya Serikali kuonekana ikichukua hatua za dhati kutatua mgogoro huo wa muda mrefu sasa.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Zitto aitaka Serikali Ichukue Hatua za Haraka Kuwaokoa Wananchi Wanaokabiliwa na Njaa Nchini

Kiongozi wachama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe ameitaka serikali ichukue hatua za haraka kuwaokoa wananchi wanao kabiliwa na njaa nchini Tanzania.

kupitia ukurasa wake wa Facebook kiongozi huyo amesema kua serikali inalazimika kutangaza rasmi janga la njaa nchini kutokana na matokeo yaliyo tolewa na shirika la utafiti twaweza.

 

HAYAHAPA MANENO YA ZITTO KUPITIA UKURUSA WAKE WA FACEBOOK

Uchungu wa Njaa

Serikali Ichukue Hatua Haraka Kuwaokoka Wananchi Wanaokabiliwa na Njaa Nchini

Leo (Machi...

 

4 years ago

Mwananchi

Hali kuwa mbaya lipumba na kupandishwa mahakaman

,Mwenyekiti wa chama cha CUF  Professa Ibrahimu Lipumba na wafuasi wake 22 kukamatwa jana kwenye maandamao yaliyokuwa yakifanyika kuanzia Buguruni makao makuu ya chama hicho kuelekea Temeke na Mbagara Zakhem

 

2 years ago

Zanzibar 24

Majibu ya kwanini Uchumi unakua lakini hali za wananchi ni mbaya

Kufuatia baadhi ya wananchi kulalamika kuwa hali yao ya kiuchumi inazidi kuwa mbaya licha ya takwimu kuonyesha kwamba pato la taifa linakuwa kwa kasi kila mwaka.

Mhadhiri wa Chuo cha Takwimu cha Afrika Mashariki, Dk. Camillus Kassala amesema sababu inayochangia ukuaji wa pato la taifa kutowiana na hali ya uchumi wa wananchi wengi ni mfumo mbovu wa ugawaji wa pato hilo.

Dk. kassala ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya takwimu barani Afrika...

 

2 years ago

Mwananchi

Dk Mpango: Hali ya uchumi ni mbaya Kusini mwa Jangwa la Sahara

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema licha ya uchumi wa Tanzania kukua kwa asilimia saba kwa zaidi ya muongo mmoja, bado hali ya uchumi ni mbaya Kusini mwa Jangwa la Sahara.

 

4 years ago

Mwananchi

Utafiti: Hali ya uchumi ya mtu mmojammoja nchini ni mbaya kuliko ilivyokuwa miaka 10 iliyopita

Hivi karibuni, Taasisi ya Repoa ilitoa utafiti wake unaoonyesha kuwa hali ya kiuchumi ya wananchi inazidi kuwa mbaya ikilinganishwa na ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.

 

4 years ago

Mwananchi

‘TFF ichukue hatua kupinga ubaguzi’

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeagizwa kuchunguza na kuchukua hatua kwa timu ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani kutokana na madai ya kumtolea maneno ya kibaguzi mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe.

 

2 years ago

Mwananchi

Takukuru ichukue hatua rushwa ya ngono vyuoni

Ahadi namba nne ya mwana-Tanu inasomeka: “Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa.”

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani