Liverpool kuchuana na Everton raundi ya tatu ya kombe la Fa

Ratiba ya raundi ya tatu ya michuno ya kombe la Fa imetangazwa usiku huu na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

KOMBE LA SHIRIKISHO RAUNDI YA TATU.

MICHUANO ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa tatu inatarajiwa kuendelea Januari 12 na wikiendi ya Januari 23-27 kwa timu 32 kuchuana kuwania kufuzu kwa hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.
Timu 16 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimeingia moja kwa moja mzunguko wa tatu ambapo sasa zinajumuika na timu 16 zilizofuzu kutoka raundi ya pili yenye timu kutoka ligi daraja la kwanza na ligi daraja la pili.
Jumamosi, Januari 12, Majimaji itacheza dhidi ya JKT Mlale uwanja wa...

 

3 years ago

Habarileo

Timu saba zatinga raundi ya tatu kombe la FA

TIMU saba zimekata tiketi ya kucheza mzunguko wa tatu wa michuano ya kombe la Shirikisho, FA unaotarajiwa kuanza mapema Januari 2016. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), timu hizo ni Ashanti United, Burkinafaso, Geita Gold, Friends Rangers, Madini FCM, Panone na Rhino Rangers.

 

5 years ago

GPL

MATOKEO RAUNDI YA 3 KOMBE LA FA: LIVERPOOL, CHELSEA ZAPETA, MAN UTD HOI

Wilfried Bony wa Swansea baada ya kufunga bao la pili na la ushindi dhidi ya Manchester United.
Mchezaji wa Manchester United, Danny Welbeck, akiwa kichwa chini miguu juu wakati wa mtanange huo uliomalizika kwa Swansea kushinda 2-1. Manchester United 1-2 Swansea City…

 

10 months ago

Michuzi

DROO RAUNDI YA TATU KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUCHEZESHWA KESHODroo ya raundi ya tatu(3) ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) inachezeshwa kesho Januari 5, 2018 ikishirikisha timu 32.
Raundi hiyo ya Tatu itahusisha timu nne(4) za mabingwa wa mikoa timu tatu(3) za Ligi Daraja la Pili,timu Kumi na Mbili (12) za Ligi Daraja la Kwanza na timu 13 za Ligi Kuu.
Hatua hiyo ya raundi ya tatu inabakiza timu Kumi na Sita(16) zitakazopambana kwenye hatua inayofuata.
Timu zitakazochezeshwa kwenye Droo ya hapo kesho ambayo itarushwa moja kwa moja na kituo cha...

 

9 months ago

Michuzi

UKAGUZI WA VIWANJA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM VITATU KUTOTUMIKA HATUA YA RAUNDI YA TATU

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limefanya ukaguzi wa viwanja vinavyotumika kwa kombe la Shirikisho na kuzuia viwanja vitatu kutumika kwa mechi zinazofuata za hatua ya raundi ya tatu.
Viwanja ambavyo havitaweza kutumika kwa raundi hiyo ya tatu ni pamoja na Uwanja wa Nachingwea unaotumiwa na Majimaji Rangers ambao watalazimika kwenda Ilulu Lindi kucheza mchezo wake na Mtibwa Sugar kwenye raundi hiyo.
Uwanja mwingine ni uwanja wa CCM Mkamba Morogoro unaotumiwa na timu ya Shupavu nao...

 

4 years ago

BBCSwahili

Brazil kuchuana na Chile raundi ya pili

Brazil iliifunga cameroon 4-1 na kuiongoza kundi A ambapo sasa itachuana na Chile.

 

4 years ago

BBCSwahili

Arsenal kuchuana na Liverpool

Arsenal itamkagua mshambuliaji Danny Welbeck ambaye ana jeraha la goti. Steven Gerrard na Martin Skrtel wanahudumia marufuku

 

4 years ago

BBCSwahili

Ratiba ya raundi ya tatu, FA yatoka

Ratiba ya kombe la FA roundi ya tatu imetoka, mabingwa watetezi Arsenal kukipiga na Hullcity

 

3 years ago

Bongo5

Ratiba ya raundi ya tano ya kombe la FA

1363948760351,0

Ratiba ya raundi ya tano ya kombe la FA, Chelsea watacheza nyumbani dhidi ya Manchester City, Klabu ya League One Shrewsbury Town, ndo timu ya chini zaidi miongoni mwa timu zilizosalia kwenye shindano hilo nayo itakuwa mwenyeji wa Manchester United katika uwanja wa New Meadow.

MK Dons v Chelsea, 4th round FS cup. pic Andy Hooper/daily mail oscar scores

Arsenal mabingwa watetezi watakutana na Hull, hii itakuwa kama marudio ya fainali ya 2014. Itakuwa mara ya tatu mfululizo kwa klabu hizo mbili kukutana katika dimba hilo.

Meneja wa Chelsea Guus Hiddink amesema mechi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani