Liverpool waingia nusu fainali ya Capital one

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Timu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital one .

article-3343438-2F00819500000578-709_964x387

Liverpool ilipata ushindi kwa kuichapa timu ya Southampton kichapo cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji Sadio Mane.

2F0048BD00000578-3343438-image-m-63_1449091396265

Liverpool wakakomboa bao hilo kupitia mshambuliaji wao Daniel Sturridge katika dakika ya 29 , Sturridge, tena akaongeza bao la pili.

Mshambuliaji Divock Origi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool nusu fainali Capital one

Timu ya Liverpool imekua timu ya mwisho kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Capital one

 

3 years ago

Mtanzania

Liverpool yatinga nusu fainali Capital one

5440e5ea639b3LIVEPOOL, ENGLAND

KIKOSI cha kocha Jurgen Klopp, Liverpool, imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Capital One.

Klabu hiyo imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa timu ya Southampton kichapo kitakatifu cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia kwa mshambuliaji wake, Sadio Mane na kuanza kuwachanganya wapinzani wao, lakini mfumo wa Klopp uliweza kubadilisha matokeo.

Mshambuliaji wa...

 

4 years ago

BBCSwahili

Chelsea -nusu fainali Capital Cup.

Chelsea, waliwachabanga timu ya Derby County, Bao 3-1 kwenye Kombe la Ligi maarufu kama Capital One Cup, na kutinga Nusu Fainali.

 

3 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool yatinga fainali ya Capital

Wakicheza katika eneo, lao Anfield ,Liverpool imeshinda mchezo wa nusu fainali ya pili ya kombe la Capital na kutinga fainali.

 

3 years ago

Bongo5

Liverpool yatinga fainali ya Capital One

article-3418251-309BFCC100000578-189_964x390

klabu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya michuano ya Capital One Cup baada kupata ushindi wa penati 6-5 dhidi ya kikosi kigumu cha klabu ya Stoke City.

article-3418251-309BFCC100000578-189_964x390

Beki Marc Muniesa ndiye aliyekosa penati ya mwisho ya Stoke baada ya kuokolewa na kipa Simon Mignolet, huku kiungo Joe Allen akifunga penati ya mwisho ya ushindi.

309BF02500000578-3418251-The_Reds_players_followed_Borussia_Dortmund_s_lead_and_held_thei-a-44_1453861029847

Liverpool wanasubiri mshindi wa mchezo mwingine wa nusu fainali unaochezwa leo kati ya Manchester City watakaokua katika uwanja wao wa Etihad wakiwaalika...

 

3 years ago

Dewji Blog

Capital One Cup: Everton yaifunga Man City hatua ya nusu fainali

during the Capital One Cup Semi Final First Leg match between Everton and Manchester City at Goodison Park on January 6, 2016 in Liverpool, England.

Ramiro Funes Mori.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Usiku wa kuamkia Alhamisi umekuwa mzuri kwa Everton baada ya kuifunga Manchester City goli 2 kwa 1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Capital One.

Katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Goodison Park magoli ya Everton yalifungwa na Ramiro Funes Mori katika dakika ya 45+1 ya kipindi cha kwanza na baadae Romelu Lukaku kuifungia timu hiyo goli la pili katika dakika ya 78 huku goli la Manchester City likifungwa na Jesus Navas...

 

3 years ago

Bongo5

Man City kukutana na Liverpool fainali ya kombe la Capital One

30A475C500000578-0-image-a-28_1453929946047

Klabu ya Man City imefanikiwa kufuzu kuingia fainali ya mchezo wa kombe la Capital One baada ya kuichapa Everton kwa mabao 3-1.

30A475C500000578-0-image-a-28_1453929946047

Everton ndio ilikuwa timu ya kwanza kupata goli baada ya kiungo Ross Barkley kuifungia timu yake bao la kuongoza katika dakika ya 18 ya mchezo.

30A43BAA00000578-0-image-a-10_1453926629326

Kiungo kutoka Brazil Fernandinho akasawazisha bao hilo kwa shuti kali baada ya kutokea piga nikupige kwenye goli la everton katika dakika ya 25.

Kevin De Bruyne akaongeza bao la pili baada ya kuunganisha krosi ya kutoka...

 

4 years ago

BBCSwahili

Liverpool kucheza nusu fainali ya FA

LIverpool imeishinda Blackburn Rovers 1-0 na hivyobasi kutinga nusu fainali na Aston Villa katika uwanja wa Wembley.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani