LIVERPOOL YAIGONGA 4-0 BARCELONA NA KUTINGA FAINALI

Divock Origi (kulia) akishangilia na Xherdan Shaqiri (kushoto) baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 79 ikiilaza Barcelona 4-0 usiku huu Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa marudiano Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 Origi pia alifunga bao la kwanza dakika ya saba, wakati mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 54 na 56 na kwa matokeo hayo Wekundu hao wanakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya kufungwa 3-0 kwenye mchezo wa kwanza...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 weeks ago

BBCSwahili

Tottenham yailaza ManCity Liverpool yaibwaga Porto kutinga nusu fainali Champions League

Manchester City 4-3 Tottenham Hotspur (4-4 agg): Spurs yazima ndoto ya Man City

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Jurgen Klopp: Kocha wa Liverpool asema 'watapata tabu' kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Barcelona

Kama ilivyo kwa Liverpool, Barcelona nao ni mabingwa mara tano wa kombe la Klabu Bingwa Ulaya.

 

2 years ago

Global Publishers

Cameroon Yaigonga Ghana na Kuifuata Misri Fainali ya Afcon

TIMU ya Taifa ya Cameroon imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama Afcon baada ya kuinyuka Ghana kwa mabao 2-0 katika mechi ya pili ya nusu fainali. Ilikuwa mechi ngumu tokea mwanzo na mapumziko ilikuwa ni sare ya bila kufungana. Ngadeu Ngadjui aliiifungia Ghana bao katika dakika ya 72 baada ya uzembe wa mabeki wa Ghana lakini wakati inaonekana kama Ghana watasawazisha, Cameroon wakamaliza kazi kupitia kwa Christian Bassogog. Cameroon sasa watamenyana Misri...

 

3 years ago

Dewji Blog

Liverpool yatinga fainali ya League Cup, kupambana fainali na Man City au Everton

7116846-3x2-700x467

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya League Cup ambayo awali ilikuwa ikifahamika kama Capital One baada ya kuishinda kwa mikwaju ya penati Stoke City katika mchezo wa nusu fainali ya pili iliyofanyika katika uwanja wa Anfield.

Katika mchezo huo wa nusu fainali Liverpool iliishinda Stoke City penati 6 kwa 5 na hivyo kupata nafasi ya kutinga fainali ambayo inatarajiwa kufanyika katika uwanja wa Wembley, Februari 28 mwaka huu na...

 

4 years ago

BBCSwahili

Avram Grant:Kutinga fainali raha

Kocha Mkuu wa Ghana, Avram Grant amefurahia timu yake kutinga hatua ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika

 

4 years ago

BBCSwahili

Avram Grant :Kutinga fainali ni raha

Kocha Mkuu wa Ghana, Avram Grant amefurahia timu yake kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika

 

2 weeks ago

Michuzi

Chelsea na Aresenal kutinga fainali EUROPA League?

Baada ya mchezo wa ligi ya mabingwa jana usiku kwa staili ya aina yake, na kupelekea fainali ya waingereza kwenye shindano hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2008. Usiku wa leo Chelsea na Arsenal watacheza michezo ya marudiano katika nusu fainali ya EUROPA huku wakiwa na matumaini ya kucheza fainali ya waingereza mwisho wa mwezi. Mara ya mwisho timu za Uingereza kukutana kwenye fainali ya EUROPA (kipindi hicho UEFA Cup) ilikuwa mwaka 1972, ambapo Wolverhampton Wanders walicheza dhidi ya...

 

3 years ago

Bongo5

Real Madrid waichapa Manchester City na kutinga fainali

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya nusu fainali ya pili ya imechezwa usiku wa May 4 2016 kwa klabu ya Real Madrid ya Hispania, kuwaalika Man City ya Uingereza katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Real Madrid imefanikiwa kutinga fainali kwa ushindi wa goli 1-0.

article-3573952-33D87DD700000578-853_964x390

Real Madrid walipata goli lao kipindi cha kwanza kufuatia mpira wa krosi uliopigwa na Gareth Bale kumbabatiza kiungo wa City Fernando na kuingia nyavuni.

33D7D87A00000578-0-image-a-29_1462390168409

Real sasa watakutana na Atletico katika uwanja wa San Siro tar 28 Mei, hii ikiwa...

 

3 years ago

Bongo5

Novak Djokoic amefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya US Open

Mcheza tenesi namba 1 kwa ubora duniani Novak Djokoic amefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya US Open baada ya kushinda kwa seti 6-3,6-2,3-6,6-2 dhidi ya Mfaransa Gael Monfils katika mchezo wa nusu fainali.

3823cdd500000578-3782397-image-m-17_1473458595293

Djokovic ndiye bingwa mtetezi wa michuano hii, sasa anamsubiri mshindi kati ya Stan Wawrinka na Kei Nishikori kucheza nae fainali.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani