Liverpool yakataa kumuuza Philippe Coutinho kwa Barcelona

Hili ndilo ombi la pili kutolewa na Barcelona baada ya lile la kwanza la pauni milioni 72 kukataliwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

BBCSwahili

Barcelona: Liverpool ilihitaji £183m kumuuza Coutinho

Barcelona imesema kuwa liverpool iliitisha £183m kwa uhamisho wa nyota wake Phillipe Countinho katika siku ya mwisho ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho siku ya Ijumaa

 

5 months ago

Mwanaspoti

Philippe Coutinho avutiwa dau la usajili Barcelona

Nyota wa Liverpool, Philippe Coutinho anakaribia kuondoka Liverpool baada ya kukubaliana na masharti ya mkataba wa Barcelona.

 

4 months ago

BBCSwahili

Philippe Coutinho aachwa nje ya kikosi cha Liverpool

Countihno ameachwa nje ya kikosi cha Liverpool kitakachoshiriki mechi ya kwanza ya michuano ya muondoano ya kufuzu kwa hatua ya makundi katika ligi ya klabu bingwa Ulaya.

 

2 years ago

BBCSwahili

Liverpool yakataa tena kumuuza Sterling

Klabu ya Liverpool imekataa rasmi ombi la pili la Manchester City la kutaka kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Raheem Sterling.

 

5 months ago

Mwananchi

Barcelona yamtengea Coutinho Pauni 80 milioni kumng’oa Liverpool

 Klabu ya Barcelona imekoleza moto katika mpango wake wa kumsajili nyota wa Liverpool baada ya kutangaza dau nono la Pauni 80 milioni.

 

2 years ago

Mtanzania

Philippe Coutinho ampagawisha Dunga

Philippe Coutinho

Philippe Coutinho

ORLANDO, FLORIDA

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Brazil, Philippe Coutinho, amempagawisha kocha wake, Carlos Dunga kwa kuifungia timu yake mabao matatu katika ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Haiti, kwenye michuano ya Copa America.

Mchezaji huyo ameifikia historia ya miaka 10 kwa mchezaji wa timu hiyo kufunga mabao matatu kwenye michuano ya Copa America, ambapo mara ya mwisho yalifungwa na Robson de Souza ‘Robinho’ mwaka 2006.

Katika ushindi huo wa jana, Dunga amesema...

 

1 year ago

Bongo5

Huu ndio muda ambao atakuwa nje Philippe Coutinho

Mchezaji wa klabu ya Liverpool Philippe Coutinho taarifa zimetoka kuwa atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 6 kufuatia kuumia kifundo cha mguu kwenye mechi dhidi ya Sunderland.

3ad30bc800000578-3978612-image-a-53_1480341697223

3ad30bff00000578-3978612-image-a-54_1480341706782

Taarifa hizo zimethibitishwa baada ya Mbrazil huyo kufanyiwa uchunguzi siku ya jumatatu.

Hizi ndio mechi za ligi ambazo atazikosa Coutinho

Bournemouth (A)
West Ham (H)
Middlesbrough (A)
Everton (A)
Stoke (H)
Man City (H)
Sunderland (A)

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

5 months ago

Mwananchi

Philippe Coutinho, kinda Vinicius wa Madrid wanusurika kifo uwanjani Brazil

Wachezaji Philippe Coutinho wa Liverpool na Vinicius Junior wa Real Madrid anayechezea klabu ya Flamengo ya Brazil, wamenusurika kifo baada ya kuibuka vurugu na kupigwa mabomu ya machozi uwanjani juzi Jumapili.

 

5 months ago

Mwanaspoti

Kigogo RB Leipzig afuta mpango wa kumuuza Keita kwa Liverpool

Mkurugenzi Mkuu wa klabu ya RB Leipzig, Oliver Mintlaff amefuta mpango uliokuwapo klabu hapo wa kumuuza mchezaji wake, Naby Keita kwenda Liverpool.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani