Liverpool yatinga nusu Fainali

Liverpool imefika katika nusu fainali yao ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa kwa miaka 10 baada ya kujikokota na kuishinda Manchester City kwa kupata ushindi wa mabao 2-1

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Liverpool yatinga nusu fainali Capital one

5440e5ea639b3LIVEPOOL, ENGLAND

KIKOSI cha kocha Jurgen Klopp, Liverpool, imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Capital One.

Klabu hiyo imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa timu ya Southampton kichapo kitakatifu cha mabao 6-1.

Southampton walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema katika dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia kwa mshambuliaji wake, Sadio Mane na kuanza kuwachanganya wapinzani wao, lakini mfumo wa Klopp uliweza kubadilisha matokeo.

Mshambuliaji wa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool yatinga nusu fainali, Europa

Hatua ya Robo fainali ya michuano ya Europa imeendelea Alhamisi ambapo Liverpool imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali

 

3 years ago

Dewji Blog

Liverpool yatinga nusu fainali ya Europe League, yaipiga 4-3 Dortmund

Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Vilabu barani Ulaya (Europe League) imeendelea usiku wa Alhamisi kwa michezo minne ambapo Liverpool ilikuwa mwenyeji wa Dortmund katika uwanja wa Anfield na Liverpool kuibuka na ushindi wa goli 4-3.

Magoli ya Liverpool yalifungwa na Divock Origi dk. 48, Philippe Coutinho dk. 75, Mamadou Sakhp dk. 78 na Dejan Lovren katika dakika ya 90 huku magoli ya Dortmund yakifungwa na Henrik Mkhitaryan dk. 5, Pierre-Emerick Aubameyang dk. 9 na Mats Hummels akiwa dakika...

 

3 years ago

Dewji Blog

Liverpool yatinga fainali ya League Cup, kupambana fainali na Man City au Everton

7116846-3x2-700x467

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Liverpool imefanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya League Cup ambayo awali ilikuwa ikifahamika kama Capital One baada ya kuishinda kwa mikwaju ya penati Stoke City katika mchezo wa nusu fainali ya pili iliyofanyika katika uwanja wa Anfield.

Katika mchezo huo wa nusu fainali Liverpool iliishinda Stoke City penati 6 kwa 5 na hivyo kupata nafasi ya kutinga fainali ambayo inatarajiwa kufanyika katika uwanja wa Wembley, Februari 28 mwaka huu na...

 

4 years ago

BBCSwahili

Ghana yatinga nusu Fainali

Ghana imekua timu ya tatu kutinga nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika ,baada ya kuibanjua Guinea kwa mabao 3-0.

 

3 years ago

Habarileo

Mwadui yatinga Nusu Fainali FA

TIMU ya soka ya Mwadui ya Shinyanga imekuwa ya kwanza kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF-Kombe la FA), baada ya jana kuifunga Geita Gold mabao 3-0 katika mchezo wa Robo Fainali Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

 

4 years ago

BBCSwahili

Simba yatinga nusu Fainali ya Mapinduzi

Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kuichakaza Taifa Jang'ombe mabao 4-0 katika kuwania kombe la Mapinduzi

 

3 years ago

BBCSwahili

FA:Man United yatinga nusu fainali

Michuano ya kombe la FA nchini England iliendelea tena Jumatano kwa mchezo mmoja

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani