Loris Karius: Kipa wa Liverpool atumwa kwa madaktari Marekani

Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius alitumwa kwa madaktari wataalamu nchini Marekani baada yake kuwasiliana na klabu hiyo akiwa likizoni Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

BBCSwahili

Kipa wa Liverpool Loris Karius ashauriwa ahame baada ya makosa dhidi ya Real Madrid

Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius ameshauriwa ahamie taifa jingine kucheza soka baada ya makosa mawili kuchangia klabu hiyo kufungwa na Real Madrid.

 

10 months ago

BBCSwahili

Loris Karius: Kipa wa Liverpool atishiwa maisha baada ya makosa dhidi ya Real Madrid fainali ya ubingwa Ulaya

Mlinda lango huyo na familia yake wamekuwa wakipokea vitisho baada ya makosa mawili kutoka kwake kuwasaidia Real Madrid kupata ushindi wa 3-1.

 

10 months ago

BBC

Loris Karius: Liverpool keeper deserves second chance says Grobbelaar

Liverpool goalkeeper Loris Karius deserves "a second chance" after his Champions League final mistakes, says Bruce Grobbelaar.

 

10 months ago

BBCSwahili

GNB: Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius ameshauriwa ahamie taifa

Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius ameshauriwa ahamie taifa jingine kucheza soka baada ya makosa mawili yalio changia klabu hiyo kufungwa.

 

2 years ago

Mwananchi

Mbunge atumwa kwa mwekezaji

Busega. Wakazi wa Kijiji cha Sogesca, Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamemtaka Mbunge wao, Dk Raphael Chegeni kumaliza mgogoro uliopo kati yao na mwekezaji, vinginevyo watamvamia kwa sababu hakufuata taratibu za ardhi.

 

3 years ago

Bongo5

Man United wapigana vikumbo na Liverpool kumwania kipa wa Barcelona

article-2636281-1E1B41C700000578-602_634x548

Manchester United wameanza kusoma alama za nyakati, mambo yanazidi kuwa magumu na wanaona kuna kila dalili wakampoteza David De Gea kwa Real Madrid.

01_16085628_24a65f_2744190a

Msimu uliopita Madrid walimkosa kumsajili De Gea kwenye dakika za mwisho, kipa huyo alionyesha kila dalili ya kuvutiwa kujiunga na mabingwa hao mara kumi wa uefa.

02_16085628_3a4847_2744189a

Hali inaonekana kuwa mbaya kwa United kwa sasa na kuna kila dalili wasishiriki michuano ya uefa msimu ujao kwa kuwa wanashika nafasi ya sita kwenye msimamo wa EPL. Mpaka sasa...

 

2 years ago

Malunde

Makubwa Haya!! NJIWA ATUMWA KUPELEKA SIMU KWA MFUNGWA GEREZANI

Brazil inatajwa kuwa nchi ya nne duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya Wafungwa gerezani ambapo ina Wafungwa 600,000 kwenye magereza yake na kama unakumbuka hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kihalifu ndani ya Magereza na yamesababisha vifo vya wafungwa 140.
Sasa kingine kilichoripotiwa ni kutokea kwenye gereza la Franco da Rocha ambapo Njiwa amekamatwa na Askari akipeleka simu ya mkononi kwa mfungwa ambapo bado haijafahamika aliyekuwa akimtumia Ndege huyo kupeleka simu.
Kuna maswali mengi ya...

 

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MADAKTARI AFRIKA YA NCHINI MAREKANI WAFANYA MATIBABU YA MOYO KWA WAGONJWA KWA KUWEKA KIFAA MAALUM

 Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tulizo Shemu  na mwenzake kutoka Taasisi ya Madaktari Afrika  ya Nchini Marekani Mathew Sackett wakimwekea mgonjwa kifaa maalum cha kurekebisha  mapigo ya moyo ili yawe sawa (kwa jina la kitaalamu Pacemaker) kifaa hicho huwekewa wagonjwa ambao mapigo yao ya moyo yako chini sana. Tangu kuanza kwa kambi maalum ya matibabu ya moyo jumla ya wagonjwa nane wameshawekewa Pacemaker na wengine wanne wanatarajia kuwekewa leo...

 

2 years ago

Michuzi

JKCI KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI AFRIKA WA NCHINI MAREKANI WATOA HUDUMA YA KUZIBUA MISHIPA YA MOYO ILIYOZIBA

 Madaktari Bingwa wa Moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). Kulia ni Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na Dkt. Peter O’brien na kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau. Daktari Bingwa wa Moyo kutoka Madaktari Afrika wa nchini Marekani Dkt. Peter O’brien na Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Ayoub Mchau...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani