Lowassa ataja hasira zake tano kwa Serikali

Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ametaja mambo matano yanayomkasirisha ambayo yanafanywa na Serikali huku akiionya CCM kuwa ipo siku upinzani utatawala.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 14, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 13 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Bongo Movies

JB Ataja Tano Bora ya Movie Zake Alizocheza Tangu Aingie Kwenye Tasnia

JB alibandika mabandiko haya kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

“Wiki mbili zilizopita niliwapa nafasi ya kuchagua top 3 ya movie zangu.Leo (Juzi) na mimi naanza kuwapa top 5 yangu tangu nianze kuigiza.NAKWENDA KWA MWANANGU no5.Kesho (Jana) nitawatajia no4.halafu mwisho nitawatajia zilizoongoza kwa mauzo”.

Jana: “Tunaendelea na top 5 zangu tangu nianze kuigiza.Namba 4 DJ BEN.Kesho nitakutajia namba tatu.Atakaye pata nitampa zawadi”.

Haya hebu tuzitaje zingine tupate hiyo...

 

3 years ago

Global Publishers

Kupatwa kwa jua, Profesa Bisanda ataja faida zake

1. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Prof. Elifasi Bisanda (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Prof. Elifasi Bisanda (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

2. Mhadhiri wa Fizikia Katika Kitivo cha Sayansi na Elimu ya Mazingira katika Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania ambaye pia ni Mtaalamu wa Astronomia, Dkt. Noorali Jiwaji akionesha chujio la mwanga.

Mhadhiri wa Fizikia Katika Kitivo cha Sayansi na Elimu ya Mazingira katika Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania ambaye pia ni Mtaalamu wa Astronomia, Dkt. Noorali Jiwaji akionesha chujio maalum za mwanga.

3

Mkutano ukiendelea.

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Elifasi Bisanda, amesema kuwa Watanzania wanapaswa kuelekeza macho yao katika tukio kubwa la anga na la...

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli ataja mali zake, Zitto, Mdee, Heche washtakiwa kwa fujo

alice....

AyoTV kila siku asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania ambapo Alice Tupa ndio ataifanya hii kazi kuhakikisha unapata habari zote kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania yenye hardnews, michezo na udaku vilevile… bonyeza play kwenye hii video hapa chini. ULIIKOSA HII YA WIZARA YA MICHEZO TANZANIA KUTAKA BILIONI 20 KWENYE BAJETI IJAYO? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI […]

The post Rais Magufuli ataja mali zake, Zitto, Mdee, Heche washtakiwa kwa fujo appeared first on...

 

4 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa

Bado nimepigwa na butwaa kwa namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenzangu wanakosa ustahimilivu katika kipindi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu. Nimegundua kwamba unapotoa hoja ambayo wengine hawaiungi mkono basi kumekuwa na ugumu katika kustahimiliana.

 

2 years ago

Mwananchi

Dk Mashinji ataja siri tano zilizofanikisha Ukuta

Maandamano na mikutano ya hadhara iliyoandaliwa na Chadema kwa ajili ya kampeni iliyoiita ya Umoja wa Kupinga Udiketa Tanzania (Ukuta), hayakufanyika, lakini chama hicho kinasema kulikuwa na mafanikio.

 

3 years ago

Raia Mwema

Huu mchezo hauhitaji hasira: Yaliyompata Lowassa, yalimpata Malecela

AKIHUTUBIA Mkutano Mkuu Maalumu wa uchaguzi mjini Dodoma mwaka huu, aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete, alidai kuwa uteuzi wa jina la mgombea urais wa chama hicho mwaka jana, kuanzia kwenye Kamati Kuu (CC), Halmashauri Kuu (NEC) hadi Mkutano Mkuu ulikuwa mgumu zaidi katika historia yake na nusura ukisambaratishe.

Akikabidhi uenyekiti kwa mwenyekiti mpya na Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. John Magufuli, Kikwete  alisema kuwa kwa vile CCM...

 

1 year ago

Malunde

MBOWE ATULIZA HASIRA ZA WAFUASI WA CHADEMA SAFARI YA LOWASSA IKULU
Hatimaye mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametuliza mtifuano ulioibuka miongoni mwa wanachama wake baada ya waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kufanya kikao cha faragha na Rais John Magufuli.

Pia mwenyekiti huyo wa chama hicho kikuu cha upinzani amesema Chadema haitakubali kuchonganishwa kutokana na kikao hicho cha viongozi hao wawili.

Mbowe alisema hayo jana baada ya kufanya mazungumzo na Lowassa, ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema kupata taarifa ya kikao chake na Rais...

 

4 years ago

Bongo5

Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani

Matonya amesema sababu kubwa iliyomfanya apotee kwenye muziki na nyimbo zake za sasa kutofanya vyema kama mwanzo ni kukosa uongozi mzuri wa kumsimamia. Matonya ameambia Bongo5 kuwa muziki wa sasa hivi upo tafauti na ule wa zamani uliokuwa hauhitaji mambo mengi kama muziki wa sasa. “Tatizo kubwa kadri siku zinapozidi kwenda wasanii tunazidi kuwa wengi, […]

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani