Lowassa atua Arusha, Mgeja alaani polisi Kagera

EDWARD Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uchaguzi mkuu mwaka jana ameingia jijini Arusha leo akitokea mkoani Kagera ambapo alizuiliwa kufanya mikutano ya ndani na Jeshi la Polisi la polisi, anaandika Charles William. Ni jana tu Jeshi la Polisi kupitia Nsato Marijani, Kamishina ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

Lowassa atua Kagera, mabomu yarindima

pg-1Na ELIYA MBONEA-KAGERA

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema Watanzania wengi bado hawajajua uzito, upana na athari kubwa za tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera  na kuua watu 17 na kujeruhi wengine zaidi ya 440.

Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana akiwa ameambatana na ujumbe wake uliotembelea wananchi wa kata ya Amgema na Kashai waliokumbwa na tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa kipimo cha richter scale 5.7.

Akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,...

 

3 years ago

Dewji Blog

MCHEZA KWAO HUTUNZWA; Lowassa atua Arusha na kupata wadhamini 120,335

b5

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akikimbia kuelekea jukwaani kuwashjukuru wananchin na wana CCM wa mkoa wa Arusha walioijitokeza wakati akiomba wadhamini Juni 24, 2015. Mh. Lowassa, alipata jumla ya wadhamini 120,335.(Picha na K-VIS MEDIA).

Lowassa_ahutubia umati 2

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akitoa hotuba ya kuwashukuru wana CCM na wananchi wa mkoa wa Arusha, baada ya kupata wadhamini 120,335, waliomdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba...

 

3 years ago

Vijimambo

Mgeja, Kangi Lugola, Sanya wafunguka kuhusu Lowassa.

Baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliomuunga mkono Waziri Mkuu msfaaru, Edward Lowassa, katika mbio zake za kuomba uteuzi wa kugombea urais kabla ya kukihama chama hicho, wamefunguka.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Christopher Sanya, amesema kitendo cha Lowassa, kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinaashiria chama hicho kumomonyoka, baada ya kumalizika kwa kura za maoni.

Alisema ni pigo kubwa kwa CCM na litasababisha madhara makubwa baada ya kura za maoni...

 

1 year ago

Malunde

LOWASSA ALAANI SERIKALI KUZUIA KONGAMANO LA DEMOKRASIA DAR

Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na aliyekuwa Waziri Mkuu, Mh. Edward Lowassa amelaani vikali kitendo cha serikali ya Mkoa wa Dar es salam kuzuia kongamano la demokrasia lililopangwa kufanyika siku ya jana may 13, Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Mhe. Lowassa jana  akizungumza na wanahabari ofisini kwake Mikocheni, Dar alisema kuwa amesikitishwa sana na serikali kuzuia kongamano ambalo lilikuwa na nia njema ya kuzungumza kuhusu demokrasia na kujifunza kutoka kwa watu mbali mbali jinsi ya...

 

2 years ago

Malunde

JINSI MBOWE,LOWASSA,RIDHIWANI KIKWETE,MGEJA NA NAPE WALIVYOKUTANA UWANJA WA TAIFA MECHI YA SIMBA vs YANGA


Mechi ya Simba vs Yanga leo imemalizika kwa ushindi wa Simba kupata goli 2-1 lakini pia imekutanisha baadhi ya viongozi kutoka vyama viwili vya kisiasa Tanzania ambavyo ni CHADEMA na CCM.

Kwenye mechi ya leo aliyekuwa Mgombea Urais 2015 kupitia CHADEMA Edward Lowassa, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe,Khamis Mgeja walikuwa wamekaa eneo moja kutazama mpira na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye na walionekana wakisalimiana.

 

4 years ago

Michuzi

MBUNGE MAGIGE ALAANI VIKALI TUKIO LA BOMU ARUSHA

bom 1Mbunge viti maalum Mhe.Catherine Magige kupitia chama cha mapinduzi CCM akimjulia hali Deepak Gupta (25 aliyepoteza mguu wake ) mmoja wa majeruhi wa bomu lililolipuka jana usiku majira ya saa 4 usiku  katika mgahawa wa VAMA Traditional Indian Culture jijini A rusha na majeruhi hao  kukimbizwa katika hospital ya Selianbom 2Mhe. Mbunge Catherine Magige akimjulia hali mmoja wa majerui katika hospital ya Selian,kushoto ni Mkurugenzi wa tiba ambaye pia ni kaimu mgamga mkuu wa hospitali hiyo kulia...

 

2 years ago

Channelten

RAS Kagera akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kufungua A/C bandia ya Benki Tetemeko Kagera

screen-shot-2016-09-28-at-4-17-53-pm

Baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa  Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Amantius Msole na Mkurugenzi Manispaa ya Bukoba Bw. Steven Makonda, Polisi wamewatia mbaroni viongozi hao huku uchunguzi juu ya tuhuma zao kuanza.

Viongozi hao akiwemo Mhasibu Mkuu wa Mkoa wa Kagera wamefutwa kazi baada ya kudaiwa kufungua  akaunti nyingine ya benki kwa kutumia jina linalofanana na akaunti rasmi ya kuchangia maafa iitwayo Kamati Maafa Kagera kwa lengo ambalo halijafahamika.

Channel...

 

1 year ago

BBCSwahili

Rais Magufuli alaani mauaji ya polisi 8 Tanzania

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na kushutumu mauaji ya polisi wanane wa taifa hilo waliouawa na watu wasiojulikana jioni siku ya Alhamisi.

 

6 months ago

Malunde

Updates : LOWASSA ARUDI TENA MAHAKAMANI,MGEJA NAYE AIBUKA...VIGOGO WA CHADEMA BADO HAWAJAFIKISHWA MAHAKAMANI


Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amerejea tena mahakamani mchana huu akiwa na Hamis Mgeja.
Awali, Lowassa na Sumaye waliondoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya muasisi wa Chadema, Victor Kimesera.
Hadi mchana huu watuhumiwa wote wakiongozwa na Mh. Freeman Mbowe ambao wapo gerezani Segerea waliokuwa waletwe Kisutu, hawajaletwaWakati waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa akirejea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, viongozi sita wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani