Lowassa, Mbowe, Mnyika wakamatwa

Viongozi wa Chadema wamekamatwa na polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Mbowe, Lowassa, Mnyika na Dkt. Mashinji Wakamatwa na Polisi, Dar

 

Lowassa-na-MboweKikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichokuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi jijini Dar, kimezingirwa na jeshi la polisi huku viongozi wake wakikamatwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.

CHADEMAAkizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema waliokamatwa na polisi kwa ajili ya mahojiano ni Edward Lowassa, Freeman Mbowe, John Mnyika, Dk Vincent Mashinji na  Said Issah

“Tulikuwa kwenye kikao cha...

 

3 years ago

MwanaHALISI

Mbowe, Lowassa, Mnyika wazuiwa kuripoti polisi

  SAA tatu baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kusitisha maandamano na mikutano yake chini ya operesheni yaUmoja wa Kupinga Udikteta (Ukuta), Jeshi la Polisi limewataka viongozi wa chama hicho waliokamatwa juzi kutokwenda kuripoti polisi, anaandika Faki Sosi. Taarifa ya kutotakiwa kuripoti kesho kama iliyotakiwa awali, zimethibitishwa na Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama ...

 

1 year ago

Malunde

VIGOGO WA CHADEMA WAWEKWA MAHABUSU..YUMO MBOWE,MSIGWA,MASHINJI,MNYIKA,MWALIMU, MATIKO

Wakili wa viongozi wa Chadema, Frederick Kihwelo amesema mbunge wa chama hicho Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa naye ameungwanishwa na viongozi waliowekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.Akizungumza  leo mchana Machi 27, 2018, Kihwelo amesema Mchungaji Msigwa aliitwa na alipofika polisi naye aliunganishwa na wenzake.
Awali, Kihwelo ameeleza kuwa viongozi hao wamefutiwa dhamana kwa kuwa wanapotakiwa kuripoti polisi, baadhi yao hushindwa kutokea.
Viongozi wengine...

 

3 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya Chadema kuhusu ujumbe unaoelezwa kutoka kwa Mnyika wa kumkataa Lowassa

Kama utakuwa umekaa karibu na mitandao ya kijamii leo Jumapili utakuwa umekutana na ujumbe ambao unasemekana umetolewa na mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kuwa hakuwa akimuunga mkono mgombea urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu wa 2015, Edward Lowassa.

Aidha taarifa hiyo iliitaka serikali kama mahakama ya mafisadi itaanzishwa basi ianze kazi kwa kumshtaki Lowassa kwa kuwa ni fisadi na kama itafanya hivyo itakuwa imewaonyesha watanzania kuwa ni mahakama ambayo...

 

3 years ago

Global Publishers

Mbowe na Wenzake wa Chadema Wakamatwa, Alipo Zitto Bado ni Utata

1Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe Wakati Polisi ikimshikilia kwa saa mbili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe mkoani Mwanza, jeshi hilo limefuta kongamano la kujadili Bajeti ya Serikali lililoandaliwa na ACT Wazalendo jijini Dar es Salaam huku kiongozi wake, Zitto Kabwe akisakwa. Jeshi hilo lilizuia mkutano wa hadhara wa Chadema uliokuwa ufanyike wiki iliyopita mjini Kahama ambako lilitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama na wafuasi wa chama hicho, katika kile kilichoelezwa...

 

3 years ago

Ippmedia

Mwenyekiti wa (CHADEMA)Mh.Mbowe na viongozi 7 wa chama hicho wakamatwa na Polisi

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe na viongozi wengine saba wa chama hicho ngazi ya kitaifa na kanda ya ziwa Victoria wakamatwa na kuhojiwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kudaiwa kufanya mkutano katika ofisi za chama hicho eneo la Nyegezi, Butimba na Igoma.

Day n Time: Jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mbowe, Lowassa wamsomesha JK

KIONGOZI Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, wameikosoa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, wakisema kuwa ajira kwa vijana ni bomu linalofanyiwa mzaha. Hii...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani