Lyon yaiduwaza Simba, Yanga yapeta Mbeya, Azam bado sana… Matokeo yote ya VPL haya hapa

Kikosi cha Simba kimepoteza kwa mara ya kwanza mchezo wake wa Ligi ya Vodacom Tanzania baada ya kufungwa na African Lyon bao 1-0 mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Kipigo hicho kimepoteza rekodi nzuri ya Simba ya kucheza mechi sita bila kufungwa.

Kufungwa kwa leo kunaifanya Simba kumuongiza gepu la pointi kutoka nane hadi kufikia tano dhidi ya bingwa mtetezi Yanga anayeshika nafasi ya pili akiwa na pointi 30.

Matokeo ya mechi zote za leo haya hapa chini

 

matokeo-vpl

msimamo-wa-vpl

The post Lyon...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Zanzibar 24

Matokeo VPL: Simba wailamba Azam, Yanga yamnyamazisha Julio

SIMBA VS AZAM

BAO pekee la Shiza Ramadhani Kichuya dakika ya 67 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Kwa ushindi huo, Simba SC sasa inajinafasi kileleni mwa Ligi Kuu, ikifikisha pointi 13 baada ya mechi tano, ikifuatiwa na mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 10 sawa na Azam.

YANGA VS MWADUI

YANGA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya...

 

4 years ago

Habarileo

Simba chereko, Azam yaiduwaza Yanga

YANGA na Azam jana ziliendelea kupambana kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kufungana bao 1-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

3 years ago

MillardAyo

Haya ndio matokeo ya Simba vs Azam FC yaliofanya mashabiki wa Yanga watabasamu

IMG_0013

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Mei 1 2016 kwa mchezo kati ya Simba dhidi ya Azam FC kuchezwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, huu ni mchezo wa 26 kwa vilabu vyote na ulikuwa mchezo muhimu kwa kila klabu hili kujiweka pazuri katika nafasi ya kuwania ubingwa. Azam FC kabla ya mchezo […]

The post Haya ndio matokeo ya Simba vs Azam FC yaliofanya mashabiki wa Yanga watabasamu appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Mashabiki wa Yanga na Simba kwa pamoja leo walisherekea matokeo haya ya Azam FC dhidi ya Ndanda FC

asasa

Michezo ya viporo ya Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kupunguzwa kwa upande wa klabu ya Azam FC ya Mbande Chamazi, Azam FC leo April 6 2016 imecheza mchezo wake wa kiporo dhidi ya klabu ya Ndanda FC wanakuchele kutokea Mtwara. Kwa taarifa za awali huu ni mchezo ambao awali Azam FC waliomba usogezwe mbele […]

The post Mashabiki wa Yanga na Simba kwa pamoja leo walisherekea matokeo haya ya Azam FC dhidi ya Ndanda FC appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Matokeo VPL: Simba yabanwa na Jkt Ruvu Taifa, Majimaji hooi kwa Azam

SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara janaUwanja wa Taifa, Dar es Salaam  w1

Matokeo ya mechi nyingine zilizochezwa August 27 2016

Mtibwa Sugar 2-1 Ndanda FC Azam FC 3-0 Majimaji FC Prisons 1-1 Ruvu Shooting Mbao FC 0-1 Mwadui FC Kagera Sugar 0-0 Stand United

The post Matokeo VPL: Simba yabanwa na Jkt Ruvu Taifa, Majimaji hooi kwa Azam appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Italy , Spain zaua kufuzu kombe la dunia Ulaya: Matokeo yote haya hapa

12

14

The post Italy , Spain zaua kufuzu kombe la dunia Ulaya: Matokeo yote haya hapa appeared first on Zanzibar24.

 

4 years ago

BBCSwahili

Vpl:Yanga, Simba,Azam zashinda

Vigogo vya ligi kuu ya Tanzania bara Simba,Yanga na Azam vimeibuka na ushindi katika michezo yao ya mzunguko wa pili

 

1 year ago

Malunde

HAYA HAPA MATOKEO YOTE YA UCHAGUZI UVCCM TAIFA MWAKA 2017...MWENYEKITI NI KHERI JAMES


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Kheri James, nje ya Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma Desemba 11, 2017 (katikati) ni Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
****Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) umemchagua Kheri James kuwa mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

James amepata kura 319 kati ya kura 583 zilizopigwa akimwacha kwa mbali mpinzani wake, Thobias...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani