MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII – TENGERU SANJARI NA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WIZARA

MHE. SOFIA SIMBA WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTOWizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto inaadhimisha miaka 50 ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru, ambayo yatafanyika kuanzia tarehe 27 Januari 2014 mpaka tarehe 31 Januari 2014.

Fullshangwe

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii akutana na Watendaji wa Mkoa wa Katavi

Katibu Tawala Mkoa wa Katavi akimwongoza Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mama Anna Maembe wakati akikagua eneo la chuo cha maendeleo Msaginya wakati wa ziara yake ya siku mbili mkoani humo anaye mfuatia kushoto kwa Katibu Mkuu ni Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya Nsimbo Alex Magesa Na Mwisho mwenye SUTI YA kijivu ni Mkuu wa Chuo Msaginya Peter Kikunda ambaye ni mwenyeji akiwatembeza wageni. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na...

 

1 year ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII AKEMEA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii Anna Maembe akizungumza na wataalamu wa wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa jana. Kushoto ni Mkuu wa wilaya Moshi Chang'a na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Herbert Bilia. DC wa Kalambo Mkoani Rukwa Moshi Chang'a akikabidhi hundi ya shilingi milioni 7 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo Herbert Bilia. Kulia ni Katibu Mkuu wazara ya Meanedeleo ya Jamii aliyetoa hundi hiyo.
Mkuu wa wilaya Kalambo Mkoani Rukwa Moshi Chang'a akizungumza wakati wa...

 

1 year ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha Ashiriki Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa China

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Bi. Lizzy Lloyd akizungumza wakati wa hafla hiyo.  Balozi wa  Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Lv Youqing akitoa neno la shukrani kwa Benki ya Standard Chartered kwa kuandaa hafla hiyo.  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza kwenye halfa ya kuadhimisha mwaka mpya wa China, iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered na kufanyika kwenye Hoteli ya...

 

9 months ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFDB) UNAOFANYIKA KIGALIi, RWANDA

 Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum akiwa katika majadiliano na viongozi wa Benki ya HSBC kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere ‘Terminal III’. Majadiliano hayo yalifanyika katika Hotel ya Mills Colonie Mjini Kigali Rwanda.  Mh.Saada Mkuya Salum,Waziri wa Fedha akiagana na Mkurugenzi wa Benki ya HSBC baada ya majadiliano yaliyofanyika katika Hotel ya Mills Colonie Kigali Rwanda.  Waziri wa Fedha Mh.Saada M.Salum akimsikiliza kwa makini Bi.Erika Rubin mratibu wa mfuko wa...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana (wa tatu kulia) akipatiwa maelezo wakati akikagua utoaji wa mafunzo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, Kondoa, akiwa ameambatana na Uongozi wa Wilaya ya Kondoa.
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani