MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI.

Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi, akisisitiza jambo wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania kwa Shule za Sekondari za Musoma Mjini, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Musoma Sekondari iliyopo Musoma Mjini. Kulia ni Afisa Elimu wa Manispaa ya Musoma Mjini, Ndg. Exavery Ntambala na kushoto ni Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Musoma, Mwl. Kilonda SalumKatibu Msaidizi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

CCM Blog

NEC YAZINDUA PROGRAMU YA UTOAJI WA ELIMU YA MPIGA KURA KWA KUWAPATIA ELIMU WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA SONGE MUSOMA

 Mkurugenzi Idara ya Huduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Emmanuel Kawishe akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Songe nje kidogo ya mji wa Musoma juu ya majukumu na utendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa programu endelevu ya utoaji wa elimu ya mpiga kura kwa kuyafikia makundi mbalimbali nchini.

 Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA wa Tume ya Taifa ya...

 

3 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA SONGE MUSOMA WAPEWA ELIMU YA MPIGA KURA NA NEC.

 Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhandisi Manyiri Isaya akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Songe nje kidogo ya mji wa Musoma juu ya daftari la wapiga kura na namna taarifa za wapiga kura zinavyotumika kwenye chaguzi mbalimbali. Kulia ni Mkurugenzi Idara ya Huduma za Kisheria wa NEC, Bw. Emmanuel Kawishe.

 Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa NEC, Bi. Giveness Aswile akiwaeleza wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA

   Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, pamoja na Mwenyekiti wa Mtandao wa Kuondoa Umasikini Ndg. Mungwe Athuman (kulia) wakimkabidhi  kitabu Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Manghweta Ndg. Elinetha Kimaro (kushoto) wakati wakigawa vitabu Mbali mbali kwa Shule za Sekondari zilizopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Mtandao wa Kuondoa Umasikini Ndg. Mungwe Athumani (kulia) wakikabidhi vitabu kwa Mwl. Mkuu wa Shule ya sekondari...

 

1 year ago

Michuzi

Waliomaliza Shule ya Msingi Bunge 1997 watoa msaada wa viti 20 kwa shule hiyo

Umoja wa Wanafunzi waliomaliza Shule ya Msingi Bunge mwaka 1997 iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wametoa msaada wa viti 20 kwa shule hivyo ambayo vitatumiwa na walimu ambao wanafundisha katika shule hiyo. Akizungumza kuhusu msaada huo, Mwenyekiti wa umoja huo, Bernard Chezue alisema msaada huo ni sehemu ya shukani yao kwa shule hiyo kwa kuwapatia eleimu ambayo imewasaidia kimaisha mpaka sasa wakiwa na mafanikio. Alisema wamejipanga kuhakikisha wanaendelea kuisaidia shule hiyo ili iwe na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

5 years ago

Dewji Blog

Access Bank watoa msaada wa Kompyuta kwa shule ya sekondari Azania

access 1  Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. aces

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta kwa wanafunzi waliowawakilisha wenzao, anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa...

 

3 years ago

Michuzi

TBS WATOA ZAWADI KWA WAANDISHI BORA WA INSHA ZA MAZINGIRA KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.SHIRIKA la Viwango Nchini (TBS) limewatangaza washindi wa shindano la uandikaji wa insha lililoandaliwa na Shirika la Mazingira Duniani (UNEP) lililoshirikisha shule za msingi na sekondari Tanzania nzima.
Akizungumza kabla ya utoaji tuzo hizo,Kaimu mkurugenzi mkuu wa TBS Egid Mubofu amesema hatua hii itasaidia sana kuweza kutoa elimu kwa wananchi hasa baada ya wanafunzi hawa kuonesha jitihada kubwa za kuondokana na suala zima la uchafuzi wa mazingira.


Katika...

 

5 years ago

GPL

ACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA‏

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Ofisa Masoko Mwandamizi Access… ...

 

2 years ago

Michuzi

UWT MKOA WA MBEYA WATOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI

Na Mwandishi wa Globu ya Jamii Mbeya
Umoja wa wanawake wa  Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) wilaya ya Mbeya mjini  imeendesha zoezi la kutoa elimu ya afya ya uzazi na Maendeleo  kwa wanafunzi  wa shule ya kutwa ya Mbeya .
Akizungumza na Globu ya Jamii   Katibu wa UWT  Mkoa wa Mbeya , Mary Mwenisongole amesema kuwa kwa kushirikiana na wataalam wa afya na Maendeleo ya jamii,leo tarehe  wameshiriki kutoa elimu ya afya na kujitambua kwa watoto wa kike zaidi ya 500 shule ya sekondari ya kutwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani