Maajabu : MAMA AJIFUNGUA MTOTO ANAYEONGEA KAMA MTU MZIMA SHINYANGA


Dunia ina mambo ndivyo unaweza kusema!! Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Nyarigongo kata ya Mwakitolyo halmashauri ya wilaya na mkoa wa Shinyanga amejifungua mtoto ambaye amekuwa akizungumza wakati akiwa tumboni mwa mama yake. 
Akizungumza na Malunde1 blog huyo aliyejitambulisha kwa jina la Maria Mpago hata wakati wa ujauzito vipimo vya kitabibu vilishindwa kubaini kama ni mjamzito licha ya kumsikia mtoto akichezacheza tumboni. 
“Nilipimwa mimba haikuonekana...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO & PICHA: Mtoto wa miaka minne anaendesha Greda kama mtu mzima

Ni kawaida kwa Watoto wa kiume kupenda kuendesha magari wakiwa na udogo wao huohuo na ndio maana wengi huwa wanatumia muda wao mwingi kwenye magari ya kuchezea ambayo hununuliwa na Wazazi wao. Huko Huangguang China kuna Mtoto mwenye umri wa miaka 4 tu ambaye kafanya kweli, anaitwa Chen Junyu ambapo wazazi wake wamempa support ya kutosha kumwezesha kuendesha Greda. Junyu ni […]

The post VIDEO & PICHA: Mtoto wa miaka minne anaendesha Greda kama mtu mzima appeared first on...

 

1 year ago

Malunde

Maajabu haya!! MWANAMKE AJIFUNGUA KOPO BADALA YA MTOTO MWANZA


Na Jesse Mikofu, Mwananchi 
Veronica Paschal (29) mkazi wa Kishili jijini Mwanza ametolewa kopo la mafuta ya kujipaka mwilini katika sehemu za siri, ikiwa ni muda mfupi baada ya kuwaeleza ndugu zake kuwa anataka kujifungua kopo.


Licha ya kutolewa kopo hilo, daktari aliyekuwa zamu katika kituo cha afya Igoma jijini hapa, Zaitun Lionge ameeleza kuwa mimba ya miezi sita ya mwanamke huyo ipo salama.

Tukio hilo la aina yake limetokea Januari 17, 2018 baada ya Veronica kufikishwa katika kituo hicho...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mvulana aliyebaka India kuhukumiwa kama mtu mzima

Maafisa nchini India wamesema kuwa mvulana wa miaka anayetuhumiwa kwa kosa la kubaka,anapaswa kuhukumiwa kama mtu mzima.

 

3 years ago

BBCSwahili

Je, ni wakati gani mtoto huwa mtu mzima?

Jaji mmoja nchini Kenya amemwachilia huru mshukiwa mmoja ambaye alikuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kumbaka mtoto wa miaka 13.

 

1 year ago

Malunde

AKAMATWA KWA KUIBA MAJENEZA DAR...LIMO LA MTOTO NA LA MTU MZIMA


Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Boniface mkazi wa Mwananyamala kwa Msisiri anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa kuiba masanduku ya kuzikia (majeneza) mawili (pichani) na kuyaficha nyuma ya choo cha mkazi mwengine wa mtaa huo.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni Jumanne Muliro, amesema tukio hilo limetokea kati ya ofisi mbili za kuuza masanduku hayo ambapo moja ndiyo iliyoibiwa majeneza hayo, ambayo moja ni la mtu mzima na moja...

 

4 years ago

GPL

MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU

Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...

 

5 years ago

GPL

MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA

HII ni mara ya pili ninaandika kuhusu Miriam Sepetu, mama mzazi wa muigizaji nyota, Wema Sepetu. Bado ninakumbuka vizuri nilichokiandika mara ya kwanza, ilikuwa ni kuhusu tabia yake wakati ule. Alipenda sana kuzungumza na magazeti kuhusu nyenendo za mwanaye katika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond. Ingawa ni kweli mzazi ana nafasi muhimu katika maisha ya kimapenzi ya mtoto wake, lakini siyo jambo la busara kuingilia kupita...

 

4 years ago

GPL

MWANZA: MAMA AJIFUNGUA MTOTO, AMTUPA DAMPO

Wakazi wa Mkuyuni jijini Mwanza wakiwa katika eneo alilotupwa mtoto wakisubiri polisi. Polisi akishirikiana na wananchi kuuchukua mwili wa mtoto huyo katika jalala alipotupwa na mama yake mzazi. ...wakisaidiana kuubeba mwili wa mtoto.…

 

5 years ago

GPL

KAMA WEWE UMEJIFUNGUA SALAMA, MTOTO WAKO NI MZIMA MSHUKURU MUNGU

Makala Makongoro Oging’
DUNIANI kuna mengi kiasi kwamba kama mama  umebeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua mtoto salama na mtoto wako ni mzima unapaswa kumshukuru Mungu kwani kuna watu ambao wanapata usingizi wa mang’amung’amu kutokana na mateso ya watoto wao. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3) akilia kwa maumivu anayoyapata. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3), mkazi wa Kijiji cha Kamala, Kata ya Bangwe mkoani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani